Kwa bahati mbaya Afrika umaskini, maradhi na ujinga ni mkubwa kiasi kwamba waafrika tumeachwa hoi tumetopea kwenye ugiligili wa shida zetu hata kushindwa kuwa na vipaumbele vyetu.
Mwaka huu...
WADAU wa Bandari wameishauri serikali kuruhusu Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kuendelea kukusanya tozo itokanayo na huduma za bandari (wharfage) kama ilivyo sehemu zote duniani.
Ushauri huo...
Wanabodi,
Naangalia Bunge live asubuhi hii, kusubiria hotuba ya hali ya uchumi, ndio nikakumbuka kumbe leo ni siku ya Alhamisi, ni siku ya maswali ya moja kwa moja kwa Waziri Mkuu, sasa naomba...
Kukosekana Mbowe Lissu Bungeni
1. Maswali ya papo kwa pao yamepotea, na hata yakiwepo sio yale tuliozoea
2. Mijadala mikali ilikuwa inamsha hisia kwa Watz sas haipo
3. Bunge kufatiliwa na watu...
Serikali imetoa jumla ya Shilingi Bilioni 136.2 kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) na Wakala ya Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA), kwa ajili ya kurejesha hali ya awali ya miundombinu ya...
1. Unaosema wanakutukana ni kuwa wanasema HARD FACTS about you hakuna mwenye ubavu wa kukutukana.. Wanachokisema wanasiasa wa upinzani kwenye majukwaa ni facta probantia or to the worst side ni...
Kwa mujibu wa masharti ya kifungu cha 10 cha sheria ya uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani No. 1 ya mwaka 2024.
WASIOKUWA NA SIFA YA KUANDIKISHWA
>Iwapo mtu yupo chini ya kiapo cha utii wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimefuatilia mijadala mbalimbali ya kisiasa inapokuwa ikifanyika katika maeneo mbalimbali, iwe ni mitaani au kwenye mitandao ya kijamii. Nimekuja kugundua kuwa CHADEMA na...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,amekutana na kufanya mazungumzo na mgombea Urais wa Msumbiji Kupitia FRELIMO...
Mafanikio ya Yanga na Klabu nyingine yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na hamasa ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia ambapo amekuwa akitoa shilingi milioni tano kwa kila goli linalofungwa katika hatua ya...
Kwa wiki nzima watu wamekuwa wakijadili uwezo wa akili wa baadhi ya viongozi wa UVCCM na baadhi ya viongozi wa dini, kufuatia kauli zao kuwa eti Serikali iufungie mtandao wa X (zamani twitter)...
Amayesema hayo wakati Akisoma Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025, leo Juni 13, 2024
===
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amependekeza kutoa msamaha kwenye...
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kwa tathmini za deni la taifa la Tanzania, bado tuko vizuri kukopa zaidi ikifananishwa na nchi zote za Africa Mashariki na SADC.
Mwigulu amesema hayo...
Rais Magufuli anafungua kiwanda cha ngozi kinachomilikiwa na tajiri maarufu nchini Dr Rostam Aziz Kihonda mkoani Morogoro.
Tukio liko mubashara TBC Channel ten na ITV
Up dates;
Rais Magufuli...
Mawakala hao wamekuwa wakikusanya kodi kutoka kwa Wananchi na wamekuwa wakiziwasilisha kusikotakiwa kwa mujibu wa sheria. Ni vyema ifahamike kuwa kodi. Ifahamike kuwa yoyote anayekusanya sio yeye...
CHADEMA, kama chama kikuu cha upinzani, imekuwa ikisisitiza hitaji la Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya kama msingi wa kushiriki uchaguzi wowote. Msimamo huu umetokana na malalamiko ya mara kwa...
TANESCO KUOKOA BILIONI 30 KILA MWAKA MKOA WA KAGERA UTAKAPOINGIA KWENYE GRIDI YA TAIFA
📍Yasaini mkataba na kampuni ya Mhandisi Mshauri ya Shaker na kampuni ya usimamizi miradi ya umeme ya PDC...
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu ametoa taarifa ya Michango ya Gari hadi Leo hii
Jumla ya Michango ni tsh 76,615,957 ambapo kwa wastani ni sawa na tsh 3,192,332 kwa siku
Mungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.