Kuna watu hapa hawasalimiani, Lema mpaka anakimbia anaogopa kugombea kanda, shughuli ya mitandaoni hiyo, katandikwa mtandaoni mwenyekiti wa kanda mwenye mamlaka ya kanda yake, kiongozi wenu, wako...
Wote tunatambua kuwa wamasai wa Ngorongoro wamehamishwa toka makazi yao ya asili huko Mkoani Arusha, wakavushwa mkoa wa Kilimanjaro, mpaka kwenda kutupwa mkoani Tanga. Huu ni uharamia mkubwa dhidi...
Kwa maendeleo yenye uhakika inatakiwa Mikoa yote Mikubwa yaani DSM,Mbeya,Morogoro,Arusha,Kilimanjaro,Tanga,Iringa iongozwe na Wabunge na Madiwani kutoka Vyama vya Upinzani,la sivyo tusahau kupata...
Katika ulimwengu wa kiroho CCM inaonekana imebakisha miaka michache sana ya kuitwa chama tawala Tanzania
Sitaki kusema sana lakini wacha tuone itakavyokuwa. Lakini kama wanavyosema kwenye...
KWELI siasa ni mchezo wa ajabu. Tarehe 27/8/2023 kutafanyika maadhimisho ya kifo Cha utata wa Bernard Membe kijijini kwake Rondo-Chiponda mkoani Lindi.
Waandalizi wa tukio hilo kutoka Dar es...
Leo tarehe 16.6.2024 Katika zunguuka yangu nimefika eneo la majengo karibu na shule ya Secondari Legico Mbeya mjini. Nikakuta kuna umati wa watu nikasogea baada ya kusikia sauti za spika...
Kwanza hakuna mjadala kuwa CCM inatakiwa kutolewa madarakani kwa njia yoyote ile.
Pia hakuna mjadala kuwa mpaka sasa hakuna jinsi nyingine ya kuwa na chama kingine nje ya CHADEMA cha kupambana na...
Kesho moto utawaka kwenye Bunge la Nchi jirani baada ya Wapigakura kuwaagiza Wabunge wao wasiipigie kura ya Ndio bajeti
Inasemekana Nchi hiyo Madeni yake mengi " yameiva" na haina namna ya kulipa...
Waziri wa Habari, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Nape Nnauye amesema wanaona mijadala yote inayoendelea (kuhusu maoni ya kama mtandao wa X ufungiwe au laah) na kusema Mamlaka ya Mawasiliano...
Serikali ya awamu ya Sita ina jukumu la kubwa la kuwaletea Watanzania Maendeleo, ustawi bora wa Maisha, huduma za Kijamii bora na usawa kwa kila Mtanzania.
Kuna kelele nyingi na matusi toka kwa...
Kwa mujibu wa Waziri anaeshugulikia mipango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar SMZ,Deni la Serikali limeongezeka kutoka Bilioni 155.8 mwaka 2020 Hadi zaidi ya Trilioni 1.1 mwaka 2024 kutokanaa...
Kwa nini viongozi wengi wa siasa lazima wawe ndio namba moja katika kula rushwa uku katiba ikiwakingia vifua tofauti kosa hilo likifanywa na mtu mwingine?
Rais Samia Suluhu Hassan amesema bado kuna viongozi wa mikoa na wilaya wanaendeleza matumizi mabaya ya madaraka hasa eneo la ukamataji.
Rais Samia amesema hayo wakati akitoa hotuba baada ya...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Joseph Mbilinyi amemtembelea nyumbani kwake Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilosa na kufanya naye mazungumzo.
Wawili hao ambao wote ni wanamuziki wa kiwango...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema tayari mtambo namba nane kutoka kwenye Mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere umekamilika na sasa unaingiza megawati 235...
Hongera kwako Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan kwa kusimama kidete na hatimaye mradi huu mkubwa wa kimkakati na uliopigwa vita na Wakoloni, Wakoloni mamboleo,vibaraka wa wakoloni na wasiojitambua...
Wadau, picha yajieleza hapo!! Hofu yangu ni moja na pengine watanzania naomba mnifafanulie. Kukiwa na punguzo la bei ya mafuta ya petroli sokoni bei isishuke bali ibaki kama hapo awali? Kwa tafsri...
Wasalaamu wanaJF,
Tunapozungumzia National reconcilliation tunamaanisha kuwa lazima kuwe na give and take.
Ipo hoja iliyobakia kutoka kwa wanachadema ya kwamba marekebisho katika kanuni au...
Kuna kipindi Vyama vya Wafanyakazi vilikuwa vina nguvu sana na ndio vilikuwa vinaset agenda; lakini ni muda sasa kutokana na wahitaji wa ajira kuwa wengi kuliko uhitaji vyama hivi havina meno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.