Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Huko Geita halmashauri Leo wanatarajia kuzika diwani wa tatu tangu waliopitishwa na JPM 2020. Walipitishwa,bila demokrasia,kujali umri,afyana matokeo yake wengi wamefariki bila kufikisha udiwani...
0 Reactions
4 Replies
220 Views
Hadi kufikia mwaka 2010 ukiambiwa huyu ni kiongozi wa Umoja wa Vijana unaanza kumpandisha kuhusu uwezo wake kichwani. Hata kama ni wa ngazi ya Kata ukimuona tu unasema "this boy is bright. Ila...
1 Reactions
10 Replies
304 Views
Nimesoma kwenye mtandao wa Instagram kwamba Hospitali ya Mloganzira itaanza kuhudumia wanaotaka kuongeza au kupunguza maumbile ya mwili kama matako, matiti nk. Je, ni sahihi kwa taasisi kama hii...
1 Reactions
7 Replies
603 Views
Ni ukweli usiopingika kuwa maendeleo ya nchi yanayegemea sana demokrasia ambayo ndani yake imo HAKI ya wananchi wote kwa wakati wote. Haki Huinua Taifa. Rais kwa hili linahitaji utashi wako ili...
0 Reactions
4 Replies
445 Views
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ataongoza mikutano ya Mashauriano kwenye Mikoa ya Kanda ya Mashariki kama ifuatavyo: Tanga tarehe 15 June Arusha 16 June Manyara 18 June Kilimanjaro 19...
2 Reactions
12 Replies
429 Views
https://youtu.be/hHvbungjv-I?si=WvGqWz5ugZWo4yrY Kuna wakati Mtanzania hakuwa anashughulishwa na tumbo lake tu: kufikiria atalipiaje kilo ya sukari, atalipiaje maji, umeme, gesi.... zote bidhaa...
2 Reactions
4 Replies
508 Views
Ili kupunguza ugumu wa maisha unaochangiwa na Ukosefu wa ajira na mfumuko mkubwa wa bei za bidhaa huko Senegal, Bassirou Faye Rais mwenye Umri mdogo kuliko wote Afrika, ameamua kuondoa kodi katika...
4 Reactions
3 Replies
352 Views
Sisi Wakongwe hatukufikiri kwamba Kaburu anaweza kurudi Serikalini Kumbe mzee Mbowe aliona mbali kuingia Maridhiano na CCM japo kwa katiba ya Tanzania hauwezi kuiondoa CCM madarakani sana sana...
0 Reactions
1 Replies
143 Views
Mwigulu anakwenda kuwasilisha bajeti ya USD 15 billion na ving’ora na escort. 2024. Jeremy Hunt, waziri wa Fedha wa UK akitembea kuwasilisha bajeti ya USD 1,600 billion. 2024. Huu ni ulimbukeni...
51 Reactions
134 Replies
4K Views
Ndugu zangu watanzania, Kama kuna Muhimili unapaswa kuwa msitari wa mbele kumtia moyo Rais Samia ,basi ni Muhimili wa Bunge.Hii ni kwa kuwa wabunge kwa macho yao ni mashuhuda wa namna Rais Samia...
3 Reactions
89 Replies
1K Views
Watumishi wengi mpaka leo hii hawamkubali JPM kwa sababu kuu nne 1.Mishahara haikupanda 2.Watu hawakuajiriwa 3.Madaraja hawakupandishwa 4.Mianya ya Upigaji ilizibwa Sasa mambo mengi mazuri...
3 Reactions
10 Replies
358 Views
BASHUNGWA CUP 2024 KUANZA KURINDIMA MWEZI JULAI, 2024 Mashindano ya mpira wa miguu yaliyopewa jina la "BASHUNGWA CUP 2024" yataanza kurindima mwanzoni mwa mwezi Julai 2024 katika Wilaya ya...
0 Reactions
4 Replies
248 Views
TAARIFA KWA UMMA KUKEMEA UDHIBITI WA UHURU WA HABARI NA UNYANYASAJI WA WAANDISHI WA HABARI Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kimepokea kwa masikitiko taarifa za kukamatwa kwa mwandishi wa...
4 Reactions
9 Replies
744 Views
Wakati tupo TYL vijana tuliheshimika na kuogopwa sana na Viongozi wakuu wa TANU na wale wa Serikali Hii ililithiwa hata na uvccm ya akina Sukwa, Guninita na hata Emmanuel Nchimbi Bavicha ya...
1 Reactions
4 Replies
165 Views
Makamu Mwenyekiti wa chama Tundu Lissu anasema Kuna watu ndani ya Chadema wamenunuliwa. Pesa zimemwagwa ili kupanga safu ndani ya chama ambayo ni nafuu kisiasa kwa wahongaji. Hili jambo...
4 Reactions
35 Replies
561 Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewapongeza viongozi wa Wizara ya Maji kwa kusimamia na kufanikisha vema utekelezaji wa Mradi wa Maji wa Same -Mwanga –...
1 Reactions
4 Replies
319 Views
Ni vema Tanroads na Tarura wakaamka sasa kufanyia matengenezo barabara zetu Usafiri wa bodaboda kwa viongozi wetu tulizoea kuuona Kule Vijijini lakini siyo Mijini kama ilivyokuwa kwa Tundu...
0 Reactions
2 Replies
144 Views
Ukiniuliza kiongozi gani unampenda mimi bila ya kupepesya macho nitakutajia Dkt Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania! Swali; Kwanini unampenda Dkt Samia Suluhu Hassan,Rais...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM),Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana ameweka wazi kuwa Rais Samia Suluhu Hasasan ni Rais kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na...
7 Reactions
117 Replies
8K Views
MNAACHA KUFUNGA MAFISADI NA WANAODHULUMU WANANCHI MNATAKA KUFUÑGA k X (Twitter) ACHENI UNAFIKI. Anaandika, Robért Heriel Mtibeli Ni kweli ushoga ni mbaya hilo hata sisi Watibeli tunajua na...
9 Reactions
8 Replies
449 Views
Back
Top Bottom