Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Yanayoendelea Kenya kwa sasa katika mchakato wa kupitisha muswaada wao wa fedha unaopingwa kwa nguvu na raia yatupe masomo muhimu 1. Mikopo iliyopitiliza ni mtego mbaya kwa nchi masikini Kenya...
0 Reactions
1 Replies
318 Views
Wakuu, tukashiriki kutoa maoni, majirani wameikataa yao na mpaka sasa wapo kwenye maandamano. Tuchukue somo kwao, kama hatujailewa basi na ijulikane. Nimeambatisha Muswado huo hapo chini kwaajili...
0 Reactions
23 Replies
836 Views
Serikali ya chama cha mapinduzi kama kimeingiwa hofu ya kuaga ikulu mara baada ya kukundua hakijafanya maendeleo yoyote tangia kilipoingia madarakani kwa kutumia kodi zinazokusanywa hivyo kimekuja...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Huu unaweza kuwa ule mchezo wa kujifanya amefukuzwa chama ili akawe mpinzani fake kama Membe. Tumeshaiona hii picha🥲
5 Reactions
32 Replies
978 Views
Wakuu mko vyede? Uchaguzi Mkuu unakuja 2025, tumeshaanza kuona vimbwanga, ukifika mwaka wenyewe wa uchaguzi itakuwa balaa. Sasa hivi wabunge ndio wanakumbuka kurudi majimboni kwao, sasa hivi ndio...
1 Reactions
16 Replies
315 Views
Humphrey Polepole ameanza kujenga taasisi huru ya fikra! Hahitaji kiwanja cha kujengea taasisi hiyo wala hahitaji Wajumbe wa Bodi wa kuendesha kwani kichwa chake ndio Bodi yenyewe. Ameanza kutoa...
33 Reactions
113 Replies
11K Views
Katibu Mwenezi wa CCM,Nape Nnauye amekaririwa akidai kuwa kushindwa kwa CCM katika uchaguzi wa Ubunge wa Arumeru Mashariki kumetokana na hujuma. Nape alikuwa akizungumza muda mfupi baada ya...
9 Reactions
142 Replies
10K Views
Mtoto wa Rais Kikwete ang’aka MTOTO wa Rais Jakaya Kikwete, Ridhiwani, amesema hataki kufuatiliwa maisha yake na wanasiasa hasa wanaomtuhumu kuwa ni bilionea huku akisisitiza kuwashughulikia...
2 Reactions
196 Replies
18K Views
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetangaza kuiunga mkono Polisi nchini katika operesheni ya kukamata wateja wa makahaba kuhakikisha biashara hiyo inakoma nchini...
0 Reactions
295 Replies
48K Views
Mhe makamu wa Rais siku ya wanawake hujaitendea haki! Katika mazingira ambayo Tanzania ingesimama na Makamu wa Rais basi ni siku ya leo,siku ya wanawake. Mama usoni unaonekana muungwana na mwenye...
6 Reactions
7 Replies
1K Views
Mie kama mmoja wa wachangiaji niliyeona adha ya NSSF nimeona ni wajibu wangu kupaza sauti labda anaweza tokea Kiongozi anayejitambua na kuamua kulibeba hili na kuwasaidia Wananchi wa Sekta binafsi...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Salaam, Shalom!! Askofu Gwajima ameendelea kusisitiza juu ya umuhimu wa KATIBA mpya kuwa mamlaka ya Rais ni muhimu yadhibitiwe, Rais aingiapo madarakani aikute dira na mipango na vipaumbele vya...
12 Reactions
55 Replies
2K Views
Wakili Maarufu wa Mbeya mjini Boniface Mwabukusi amesema atamsindikiza mbunge wa Kisesa mh Mpina atakapokwenda kwenye Mahojiano Kamati ya Bunge ya Maadili Mwabukusi anatajwa pia kuombwa na wakazi...
9 Reactions
20 Replies
1K Views
Wewe ni mbunge mzoefu sana bungeni, unajua utaratibu wa bunge wala sihitaji kuiufundisha, umekuwa Waziri kwa vipindi tofauti, watu wa Kilwa Kivinje wana hasira sana na ww ulipoenda kukamata nyavu...
6 Reactions
40 Replies
1K Views
Waziri wa Maji, lazima ujue nafasi ya ukurugenzi ni nafasi nyeti na Ina sifa zake zinazotolewa kiutumishi. Mkurugenzi wa Moshi MUWSA (mamlaka ya maji) Hana sifa Wala weledi wa kushika nafasi Ile...
0 Reactions
3 Replies
413 Views
Juzi tarehe 5 Machi, kamati ya ushauri ya wilaya ya Iramba DCC, ilipitisha maamuzi ya kuhamisha makao makuu ya wilaya ya Iramba,yaliyopo Kiomboi kwenda Kijiji cha Misigiri.Kikao hicho cha DCC...
9 Reactions
81 Replies
6K Views
Vijana wengi hawana reasoning kabisaa wao ni kulipuka tu kilichosemwa na wanayemuamini tu basi. Sijui ni stress za maisha au. Angalia hili swala la mpina, ukimuuuliza kijana alitolee analysis na...
13 Reactions
83 Replies
4K Views
Nimeshasikia hivyo tokea nikiwa mdogo, lakini kama si sahihi kwa asilimia mia moja. Kwenye nchi hii, kuna watu ambao ni kama vile hawagusiki, haijalishi watakachofanya! Hapo siwaongelei viongozi...
0 Reactions
4 Replies
242 Views
Neno " hakuna aliye juu ya sheria" lifutwe nchini kwetu kwani rais yupo juu ya sheria maana hashtakiwi akiwa madarakani wala akistaafu Inabidi kizazi hiki na kijacho kijue kabisa katika nchi hii...
6 Reactions
10 Replies
821 Views
SALAMU ZA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA KWENYE KILELE CHA SHEREHE ZA MIAKA 60 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR ALIPOZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KATIKA UWANJA WA NEW AMAAN COMPLEX...
18 Reactions
56 Replies
6K Views
Back
Top Bottom