Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wanabodi Karibuni katika tukio hili https://www.youtube.com/live/THx3Tn0wJUU?si=v7wHE2Hioo6C53DO Paskali
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mkuu wa mkoa wa Dar Mheshimiwa Albert Chalamila Amesema ya kuwa yeye binafsi alishaacha masuala ya ubabe kabisa. Ameyasema maneno hayo mbele ya Rais wetu mpendwa na...
5 Reactions
57 Replies
2K Views
Akizungumza mbele ya Maelfu ya wananchi huko Itigi, Tundu Lissu, huku akijiamini kupita kawaida, amesema kwamba, baada ya Rushwa hiyo Kabambe, Wafanyabiashara hao wakaruhusiwa kuongeza shilingi...
22 Reactions
101 Replies
3K Views
Hebu tuangalie halafu tusaidiane Pikipiki zimeandikwa SSH2025 na zina picha yake, hatujaanza kampeni, mama ameanza kampeni zaidi ya mwaka na nusu kabla ya uchaguzi. Kama ameanza yeye na sisi...
11 Reactions
210 Replies
6K Views
1. Nitashangaa kama CHADEMA watashiriki tena uchaguzi ili waje kulalamikia tena Tume na Wasimamizi wa uchaguzi (Wakurugenzi wa Halmashauri). 2. Hivi hamna strategy ya kufanya mchakato wa Katiba...
1 Reactions
4 Replies
513 Views
Salaam Wakuu, Nadhani mtakubaliana nami kwamba hawa ni miongoni mwa Mawaziri wanaofanya vizuri. Juma Aweso, Dorothy Gwajima na Dotto Biteko, ndo aina ya Mawaziri Tanzania inataka kuwaona...
5 Reactions
54 Replies
2K Views
Hii ndio chato
9 Reactions
153 Replies
12K Views
Spika wa jamhuri ya muungano wa Tanzania DR.Tulia Ackson afahamu kuwa ushahidi na nyaraka alizozipata mpina hajazitafuta yeye mwenyewe Bali kuna watu wapo nyuma yake wamechoshwa na wizi unaofanywa...
10 Reactions
16 Replies
705 Views
Kwako mkurugenzi mpya wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) katatue changamoto zifuatazo zinazo ikumba DART. DART ilianza vizuri ofisi zilikua smart zenye vioo visivyo bandikwa bandikwa vitu...
53 Reactions
244 Replies
12K Views
Na Bwanku M Bwanku. Jumamosi Januari 27, 2024 Rais wa Awamu ya 6 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan alitimiza miaka 64 toka kuzaliwa kwake akihudumu nyadhifa ya juu...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Naandika kusikitika na kuonesha kutokuwa na imani na sipika wa JMT. Sipika anakumbatia wezi na waongo. Sipika anakubali kudanganywa. Waleta ushahidi wanakuwa victim. Bunge linakuwa la Serikali...
14 Reactions
26 Replies
1K Views
Ni kawaida ya kamishna wa PPP kutolea Ufafanuzi sintofahamu zinazohusu mambo mbalimbali ya Biashara na foreign exchange Nchini. Na wakati mwingine huenda pale DK 45 ITV kwa Middle Kutoa...
4 Reactions
23 Replies
852 Views
Nauliza tu maana Siasa za Mbeya mjini zinazidi Kuwa Ngumu Katiba ya Chadema inazungumziaje Kofia mbili? Ahsanteni in advance 😀
1 Reactions
6 Replies
365 Views
Muda huu William Ruto Rais wa Kenya amewaongoza wabunge wa Muungano wa Kenya Kwanza, kukubaliana na mambo mengi yaliyokuwa kwenye Bajeti ya nchi hiyo ambayo yalikuwa yanapingwa na Wakenya...
8 Reactions
39 Replies
3K Views
Hata Hayati Magufuli alijulikana sana alipobinafsisha Nyumba za serikali Maneno yakawa mengi na kila mtu akamjua Siasa ni Watu wakujue kwanza iwe kwa wema au ubaya kisha baadae unatenda mema na...
0 Reactions
0 Replies
147 Views
Sina hakika na Jina la Operesheni lakini nakumbuka mawaziri waliotumbuliwa ni pamoja na Dr Nchimbi na Dr David Mathayo huku Kamati Teule ya bunge ikiongozwa na mh Lembeli JK na Makinda walitisha...
1 Reactions
2 Replies
175 Views
Meneja Huduma za Utangazaji kutoka TCRA, Inj. Andrew Kisaka, amesema asilimia kubwa ya Waandishi wa Habari hawajui kusoma tarakimu hasa wakiandikiwa ili wasome, kwani wamezoea maneno isipokuwa...
1 Reactions
13 Replies
675 Views
Katika kosa kubwa ulolifanya siku ya Leo 18/6/2024, ni ku Overlook nini hasa kiini kilicholifikisha Taifa hili Mahali hapa . Umetumia muda mwingi sana Toka tarehe 14/6/2024, kutafuta ni wapi na...
3 Reactions
2 Replies
319 Views
Kwema Wakuu! Taifa ambalo wananchi wanaolipa kodi ni robo tuu ya idadi ya Watu lazima viongozi wawe na nguvu kuliko raia. Zaidi mafisadi huneemeka kwenye nchi za namna hiyo Kwa sababu...
8 Reactions
104 Replies
2K Views
Rais Samia: Hakuna kisichowezekana kwenye mazungumzo, tumeshuhudia nchi kadhaa zimeingia kwenye vita hawakupata suluhu, suluhu imepatikana kwenye mazungumzo kwahiyo tuendelee kuzungumza. Najua si...
114 Reactions
511 Replies
28K Views
Back
Top Bottom