Duru za habari zimetangaza kuwa, kambi moja ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni karibu na Ukanda wa Ghaza imeteketea kwa moto baada ya kushambuliwa na wanamapambano wa Izzuddin al Qassam, Tawi la...
Safari ilianza Saa 12:01 na kufika Morogoro Saa 1:55
Hongera Rais Samia. Hongera Dr Mpango. RIP Shujaa Magufuli
========
Ilikuwa safari ya dakika 114 zenye bashasha, abiria zaidi ya 600 wakiwa...
Ama kwa hakika CCM ni chama cha michezo nchini, hususani mpira wa miguu. na huu ni mwanzo tu, katika jitihada za makusudi kuhamasisha na kuimarisha michezo kuanzia vijijini. 🐒
Mwenyekiti huyo, ambaye pia ni Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Kimataifa mwenye mafanikio, amekutana na Maranja Masese jijini Dar es Salaam na kufanya naye mazungumzo.
Bado haijafahamika hasa...
Historia inaonesha kuwa hakuna Mwenyekiti wa CCM aliyedumu kwenye nafasi hiyo akiwa nje ya Urais.
Mwalimu alipotoka madarakani harakaharaka akamuachia Ally Hassan Mwinyi uenyekiti wa CCM akiwa...
Mimi nimetafakari sana kuhusu falsafa gani inaongoza Chadema hivi nikisema Chadema ina makundi na mikakati minne ya kimtazamo nitakosea. makundi hayo ni kundi la akina Lissu na Heche wanaoamini...
Amekamatwa leo kwa kile kilichoitwa Uchochezi alioutoa kwenye Mkutano wa Lissu huko Mkalama, mpaka muda huu bado yuko Mikononi mwa Polisi.
Anatetewa na Wakili Msomi Tundu Lissu
---
Jeshi la...
Pamoja na kwamba anachoongea Azim Dewji ndio ukweli wenyewe ila haters wa Samia hawawezi kumuelewa.
Watu wapumbavu wataendelea kusema wakati wa Magufuli hakukuwa na Mgao ilhali wanajua kabisa...
Sikuwahi kukubali baadhi ya matukio chini ya utawala wa Hayati Magufuli, lakini kwa pamoja tukubali Magufuli had what it takes to be the president of URT, alikuwa na sera thabiti za kiuchumi na...
Kila mtu atakubaliana na mimi kuwa nipo sahihi na mzalendo wa kweli.
Pesa za umma zinapotea hovyo, nidhamu serikalini imepotea. Deni la taifa linapaa kama Kunguru.
Mama apishe 2025 yakae majembe...
1. Polisi wawili waua kwa risasi mlinzi wa Bar maarufu ya Boardroom iliyopo Sinza Jijini Dar es Salaam.
2. Mlinzi waliyeuwawa kwa risasi anaitwa Razak Anan mwenye umri wa miaka 29 muajiriwa wa...
Nimefuatilia kwa karibu ziara ya Lissu mkoani Singida, kwa asilimia 96 amekuwa akiongea kwa kinyaturu wakati shughuli anayofanya ni rasmi iliyosajiliwa.
Mwanasiasa akiishiwa hoja hukimbilia...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb) Juni 15, 2024 amefunga rasmi mafunzo ya mwaka mmoja ya Ukamanda na Unadhimu katika Mahafali ya 38 ya Chuo cha Ukamanda na...
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema,"Hatuwezi kuwa na Rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini...
Hii ndio Taarifa ya sasa kutoka huko Moshi Mjini
Bado haijafahamika kama naye ataitisha kikao na Waandishi wa Habari wa Channel 10 na TBC nyumbani kwake ili kumtukana Mbowe au La
Hivi kuna watoto waliosomeshwa shule za kulipia na ni jobless maana hii inafikirisha?
Iwe shule ya msingi ama sekondari au hata chuo na bado akawa jobless hii inawezekana?
Na kama ni ndio tatizo...
Ukifuatilia kwa makini mgogoro wa sheikh Kundecha na mwanaharakati Maria Sarungi utagundua Chanzo chake ni Artificial intelligence ( cartoon)
Papa Francisco amewaasa Biden na wenzake pale G7...
Taarifa yake hii hapa
=====
Masoud Kipanya ametangaza kwamba tayari amefungua kesi na anadai fidia ya tsh bil 5 kwa kuchafuliwa na Mwijaku
Zaidi Soma:
Mwijaku amuomba msamaha Masoud Kipanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.