Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Rais Samia Suluhu Hassan atapokea Taarifa ya Kamati ya Kuunda Mkakati wa Utekelezaji wa Mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai. ====== Kamati ya kuandaa mkakati wa kutekeleza Tume ya Haki Jinai...
0 Reactions
1 Replies
322 Views
Ni bora, vyema, uungwana na uzalendo mkubwa kila Mtanzania akajifunza kuheshimu Mamlaka zilizopo kisheria na kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muunga wa Tanzania. Ukikaa kwenye kisimbusi chako...
6 Reactions
103 Replies
3K Views
Msanii wa Nyimbo za asili ya Kisukuma, Dawa Juma mkazi wa Kijiji cha Makurugusi wilayani Chato mkoani Geita, amehukumiwa kifungo cha miaka sita jela au kulipa faini ya Tsh. Milioni 10 baada ya...
56 Reactions
351 Replies
31K Views
Wapenda amani SALAÀM! Rais wetu hana makuu, hajui kukandamiza haki za kiraia - hajui kutumia dola kuzuia upinzani - lkn:- Mbn Lissu anatukana sana? Mbn Lissu anadhihaki sana? Mbn Lissu anakera...
8 Reactions
73 Replies
2K Views
"Inawezekana wenzetu hawa kwa tamaa za madaraka hawajatilia maanani suala hili (Muungano) viongozi hao wanafikiri kuwa lugha hizo za kuhatarisha muungano zina mashiko kwa wapiga kura wao na kana...
5 Reactions
39 Replies
1K Views
Tanzania imeongozwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa zaidi ya miaka 40. Ingawa chama hiki kimeleta maendeleo kadhaa, kuna changamoto zinazozidi kujitokeza zinazohitaji mabadiliko ya uongozi. Swali...
0 Reactions
3 Replies
245 Views
Bajeti Tanzania Bara ni takriban trilioni 50. Bajeti ya Tanzania Zanzibar ni takriban trilioni 5 . Hivyo Uwiano ni 10: 1 Ukija kwenye idadi ya watu Tanzania Bara ni takriban Milioni 60 , na Tz...
4 Reactions
61 Replies
2K Views
Baba Mtakatifu Papa Francisco aketiye Kitini pake mtume Petro anahudhuria mkutano wa Nchi tajiri za G7 Papa Francisco atatoa mada kuhusiana na Akili Bandia yaani Artificial intelligence AI...
1 Reactions
6 Replies
340 Views
Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba ametumia dakika 127 sawa na saa 2 na dakika saba kuwasilisha Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2024/25 huku jina la Rais Samia Suluhu Hassan akilitamka mara 40. Dk...
6 Reactions
59 Replies
2K Views
Habari za Usubuhi Wananchi wenzangu. MARCH 28,2024 Deni Lilikuwa 82.25 TRN kufika JUNE 04,2024 tukalipa 8.48 TRN i.e 82.25 - 8.48 = 73.77 TRN Nilitegemea baada ya Kulipa Hiyo tarehe Nne...
1 Reactions
17 Replies
483 Views
Treni ya umeme imeanza safari yake ya kwanza kwenda Morogoro ikitokea Dar. Hili ni jambo la kushukuru na kuipongeza sana Serikali. Tumeona mara nyingi kitu kipya kikianza kwa mbwembwe na kwa...
2 Reactions
20 Replies
441 Views
Akizungumza Bungeni, leo Juni 13, 2024, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax amesema Wanajeshi wastaafu walioshiriki katika Vita ya Kagera wote wameshalipwa na...
0 Reactions
3 Replies
711 Views
Reminiscing from the Past; Hotuba ya Nyerere kuhusu Flip Flopping ya kina USA et al... https://youtu.be/lcu329NAWtM?si=me5_3i-aA6xcJ-Od
1 Reactions
1 Replies
256 Views
Watu wa mkoa wa Tanga wanamkumbuka Fundi nguo Maumba alivyokamatwa Kwa kulawiti mteja wake Hapa katikati vimepita visa vingi tu vya Mashehe, Maustaadh, Wachungaji, Mapadre hadi familia ya Babu...
4 Reactions
26 Replies
631 Views
AWESO AHITIMISHA VIKAO VYA IDARA KWA IDARA WIZARA YA MAJI, ASEMA TAASISI ZINAFUATA Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) akihitimisha Wiki ya Vikao vya Idara kwa Idara amewataka watumishi wa...
0 Reactions
0 Replies
179 Views
Chadema hadi sasa hawajaongea chochote kuhusu Bajeti ya Serikali iliyotangazwa Jana Azimio ya Kenya ambao ni Wapinzani Muda huu wamewaita waandishi wa Habari na wanaichambua Bajeti yao Jumaa...
0 Reactions
13 Replies
196 Views
Zimetapakaa Taarifa kuwa mtandao wa X zamani Twitter utafungiwa na Serikali. Yumkini chokochoko hizo zinatengenezwa na vijana wa UVCCM pamoja na wasaidizi wako wachache wanaopenda kukupaka mafuta...
7 Reactions
22 Replies
636 Views
Kama mkopo wowote, kama hakuna udhibiti madhubuti, pesa zitakwisha bila kujua zilikokwenda! Na kama mkopo wowote, hiyo miaka arobaini ya grace itapita kama maji. Kama hujasikia, Tanzania imekopa...
1 Reactions
0 Replies
275 Views
https://www.youtube.com/watch?v=9of5FD2D9xw Nimebubujikwa na machozi.
8 Reactions
33 Replies
2K Views
Kama mnavyojua mkutano wa mataifa tajiri duniani (G7) umeanza huko Italy. Mataifa hayo ni Italy (Mwenyeji) Germany, France, USA, UK, Japan na Canada wanakutana kujadili mustakabali wa dunia. Je...
3 Reactions
19 Replies
375 Views
Back
Top Bottom