Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Nimemsikia Rais Samia akiviasa vyombo vya habari kulazimisha. kuhabarisha MILA, DESTURI NA HESHIMA l za mataifa mengi zinzokwenda kuntume za kwetu. Kama Rais akiwaasa wanahabari yeye kama mkuu wa...
0 Reactions
0 Replies
148 Views
Taarifa za kifo cha huyu mtoto zimeumiza mioyo yetu, mtoto wa miaka miwili kufanyiwa ukatili huu si jambo la kulifumbia macho na ilipaswa tupaze sauti tangu alipokamatwa tarehe 30/05/2024. Uhai...
9 Reactions
59 Replies
3K Views
na kwetu hili linatufaa kuimbia dunia, kesho tukiwafukuza wasione tunavunja sheria za mikataba ya kimataifa!
1 Reactions
9 Replies
275 Views
Akizungumza kwenye mkutano wa mashauriano Lema amesema Chadema kuna majungu Sana ndio sababu hadi sasa Wagombea wa maeneo mbalimbali Kanda ya Kaskazini hawajulikani Lema amesema majungu...
0 Reactions
8 Replies
274 Views
Kabla ya kuanza uchambuzi wangu ningependa kutoa angalizo kuwa mimi siko upande wowote ule. Naandika maoni, uchambuzi au mapendekezo yanotokana na yale tunoyaona, kusikia na pia kuyasoma katika...
0 Reactions
4 Replies
503 Views
Ndugu zangu Watanzania, Inaumiza sana, inasikitisha, inahuzunisha, inatia hasira, inaleta simanzi, inasononesha na kuleta uchungu mkubwa sana ndani ya Moyo kuona, kusikia, kutizama, kushuhudia na...
2 Reactions
15 Replies
479 Views
Wengi watadhani mpambanaji Mpina kuwa hajui kanuni za bunge ila kitendo cha kuchomokea kwa jamii ilikuwa turufu bora kabisa kwake maana nature ya bunge linavyopakatana na mhimili mmojawapo hatuko...
8 Reactions
6 Replies
464 Views
Tunakumbushana tu maana uwapo Vitani isipokuwa Silaha za adui Yako unapoteza Vita kabla haijaanza Mpina alielewe hili kwa Nia njema Kabisa 😂
0 Reactions
4 Replies
277 Views
Wakuu, tupo live leo kutokea Viwanja vya Uhuru, Bukoba kwenye uzinduzi wa Operation 255 Katiba Mpya okoa Bandari Zetu ambapo Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akiongozana na Tundu Lissu na John...
15 Reactions
88 Replies
11K Views
Salaam Wakuu, Nianze kuwatwanga maswali, hivi, enzi zenu ninyi wazee mlipokuwa mnatumia boon kusaidia familia zenu nani aliwaingilia huko? Mlipokuwa mnatumia boom kuwalipia wadogo zenu ada na...
3 Reactions
23 Replies
696 Views
Kinachomtokea Mbunge Mpina katika hili sakata la maumivu ya Sukari na ushiriki wa Waziri Bashe na hujuma zake ni wazi ni njama za Spika wa Bunge Dr Tulia kushirikiana na serikali kuwafunga mdomo...
9 Reactions
31 Replies
1K Views
Hivi kwanini wenzetu huko majuu tuhuma tu humfanya mtuhumiwa kuachia ngazi ili kulinda heshima yake,hapa Tanzania huo utamaduni ni kama laana. Yaani Ushahidi umejitosholeza mtuhumiwa kangangania...
0 Reactions
0 Replies
82 Views
Kama ni kweli wale tulio kwenye ulinzi jiuzuluni tafadhali sanaaa huyo hapo chini alikuwa mlinzi wa Magufuli sasahivi ni mlinzi wa Naibu spika?
18 Reactions
197 Replies
24K Views
Moyo wangu unajisukuma kuandika haya, kwa kuwa naona kesho. Ndani ya muda mchache kuanzia sasa Baraza kuu la waislam wa BAKWATA litatoa tamko kuwa ni sahihi kwa walinzi wa Rais kuingia na...
3 Reactions
14 Replies
668 Views
- Yakataa kupokea baadhi ya vielelezo vilivyotakiwa kujumuishwa nje ya utaratibu - Katika kesi baina yao na CRC inayotetewa na wakili Mwalongo - Ni mfululizo wa kesi za mikopo chechefu...
0 Reactions
2 Replies
399 Views
Rais Samia akishiriki Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari, Juni 18, 2024 amesema zama zimebadilika na utoaji Taarifa umehamia zaidi Mitandaoni kama inavyofanyika kupitia JamiiForums. JF ipo...
8 Reactions
72 Replies
3K Views
Kuimarisha Uhuru wa Vyombo vya Habari. Uhuru wa vyombo vya habari ni mojawapo ya nguzo muhimu za demokrasia. Rais Samia ameonyesha nia ya kuimarisha mazingira ambayo vyombo vya habari vinaweza...
0 Reactions
8 Replies
343 Views
Propaganda za Oakland zimewayumbisha The Guardian na vyombo vya habari. Mradi wa Regrow unaendelea na fedha zinatoka kama kawaida. Kumekuwa na taarifa hasi kuwa benki ya Dunia imesimamishwa...
0 Reactions
4 Replies
596 Views
Mbunge Luhaga Mpina amethibitisha mbele ya waandishi wa. habari kuwa kulikuwa na ukiukwaji mkubwa wa sheria katika uagizaji Sukari nje ya nchi, wakati Taifa letu lilipokumbwa na uhaba mkubwa wa...
4 Reactions
7 Replies
770 Views
Hizi kamati za bunge ambazo zimekuwa zikiita na kuhoji watu kama CAG Assad, Pascal Mayalla , Mpina na wengine wengi ni vyema sasa zikawa zinarusha live mahojiano hayo kama ambavyo inafanyika...
8 Reactions
20 Replies
570 Views
Back
Top Bottom