Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Salaam, Shalom!! Tulipoitwa katika mikutano ya Kutoa maoni kuhusu Katiba mpya Awamu ya nne, Ndugu Samia SH, alikuwa mjumbe wa Tume hiyo. Moja kati ya maoni muhimu ya wananchi ,tulitaka ipatikane...
2 Reactions
29 Replies
460 Views
Signs You are Born to be a Leader, According to Psychology BY PSYCHOLOGS MAGAZINE JUNE 10, 2024 The concept of leadership and leadership styles has informed a vast array of fields of research for...
6 Reactions
13 Replies
884 Views
Dunia imeanza kupitia wakati mbaya zaidi kuwahi kutokea katika historia ya Mwadamu, Athari za uhalibifu wa mazingira zimekuwa kubwa saana siku baada ya siku. Industrial countries zina mchango...
1 Reactions
1 Replies
168 Views
DENI LA TAIFA NA GIZA TUENDAKO 1961 - 1985 Chini ya utawala wa Mwl. Nyerere (RIP) aliyetawala kwa takriban miaka 25, pamoja na vita ya mwaka 1978-1979 na Idi Amini wa Uganda, mpaka anang'atuka...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Yaani Dr Bashiru angetakiwa kufukuzwa kazi kwa kuhongo wabunge, kuuwa demokrasia ya nchi na mpaka leo nchi yetu inapata matatizo kwasababu yake
2 Reactions
3 Replies
310 Views
Tatizo la maji mjini Arusha sasa limekuwa sugu. Inakuwaje maji yanakatwa kwa zaidi ya siku tatu bila accountability yoyote? Shida hasa ni nini? Kumekuwa na mvua za kutosha Arusha na mikoa yote...
2 Reactions
14 Replies
651 Views
Mwendazake aliitumia vizuri nguvu yake ya uongozi kuwapa watu ubunge wenye uwezo mdogo wa kufikiri. Mfano Khamis Taletale au Babu Tale, mbunge wa Sengerema Khamisi Tabasamu na wengine wote wenye...
20 Reactions
71 Replies
3K Views
Madiwani Jimbo la Hai wameliwa vichwa na UVCCM, baada ya Mbunge wao kuwezesha UVCCM kupata posho kufanya kikao cha Baraza. Madiwani sasa katafuteni mbunge wenu mwingine, mliye naye amewapiga kona.
2 Reactions
24 Replies
843 Views
BRT ilipaswa kuwa fahari ya Dar kwenye masuala ya usafiri wa umma lakini leo BRT umekuwa janga kwa wasafiri wenye kuhitaji ustaarabu kama watu wazima na wazee. Mnajua jinsi unavyohitajika kuwa na...
1 Reactions
21 Replies
430 Views
SIASA YETU INATUPOTEZA AU INATUSAIDIA? Wasalaam aleikum, wanajamii wenzangu. Leo nimeamua kuongelea siasa ya Afrika huru, je ni kweli inatusiadia au ndo unatupoteza? Naombeni maoni yenu. Nchi...
1 Reactions
3 Replies
245 Views
Kutokana na hali ya kuendelea hali ya sintofahamu inayoendelea katika baraza letu. Leo Hebu tujadili mbunge gani unatamani asirudi tena kwenye nafasi ya uwaziri na sababu ni ipi ? 1.UMMY MWAIMU...
3 Reactions
35 Replies
998 Views
Katika utafiti wangu kuhusu biashara ya ukahaba katika Jiji la Dar es Salaam, nimebaini kuwa picha iliyozoeleka ya wadada wanaopanga mstari barabarani kusubiri wateja siyo halisi kabisa. Ukweli ni...
14 Reactions
72 Replies
4K Views
Lissu na jeshi la makamanda wasioyumbishwa na yoyote Lema, Msigwa na Heche watakuwa jukwaa moja wakigaragaza waramba asali uko Singida. Msigwa - amekataa rufaa uchaguzi uliojaa rushwa na uhuni...
2 Reactions
45 Replies
2K Views
📌 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Bukoba Vijijini Ndugu Fatina Hussein Laay awakaribisha wananchi wote. Kambi ya Siku 5 mfululizo yaanza leo Jumatatu Hospitali ya Wilaya- Bujunangoma kutoa huduma...
0 Reactions
1 Replies
303 Views
Denmark inatarajia kuufunga ubalozi wake nchini Tanzania ifikapo 2024. Ni kati ya nchi ambazo zimekuwa zikiipa Tanzania misaada, tokea ikiitwa Tanganyika hadi sasa ikiwa inajulikana kwa jina...
48 Reactions
443 Replies
18K Views
Amesema mtazamo wake kuhusu katiba ni kuleta nafuu kwenye maisha ya kila siku mf. Wanawake wasio na ajira wapewe mikopo bila riba mtu akifa maiti isidaiwe chochote na kijana akihitimu masomo na...
5 Reactions
6 Replies
343 Views
Ndugu zangu watanzania, Nimeona ni kama kiswahili kimekuwa kigumu kidogo kwetu watanzania japo ndio lugha yetu ya Taifa au huwa tunasoma taarifa kwa juu juu tu,kama kawaida yetu ya baadhi yetu...
5 Reactions
136 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan ametuma salamu nzito za pongezi kwa Mheshimiwa Cyril Ramaphosa ,kwa kuchaguliwa kwake...
5 Reactions
54 Replies
1K Views
Miaka ya majaribio madini na bahari mapori vyote vimeuzwa kwasasa Tanzania ina deni la trilioni 91 hii maana yake ni kwamba kwa Watanzania milion 60 kila mmoja anadaiwa Tsh 1,500,000/=. Kwanza...
14 Reactions
40 Replies
2K Views
Nimeshangaa kusikia Magoti ndiye alikuwa anamshauri Rais kuhusu siasa. Nikimuangalia ni kama ana umri wa miaka thelasini hivi, yaani mtoto tu, na ndio maana mwanzo nilidhani ni mhudumu au afisa wa...
19 Reactions
117 Replies
8K Views
Back
Top Bottom