Kwa mujibu wa taarifa ya VoA, Azam na Citizen TV ni Kwamba nchi ya Zambia ndio imeelemewa zaidi na madeni wakiwa kundi Moja na Zimbabwe, Congo, Kenya na Msumbiji
Tanzania tuko ukanda Salama...
Salaam,Shalom,
Ushahidi wa Luhaga Mpina uko dhahiri kuwa Kuna uwezekano mkubwa kuwa TUNDU Lissu alisema Kweli juu ya kuhusika Kwa baadhi ya masheikh na maaskofu kuhujumu Taifa Kwa kutengeneza...
Kila kukicha shillingi ya Tanzania inazidi kuporomoka huku tuna Waziri wa Fedha mahiri, tuna Gavana wa Benki mahiri na wachumi mahiri. Leo fedha ya Tanzania inabadilishwa kwa Tshs. 2,675 kwa...
Hello !
Mwanzoni mwa mwezi May 2024 mke wangu aliniambia kuwa kadi za CCM zinefika, mjumbe kaandika jina lako hivyo twende ukachukue kadi yako.
Nilitafakari, inakuwaje mjumbe aandike jina langu...
Na kwamba ni kweli hilo Deni, kwa maana katika hizo hela Tulizokopa kama Taifa, Zanzibar Haikuambulia hata sentano kipande? Mbona wao hawahusiki na kinachoitwa deni la Taifa?
Huu Muungano mbona...
Hivi vyama vya Siasa ni Mali ya Wananchi hivyo nakubaliana na mchungaji Msigwa Kwamba kumuogopa Mwenyekiti ni Ushamba
Prof Lipumba hakuasisi CUF Lakini kwa sasa ndio Kinara wake
Zitto Kabwe...
Taarifa ya Mbunge wa CCM, Luhaga Mpina aliyoitoa Bungeni na kuingizwa kwenye Hansard, imeweka Ushahidi usio na Shaka yoyote kwamba Wawili hao walipanga njama (Iliyofanikiwa) ya kusababisha Uhaba...
Hii nchi Samia asingeinusuru baada ya torture tulizozipitia surely akina tundu lisu na lema au mbowe wangekuwa bado wako ughaibuni kuogopa kuuawa.
Hii nchi mama kaitoa mbali sana tulikuwa...
Najaribu kukumbuka tu. Katika historia ya bunge letu, hakujawahi kutokea mbunge kama Chrisant Majiyatanga Mzindakaya mbunge wa Kwela mkoani Rukwa.
Sio tu kwamba ni mbunge aliyekaa bungeni kwa...
Unapokopa unawekeza katika miradi inayozalisha zaidi kuliko ile gharama ya kukopa(cost of borrowing), miradi mikubwa tuliyoiona ni ile iliyoanzishwa na Hayati Rais John Pombe Magufuli, miradi wa...
Only in Tanzania ndipo kufanya kazi kituoni muda mrefu ni kigezo cha kushuka ufanisi. Tanzania Uhamisho wa watendaji ni maamuzi ya kila mtu. Hakuna sera inayoongoza taratibu za uhamisho.
Leo kwa...
Hali ya kisiasa ya Luhaga Mpina jimboni kwake ni mbaya sana, kila anakopita watu wanamsonya, na wanajiapiza kumsubiri mwaka 2025 wamponde ponde.
Jitihada za Mpina kujijenga kisiasa kwa...
Mkurugenzi wa Chadema mh Mrema anamuuliza Masoud Kipanya " Wakati wa Maridhiano tukawa mbwa na Joka, Chaguzi Kanda malori ya mafuta yanafuata moto, Leo Basi limepasuka barabarani! What next? Au...
Ufafanuzi kuhusu Gawio ka TSH. Bilioni 153.9 lililoyolewa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania TPA kwa Serikali.
Katika Mitandao ya Kijamii na makundi sogozi, zinasambaa taarifa potofu...
Mohamed Kamal Ismail alikuwa mmoja wa watu muhimu nyuma ya upanuzi mkubwa wa misikiti miwili mitakatifu nchini Saudi Arabia.
Msanifu majengo wa Misri, aliyezaliwa mwaka 1908, alichaguliwa na...
Habari hii nimeisikia asubuhi hii kupitia RFA magazeti, mwenye taarifa atujuze ni nani ukizingatia kuna yule mwandishi wa kanda ya ziwa anayedaiwa kuandika sakata la mkuu wa mkoa kukamatwa na...
Wanataka uchaguzi huo usimamiwe na Tume ya Uchaguzi.
Taarifa ya Katibu Mkuu wa Chama hicho John Mnyika hii hapa .
======
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimependekeza kuwa uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.