Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Waziri Mwigulu Nchemba amesema Serikali ina mpango ya kupandisha hadhi ya Tanzania kuwa na uchumi wa kidijitali na mojawapo ya hatua kubwa inayochukuliwa ni kuwa mfumo madhubuti ya kidijitali...
0 Reactions
7 Replies
352 Views
Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba ametaja athari za Kimbunga Hidaya na Mvua za elnino kuwa ziliharibu barabara 68 nchini, ambapo ma-culvet 189 yaliharibiwa. Aidha ni jumla ya kilometa 528...
0 Reactions
1 Replies
217 Views
KAZI YAKAMILIKA UTEKELEZAJI MRADI WA MAJI SAME-MWANGA Mradi wa Maji Same-Mwanga maelekezo ya Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kupitia makamu wa Rais Mhe Dkt...
0 Reactions
0 Replies
318 Views
Kwa wataalam wa bajeti na masuala ya uchumi, ni waziri gani wa fedha amewahi kukopa fedha nyingi kwa muda wa miaka mitatu ya uongozi wake kama Mwigulu Nchemba? Kukopa siyo tatizo, je mikopo hii...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
BREAKING: Prof Ibrahim Lipumba leo ametangaza nia ya kurudia wadhifa wake wa Mwenyekiti Taifa wa CUF, amemuomba Katibu Mkuu atengue maamuzi yake ya kung’atuka katika wadhifa huo mwaka jana...
1 Reactions
13 Replies
455 Views
Ukikaa kwa makini na kutuliza ubongo utagundua kuwa CCM n chama kinachofaa kuwepo madarakani hii ni kutokana na mambo haya yafuatayo: Elimu bure Siasa za uwazi Miundombinu imara (barabara) Huduma...
4 Reactions
25 Replies
420 Views
Makamu mwenyekiti wa UVCCM Taifa Rehema Sombi amewataka Vijana kuendelea kutumia mitandao ya kijamii bila kujali ni Mtandao gani Sombi ametoa kauli hiyo mkoani Geita. Ikumbukwe mwenyekiti wa...
6 Reactions
17 Replies
947 Views
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) CPA Charles Kichere lwo Ikulu akiisoma ripoti ya ukaguzi kwa mwaka wa fedha 2021/2022, amesema deni la Serikali kwa sasa ni Tsh. Trilioni...
1 Reactions
3 Replies
563 Views
Kwamaelezo ya Tundu Antipasi Lisu aliyoyatoa kwenye mikutano yake ya hivi kalibuni niwazi kua Tanganyika iliuhitaji zaidi muungano kuliko Zanzibar, ndiomana tukawa tayali kuingia hata hasara ili...
8 Reactions
50 Replies
2K Views
Wakati akiongelea hali ya uchumi na mpango wa maendeleo bungeni leo Juni 13, waziri Kitila Mkumbo amesema wataendelea kuzingatia nafasi ya madini kukuza ujazo wa mauzo nje ya nchi na kuzingatia...
4 Reactions
26 Replies
595 Views
TAARIFA KWA UMMA: MAMEYA NA WAFANYABIASHARA COMORO KUSHIRIKI MAONESHO YA SABASABA Kufuatia juhudi za utekelezaji wa Diplomasia ya Uchumi, Ubalozi wa Tanzania nchini Comoro kwa kushirikiana na...
0 Reactions
0 Replies
209 Views
Wakuu, Wahusika, Ni matumaini yangu mmejaa rehema na amani Asubuhi hii katika kukabiliana na majukumu yenu. Nawaombeni muda wenu mchache kutathmini Uzi huu ili kuweza kulinusuru Taifa. Mada...
1 Reactions
48 Replies
2K Views
Nchi ya Senegal imeanza uzalishaji wa Mafuta ghafi Kwa mara ya kwanza ambapo itaanza na mapipa 100,000 Kwa siku Kupitia Kampuni ya Australia. Visima vya Mafuta vilivyopo ndani ya Bahati(kama gesi...
3 Reactions
31 Replies
915 Views
Hakuna cha muda mfupi wala cha muda mrefu sera ile ni kuliuwa taifa. Tunaposema kufungua mipaka sasa tuko SADC,EAC mahusiano na Burundi na Congo utaenda Angola au South Afrika kuongea kiswahili...
24 Reactions
184 Replies
22K Views
Niseme tu kwa ufupi yule Mwamba alikuwa ni Mbeba Maono wa Ukweli siyo wa Mchongo Mzee Mwinyi: Mambo yaliyotushinda Sisi Watatu kwa Miaka 30 Magufuli kafanya kwa Miaka 3 Dr Shein: Wakati Magufuli...
6 Reactions
35 Replies
881 Views
Kama unabisha soma katiba ya CCM halafu uniambie wapi ni pabaya Hata yale yanayodhaniwa ni madhaifu mfano Fomu Moja Yako kwenye Utamaduni wa chama siyo katiba Sasa Njoo kwa Watani zetu Chadema...
2 Reactions
4 Replies
209 Views
Ni vema nyakati hizi tukawa tunaelezana mambo kwa usahihi kabisa tukiongozwa na nguli wa industry husika Kwa sasa story ya mjini ni mikopo Niwaombe Nguli wa Finance watujuze Mikopo Nafuu kwa...
0 Reactions
3 Replies
337 Views
Tanzania imefanikiwa kupata Mkopo wa Shilingi Trilioni 2.75 kutoka WB Kwa Ajili ya mradi wa DMDP 2 Jijini Dar na Kukuza Uchumi kupitia sekta binafsi Kwa kuondoa vikwazo vinavyokwamisha Ustawi wa...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Mochwari ya Muhimbili inazidi kunishangaza. Wakati kuna vituko vya kuchanganya maiti likijitokeza kwa zaidi ya mara mbili na Baadhi yao walichukuliwa hatua na wengine kubakizwa kuna hili lingine...
4 Reactions
45 Replies
7K Views
Uhuru uliopitiliza kikwazo kimaendeleo, kwa maslahi mapana ya taifa sheria maalumu ya kuweka watu kizuizini ianzishwe Wadau hamjamboni nyote? Ndugu zangu wazalendo kwa hali iliyopo ya uhuru...
0 Reactions
4 Replies
231 Views
Back
Top Bottom