Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ni wakati muafaka sasa kwa CCM kufanya wajibu wake muhimu sana, dhidi ya wenye kiburi, waongo, wabishi na wenye tamaa waliobakiza mioyo yao ccm, lakini akili zao zikiwa kwa walio watuma. Wakati...
-11 Reactions
194 Replies
4K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lissu amewaambia wazazi wa Manyoni Kuwa Watoto wao waliopo Vyuo vikuu hawapewi Mikopo wanaenda kujiuza "Ukienda DSM muda wa Usiku utawakuta mabinti wa Vyuo...
8 Reactions
28 Replies
825 Views
Kwa jicho la kuona mbali ni wakati sahihi wa bwana Mpina aondoke CCM. Ni wazi mfumo wa Serikali ya sasa umemkataa kwa sababu moja tu nayo ni wenzake wanapiga ilhali yeye hafanyi hivyo. Suluhu na...
3 Reactions
15 Replies
459 Views
Bado kuna baadhi ya tofauti kubwa kati ya Tanzania ya Magufuli na Tanzania ya Rais Samia Suluhu. Hapa ni baadhi ya mambo muhimu: 1. Uongozi na Mtazamo: Rais Magufuli alikuwa na mtazamo tofauti...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Just for curiosity!
21 Reactions
45 Replies
1K Views
Miaka 66 iliyopita Baba wa Taifa JK Nyerere aliyasema maneno haya.
0 Reactions
2 Replies
269 Views
Kwa chanzo nyeti chama kongwe ni kuwa wapiga kura October 2025, yakadiriwa kufika million 33. Hali hii yawatisha wenye chama. Chanzo hicho kimeniambia ujio ya wapiga kura watoto kama alivyosema...
5 Reactions
16 Replies
863 Views
Nina penda sana kuwa mwana siasi na kiongozi mzuri, Japo sijajua nijifunze kwa kiongozi gani wa hapa Tanzania, Please naomba Ushauri kuhusu hili.
1 Reactions
1 Replies
194 Views
Mh. Spika, kwa nini unataka kumlinda mwizi kwa kumfunga aliyetoa taarifa za wizi? Watanzania wa sasa wana akili na wanaelewa unachotaka kukifanya. Tunataka kwanza hoja za Mpina zijibiwe barabara...
9 Reactions
24 Replies
829 Views
Kwa mujibu wa sheria ya ardhi ya Kijiji, (The Village Land Act, Cap 114) na kanuni zake, serikali ya Kijiji hairuhusiwi kugawa ardhi ambayo inazidi ekari 50. Mpina amegawiwa ekari 1000, kubwa...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Tundu Antipas Lisu na mh Mpina wanadai uhaba wa sukari/ sugar ulitengenezwa Swali la msingi ni nani aliyetengeneza huu uhaba wa sukari ikiwa wazalishaji wa sukari ni sekta binafsi? Sidhani kama...
1 Reactions
1 Replies
203 Views
Hali inatisha inaogofya hakuna tena wa kumuamini, kiti cha spika kimevutwa na sumaku na kuelemea upande wenye najisi uongo wizi na ufisadi. Iliyobaki kila mwananchi ajitetee kivyake ifikapo 2025...
16 Reactions
120 Replies
4K Views
Nimekusikia ukichangia kuhusu mpango wa taifa wa maendeleo,huna point bali umechagua kutumikia upande unaokulipa, Ushahidi alioutoa Luhaga Mpana unakuzidi uwezo huwezi uchambua kwa hiyo akili...
1 Reactions
6 Replies
235 Views
Hayo ni Maneno kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, alipohutubia Wananchi kwenye Jimbo la Mwigulu huko Iramba mara baada ya kushuhudia dhiki ya kutisha inayowakabili wananchi...
6 Reactions
12 Replies
465 Views
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imekutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari, leo Jumatano Juni 12, 2024 kwenye Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya majadiliano kuhusu...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Mojawapo ya vigezo, tunu na utamaduni muhimu wa demokrasia ni ushindani wa haki wa wagombea kupitia sanduku la kura. Kunapokosekana huo ushindani demokrasia inakuwa imekanyagwa na kusiginwa. Kwa...
7 Reactions
14 Replies
863 Views
Zaidi msome mwenyewe hapa chini
1 Reactions
10 Replies
194 Views
Naomba tutafakari nani genius kati ya hawa; Mh. Mpina vs Mh. Bashe Au kati ya; Mh. Tulia vs Mh. Mpina. Uwanja upo wazi. Pesa mbaya! ==== Pia soma: Spika Tulia amburuza Luhaga Mpina...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Mbunge wa Viti Maalum mh Neema Lugangira amewashukuru Sana Waislamu wa Manispaa ya Bukoba kwa kumualika Kuwa Mgeni Rasmi Baraza la Eid Al Adha Neema amemshukuru Sana Mungu wa Mbinguni akisema...
2 Reactions
9 Replies
346 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ametua kwa kishindo na salama kabisa Nchini Afrika kusini,ambako...
5 Reactions
142 Replies
5K Views
Back
Top Bottom