Ninakupongeza sana Mhe. Mpina kwa taarifa yako iliyo na ukweli ndani yake na kwa kweli umetufumbua maacho wananchi jinsi tunavyonyonywa na watu wachache wasio waaminifu.
(1) Sukari tunayouziwa...
Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya Motisun Group ambaye anatajwa kuwa miongoni mwa Mabilionea wachache nchini Tanzania na mfanyabiashara, Subhash Patel inadaiwa amefariki leo.
UPDATES...
Wananchi hawana imani tena na upinzani, wamechoshwa na stori na porojo na kusingizia rushwa mara kwa mara sababu ambazo hazina mashiko kwenye mahitaji na changamoti zao za kila siku.
Hali iyo...
June 4,2024 Wakati Spika Dr Tulia anampa Mbunge wa Kisesa siku 10 kuleta Ushahidi wa Waziri Bashe kulidanganya bunge alisema " naomba ieleweke Siyo kwamba namuweka mh Mpina kwenye kona"
Hii kauli...
Huu upigaji unaanza hapa mdogo mdogo ,kama hawana habari mwisho wa siku atajifanya anatokea mbunge mmoja anaibua kashfa ya upigaji.
Spika atakurupuka anaunda kamati ya uchunguzi, na kamati...
Jumikita kwa wale msiyojua kirefu chake ni Jumuiya ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii, wanawakilisha wanahabari wote wa mtandaoni nchini. Rais Samia anawasifia na kuwaambia mwende mkachuje...
Kutoka,
Sembeti, Marangu.
Kazi ya Ukamilishaji wa ujenzi wa daraja linalounganisha vijiji vya Samanga na Sembeti uliosimama kwa takribani miaka 20 inaendelea baada ya kupata fedha toka mfuko wa...
We kila mkutano wako unashambulia Wabunge mara ulie kuwa kuna watu wanakuwinda mara sijui Mwigulu kafanya hivi, mara umedakia kwa Mpina, wananchi wanataka wakusikie njia mbadala za kukuza uchumi...
Ushahidi aliotoa Luhaga Mpina ni mzito sana tena umejaa reference nyingi tu.
Nilitegemea wanahabari wajuze umma kama jinsi ambavyo Luhaga kaelezea,lakini kuna nguvu kubwa inatumika kulizima jambo...
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
MASHEIKH WALIOCHUKULIWA NA POLISI MAHAKAMANI JANA WAMETOLEWA LEO 5/6/24, ALASIRI KWA DHAMANA.
(HAWAKUELEZWA DHAMANA YA TUHUMA GANI, MAANA WAMESHINDA KESI NA KUACHIWA...
Huenda hotuba hii ya Askofu Mwanamapinduzi ndio chanzo cha yeye kukamatwa na Polisi.
=======
Askofu Machumu: Chini ya Serikali ya mama Samia Suluhu Hassan, yeye ndio ameamua rasmi kuiuza...
Wanabodi,
Haya sii maneno yangu bali ni paraphrasing from ushauri wa mwana Jf humu.
Angalizo kuhusu paraphrasing.
Ni editing tool inayotumiwa na ma editors ku summarize long speeches kwa kufanya...
Na. M. M. Mwanakijiji
Sielewi kwanini serikali inapojaribu kusimamia mabadiliko na nidhamu katika utumishi wa umma inajigongelea misumari yenyewe. Ninavyoona ni sawa na fundi seremala mashuhuri...
Ukiangalia mikataba mingi anayoingia Rais Samia na anaowaita Wawekezaji mingi ni ya muda mrefu.
Mikataba ya aina hiyo ilipata kuingiwa pia kipindi cha utawala wa Mzee Kikwete.
Ikumbukwe mikataba...
Bila unafiki, ushambenga, uchawa na ukurung'unzu wowote. Nasimama kusema katika umri wangu spika Bora niliyewahi kumuona na kumkubali alikuwa Samweli Sitta mzee wa viwango! Lakini kwa sasa nchi...
Hayati Julius alijikita zaidi kuwakomboa Wazimbabwe na Waafrika kusini akasahau kujenga nchi yake.
Hayati Mwinyi akaruhusu ufisadi na kila namna ya upigaji.
Mkapa akajitahidi kidogo kukusanya...
ni Chama Cha Mapinduzi CCM.
Sera zake za kusisimua na kuimarisha uchumi bado zinahitajika na kuaminika zaidi ndani na nje ya nchi, kwani kwa kiasi kikubwa zimebadili hali ya vipato na kuongeza...
Watanzania tufunge na kusali huyu mama nawaambia miradi yote ikiish a iliyopo NI kudra ya mwenyezi mungu ! NI mama asiyejali na ameziba masikio watu wanaiba yeye ameziba masikio Tu! Tuseme kwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa Anaendelea kukonga na kukosha mioyo ya watu mbalimbali na mataifa mbalimbali, kutokana na uchapakazi wake pamoja na mapinduzi na mabadiliko mbalimbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.