Hakika nawaambieni, hii biashara haramu ya kukopesha mitandaoni kwa riba kubwa tena kwa kutumia mitandao ya simu ya humu nchini pasipo wahusika kukamatwa, ni biashara ya vigogo kama ilivyo...
Wakuu Heshima mbele kwanza.
Msikilize hapa mbunge wa makambako Deo sanga👇
Mbunge wa Makambako, Deo Sanga amesema kuwa wanamekuwa wakimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa sababu yeye ndiye...
Hii tabia ya Wanasiasa kutumia jeshi kwa mambo ya kisiasa inakera.
Majeshi yaletu yako kwa ajili ya kuhudumia Taifa na rai wake.
Kuna sababu Gani kutumia wapiganaji wa vita katika mambo ya siasa...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha hadi sasa sijui kaenda kufanya nini TBC.
Kageuzi TBC kama TV ya Chama tawala na anajivunia hilo.
Je, rasi, unaona...
Hii ndio Taarifa mpya inayosambaa kwa kasi mitandaoni.
Ikumbukwe kwamba Tangu kuchaguliwa kwake hii ndio mara ya kwanza kuongea na Wananchi, Je atafumua kitu gani na atakuja na Mikakati gani ya...
Later today in Nairobi, we will be launching the construction of Twin Towers (22 floors each) buildings, a real estate investment by NSSF and Tanzania’s Ministry of Foreign Affairs in Upper Hill...
Mwanaharakati Ahmed Kombo amewaomba radhi Wakristo na Waislam kwa kauli aliyoitoa kuwa akitoka Yesu na Mtume Muhammad (SAW) anayefuata ni Rais Samia.
Kombo amesema yeye ni Muislamu na anatambua...
Katika hili sakata,
1. Inashangaza kwamba spika ndio umekuwa wa kwanza badala ya Waziri Bashe au upande wa serikali kumtaka Mpina alete uthibitisho au maelezo kwamba Waziri Bashe amelidanganya...
Nimekuwepo kwenye utumishi wa umma huu mwaka 4 sasa katika halmashauri moja huku mkoani Morogoro.Tangu nilipofika katika halmashauri hii 2020 nilimkuta mkurugenzi ambaye tayari alikuwepo hapa...
katika wasilisho lako la leo Mh. Spika ulikuwa na nafasi ya kumuadabisha Mpina moja kwa moja lakini kwa kuzingatia utawala bora bado umeruhusu kamati zipitie hoja zake, na hoja ya utovu wa...
Nimeona kupitia Jambo TV Mh. Mpina akidai Waziri Bashe ametoa Kibali kwa kampuni ya simu ya Itel yenye mtaji mdogo kuagiza Sukari ya Tsh. Billion 6.6.
Hii inanikumbusha jinsi Hayati Ndesamburo...
#
Katika uchaguzi wa 2024-2025, tunawasihi vijana wetu kufanya maamuzi yao kwa hekima na utambuzi mkubwa. Ingawa kuna vishawishi vya fedha na zawadi kama pikipiki, hatupi kibali kwa wale...
Kulingana na data zilizopo hata mtandaoni, shillingi yetu imeshuka kwa kiwango cha kutisha.
REKODI ZIPO HIVI:
Mwaka 2020. 1 Dollar -Tshs 2,314.8
Mwaka 2021. 1Dollar -Tshs 2,314.3
Mwaka...
Hii ni kwa mujibu wa Waziri kivuli wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi Mh Godbless Lema alipoongea na waandishi wa habari .
Ikumbukwe kwamba Kambi rasmi ya upinzani imeamua kuachana na kusoma...
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekuwa ikishuhudia mijadala mikali kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii, hasa Twitter, ambayo imekuwa ikichukuliwa kama mtandao wenye nguvu katika...
Tangu kuanza kwa Bunge la Bajeti mwaka 2019/20 si jambo la ajabu kuona vitabu vya hotuba za wasemaji wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kuhusu wizara mbalimbali karibu kila kurasa vikiwa...
Kila Kona tunaona mabango ya sifa na mapambio kwa mkuu "anaupiga mwingi anaupiga mwingi" lakini hali halisi ya mtaani ni tofauti sana kwa sasa upatikanaji wa pesa mtaani umekuwa ni mgumu mno...
MAAZIMIO YA UVCCM KWENYE KONGAMANO LA MIAKA 60 YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
🗓️21Aprili, 2024
📍Zanzibar
Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi wameanzimia mambo yafuatayo katika...
Nchi yetu imejaa watu wanafiki, ama wanaotafuta sifa za kijinga au wanaoishi kwa hadaa. Wanaotamka 1 lakini wanamaanisha 5.
Hivi karibuni kumeibuka kelele za kinafiki toka kwa baadhi ya wanafiki...
https://youtu.be/8e1UBU81_gc?si=2Q1GQkjkwy7vREo7
Nisiwachoshe.....
Uliibuliwa uozo wa kutisha na Lissu kuhusu ufisadi wa sukari. Uozo huo umejengewa hoja bungeni na Mpina. Bashe amepiga pesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.