Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, ni miongoni mwa Watu Wazito waliofika nyumbani kwa Ras wa Kilimanjaro aliyefariki kwa ajali ya gari .
Huyu hapa
---...
Hii ni miongoni mwa Kauli alizotoa Mwenyekiti wa Kamati ya kuchunguza Dhiki au Matatizo ya uchumi yanavyovikabili vyombo vya habari nchini Tanzania , Tido Muhando.
Mhando ameyasema hayo alipotoa...
Kwanza nichukue fursa hii kuipongeza serikali ya mhe Samia Suruhu Hassan kwa kujali na kusikiliza kero mbalimbali za walimu.Lakini pia nikipongeze Chama Cha walimu Tanzania CWT kwa yale...
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam bwana Albert chalamila juzi alikiri mbele ya Rais Samia siku ya upokeaji wa taarifa ya haki jinai nchini kuwa sasa ameacha ujinga na kuruka ruka kuwabughuzi wananchi...
Habari wakuu!
Wiki iliyopita kulikuwa na Waitara Cup ambayo mdhamini wake ni Mwita Waitara. Mshindi wa kwanza alipewa milioni 5 na wa pili nasikia kama milioni 2. Sasa, siku ya fainali mshindi...
Sanctions on Russian diamonds: Good or bad for AFRICA?
Diamond-rich African nations are ramping up production to fill the gap left by the G7 sanctions on Russian diamonds. But not all countries...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Mbunge wa Tarime Mwita Waitara leo ameshushwa jukwaani na kufurushwa na Wananchi alipokuwa kwenye Mkutano wa hadhara kjijiji cha Kanisani, Kata ya Sirari...
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kusafiri kuelekea Jamhuri ya Afrika Kusini leo jioni kwa ziara ya kikazi ya siku moja kushiriki hafla ya uapisho wa Rais Mteule, Matamela...
Inasemekana, Naibu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Kenya, Jenerali Ogolla, alitumwa kuzuia Ruto asitangazwe kuwa mshindi wa kiti cha Urais Kenya, lakini azma hiyo haikufanikiwa.
Viongozi wa...
Ananilea Nkya kupitia mtandao wa X amesema kuwa miaka ya nyuma tulishuhudia mauaji ya albino kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu.
ALBINO: MSIMU wa uchaguzi umekaribia, miaka ya nyuma nyakati kama...
kwa wakati huu,
shauku, bashasha, macho na maskio ya miongoni mwa wadau wa siasa, harakati na demakrasia nchini Tanzania, yameelekezwa zaidi katika kujua, kuelewa na kufahamu matokeo ya hatua...
Huyu mtoto hadi mmekatisha uhai wake amewakosea nini jamani, hili jambo kila ninapofanya shughuli zangu linanijia, nimevaa uhusika kuwa yule ni binti yangu amefanyiwa unyama ule, niko katika hali...
Wakuu, habari za jumapili na bila shaka kila mwana JF kaimaliza jumapili hii tukufu huku wengine wakienda kwenye ibada, sehemu za starehe, kutembelea ndugu, jamaa na marafiki kama ilivyo kwa...
Lissu ameendelea kurusha jiwe gizani.
Safari hii ameikemea rushwa wazi wazi hata iliyo ndani ya chama chake CHADEMA. Lissu hajapepesa macho wala kuangalia sura ya mramba asali.
Wataalam wa mambo...
What is see in the government decisions . I have never seen it in the past 20+ years of. My life .
This is probably the most corrupt government and worst government in the world . May be worse...
Hakuna namna Lissu hataki siasa za maridhiano za Mbowe na kwenda kulia lia kwa wakubwa wa Dunia baada ya kujitoa pale rafu zinapokithili. Lissu anasema ukiteuliwa na Chadema ukajitoa au maafisa...
Nchi hii tusioamini hayo mambo ya kichawi twaweza tusifike hata watu 100!
Humu JF yenyewe tu sidhani tunafika hata watu 6!
Wengine wote waliobaki ni watu wenye kuamini hayo mambo, ambayo...
Watch live, kipindi cha Mizani on TBC M/Kiti wa TEF - Deodatus Bslile, M/Kiti MISA Tan - Salome Kitomari, na Mhadhiri SJMC - Dr. Mkoko wakichambua Media ya Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.