Tamthilia: Uchaguzi wa Urais mwaka 2025, Mwenge wa Demokrasia
Wahusika Wakuu
1.Amani Chawote- Mgombea urais wa chama cha Demokrasia kwa Kila Mtu (DKM)
2.Salama Mwita - Mgombea urais wa chama cha...
Ni kazi kuamini:-
* Kelele za CHADEMA kuhusu barabara ya Nyakanazi - Kigoma CCM imezimaliza. Sasa hii si hoja tena kwao;
* Umeme si hoja tena. REA imefanya kazi kubwa kuleta maendeleo ya nishati...
A LETTER FROM THE GRAVE
A MUST READ !
_The story of LEE KUAN YEW (Ex Prime Minister of Singapore for 31 years)
His OPEN LETTER TO MALAYSIAN LEADERS_
Dear Malaysian leaders, I want to...
"Tukiangazia suala la msamaha ya kodi tunaona kuwa baadhi ya makampuni yamesamehewa kodi ya 'Import Duty' 35% na VAT 18% kwa sukari inayoagizwa kutoka nje ya nchi tani 410,000 wakati viwanda vya...
Ili dira ya maendeleo ya Taifa iwe reality inahitajika.
i, Competent leaders
ii, Kuwa makini wakati wote
iii, Kufanya kazi kwa bidii sana
iv, Wote kuwa na lengo moja katika siasa za nchi( muhimu...
Mimi kwa uzoefu wangu wa kesi za jinai na madai, naona kuna vitu vya kisheria vitajitokeza au kuibuliwa kabla ya kesi ya msingi maana hatujui Kabendera atafungua Shauri la kudai fidia la aina...
Hivi karibuni vimeongezeka visa vingi vya uzembe, utovu wa nidhamu kazini, kunakofanywa na baadhi ya watendaji wa kata zilizopo Arusha.
KERO kuu ya kwanza kabisa, ni kuchelewa kufika ofisini bila...
Sijajua kama ni shida ya Watanzania au shida iko kwenye bajeti zenyewe.
Ama Watanzania wamesusa baada ya kuona hazina maana sana kwao au ni ujinga tu wanahitaji kuelimishwa.
Zamani tukiwa...
Nimekuwa nafuatilia mikutano ya vyama mbali mbali vya kisiasa.
Kuna siku nikakuta wana CCM wanafanya vikao vyao kwa njia ya aibu sana.
Ktk hali ya ulevi na mambo ya hovyo kama mnavyotazama...
Kama nchi tunatakiwa tujisimamie sisi wenyewe katika utekelezaji wa miradi inayotekelezwa katika nchi hii. Karibu zaidi ya asilimia 90 ya miradi yote inayotekelezwa katika nchi yetu ni fedha za...
Bibie Claudia Sheinbaum anatarajia kishinda Uchaguzi wa Mexico baada ya matokeoa ya Uchaguzi kuonesha akiongiza Kwa asilimia 60% Dhidi ya Mpinzani wake Mwanaume.
Huyu atakuwa ni Rais wa Kwanza...
Tangu July, 2015 wakati wa utawala wa Rais Kikwete kima cha chini cha Pensheni za wastaafu hakijawahi kuongezwa kutoka Tsh. 100,000/=.
Tokea 2023 Waziri Mwigulu amekuwa akiongelea zoezi la...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania Daktari Samia Suluhu Hasssan ameibua shangwe na kuteka hisia za watanzania wengi sana, baada ya Rais wetu mpendwa...
Kila maamuzi anayotoa Waziri wa Ardhi na Makazi na maendeleo ya Nyumba, Jerry Silaa ujumbe anaoutoa ni kwamba mifumo ya utoaji haki kwenye Taifa letu imeoza.
Mabaraza ya Ardhi mpaka mahakama zetu...
Tukikumbuka ahadi za wanasiasa na siasa zao uhsusani kipindi hiki cha uchaguzi tunamalizia ni watu wale wale na mambo yale yale. Nakumbuka wakati ule waziri kama sikosei Bashungwa alipiga mpaka...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa.
Hii ndio makala ya leo swali la wito kwa Watanzania wenzangu, jee jjifunze kujikubali kuwa...
Ukisikiliza kauli za viongozi wanaotakiwa kuwatetea wananchi (wabunge) hawako tayari kusema uhalisia wa wananchi wao maana watagombana na chama chao
Ukiangalia vijana wahitimu wa vyuo vikuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.