Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ndugu zangu Watanzania, Kila jambo na majira yake na wakati kwa kusudi maalumu chini ya mbingu. Nafikiri sote tunamfahamu vyema Mheshimiwa David Kafulila,tunafahamu uzalendo wake kwa Taifa...
20 Reactions
124 Replies
2K Views
TANGAZO UBALOZI WA TANZANIA NCHINI RWANDA UNAOMBA KUWAJULISHA UMMA WA WATANZNIA KUWA DEREVA MTANZANIA BW. SHAMSI FAUSTIN LYANGA (40) ALIYEKUWA AKIENDESHA GARI NO. T124 ARQ KUTOKA DAR ES SALAAM...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Ikiwa Uhuru utatishiwa, basi Demokrasia na Uchaguzi vyote vitaathirika, kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020, mazingira ya Vyombo vya Habari yalijipambanua kwa kufungiwa kabisa kufanya kazi...
0 Reactions
1 Replies
861 Views
Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe Dkt. Damas Ndumbaro amehimiza na kuwasisitiza wasanii kujiraismisha ili kurahisisha mipango ya Serikali ya kuwatafutia fursa mbalimbali kwa kuwa sanaa ni...
1 Reactions
2 Replies
187 Views
Ni muda sasa Posta Kawe ni kama haifunguliwi kabisa shida ni nini. MD Ndg Mabeans Chande tafadhali shughulikia hili au toa tamko. Posta ni kiuongo muhimu sana katika ulimwengu wa biashara na...
2 Reactions
2 Replies
230 Views
Lissu mi kama kachanganyikiwa au kuna mtu anamfanyia vitendo vya ushirikina akosane na watu waliombeba akiwa hoi kwa risasi. Mbowe hakulala akipinga Lissu asipelekwe Muhimbili, akatoa hela...
8 Reactions
179 Replies
6K Views
Mwigulu, hotuba ya bajeti ya serikali, uk.44, ulisema serikali imeanza mchakato wa kutafuta mkandarasi wa kujenga kipande cha SGR (Tabora-Kigoma) 514km kwa $2.1 bilioni (Sh4.89 trillioni)...
26 Reactions
128 Replies
6K Views
Tangia saa 2 asubuhi leo huku Halmashauri ya wilaya ya Meru TANESCO wamekata umeme mpaka sahizi. Kwanini umeme ukatwe kwanza bila taarifa? Na mpaka sahizi? Kuna tatizo gani. Kwanini Huu...
2 Reactions
4 Replies
440 Views
Mheshimiwa Philipo Mpango tunaishukuru Serikali kwamba hatimaye barabara ya kutoka Chanika imefika zingiziwa. Yaani imeishia getini kwako mheshimiwa. Tulikuwa tunaomba angalau basi utusaidie...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Taharuki na matumbo joto kwa wanasiasa wabunge wa majimbo ya SINGIDA baada ya tetesi hizi kusambaa kama bush fire 🔥... Ameamua kubadili gia angani mapema, baada ya kutathimini kwa kina...
2 Reactions
42 Replies
1K Views
Tundu Lissu amejibu tuhuma zilitolewa dhidi yake kwamba anayoyasema kuhusu Rais Samia na mtoto wake Abdul kutoa pesa ili kuvuruga uchaguzi ndani ya CHADEMA. Majibu hayo yamekuja baada ya member...
23 Reactions
93 Replies
6K Views
Tanzania inatimiza miaka 32 tangu kurejeshwa rasmi kwa siasa za vyama vya vingi nchini. Julai, 1992 Tanzania iliweka wazi kurejesha mfumo wa siasa za vyama vingi, ambapo mwaka 1995 ulifanyika...
1 Reactions
14 Replies
600 Views
Salaàm! * Habari ya kuwa Abdul alimfuata ili ampe rushwa ni maneno yake mwenyewe. JIULIZE Why mwanasheria nguli afuatwe ili apewe rushwa afu asishitaki kwenye vyombo vya dola. * Kutoa...
1 Reactions
7 Replies
401 Views
Naweza kuuita ni mchoro bora kabisa wa Masudi Kipanya toka aanze kutuletea fikra chanya kupitia katuni zake. Je, huu mchoro wenye rangi za chadema una maana gani wataalam?
8 Reactions
96 Replies
3K Views
Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Shinyanga, imemsimamisha kazi Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Bw.Jonathan Agustino Madete ,kwa tuhuma za makosa mbalimbali...
2 Reactions
18 Replies
866 Views
Binafsi sipingi kukopa ila mambo mawili tu ndiyo ya msingi yananifanya niwaze 1. Je pesa tunakopo zinakwenda sehemu sahihi. 2. kwa rasilimali tulizonazo tunasitahili kukopo kwa kiasi hiki? Je...
9 Reactions
61 Replies
1K Views
Huyu ni Waziri, kazuia watu kushauriwa waende Mahakamani, na ndiye anapaswa kusimamia utawala wa sheria, anataka watu wachapane makonde mitaani? Amewapa maafisa ardhi gepu la kufanya bomoa bomoa...
4 Reactions
44 Replies
2K Views
Ni ukweli usiopingika kuwa ccm imetengeneza udikteta wa kilkatili sana. Yaani inawalazimisha watu kutawaliwa kwa lazima na mtu ambaye hawana namna. Hata kama mna rirais la hovyohovyo maadamu tu...
3 Reactions
19 Replies
401 Views
Kwa hakika mambo yakiendelea kwenda yanavyoenda ipo siku nchi itatawaliwa kwa asilimia mia moja na wakoloni usiniulize ni wakoloni wa aina gani kwani hata humu ndani wamo Taifa limekosa vijana...
4 Reactions
5 Replies
282 Views
Mkuu wa mkoa kupewa Gari yenye special number na bendera ni kulinda hadhi Yako na aliyekuteua kadhalika kukulinda Wewe Binafsi Sasa huyu Dr Nawanda alijua Yeye ni Sawa na Pambalu tu unaweza...
1 Reactions
0 Replies
149 Views
Back
Top Bottom