Hii SGR Watanzania tunamaumivu nayo sana tafadhali reli hii iachwe kwa Serikali na nadhani Jeshi likabidhiwe ili liiendeshe tutapata ufanisi unaokusudiwa.
Hili jambo la hawa wachina na hawa...
Mkuu wa Mkoa wa DSM mh Albert Chalamila amesema Siku ya mkesha wa Kuelekea sikukuu ya Eid Al Aidha watoto Wawili walilawitiwa jijini DSM
Mtoto mmoja ana umri wa miaka 4 na mwingine ana miaka 9...
Kabla ya matumizi ya sukari iliyoletwa na wafanyabiashara kwa njia ya vibali walitakiwa TMDA watoke hadharani kuwaelezea wananchi kuwa sukari hiyo iliyoletwa ni salama kwa matumizi ya binadamu...
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Komredi. Jokate Mwegelo, amesema hivi karibuni watakuwa na mafunzo kwa viongozi wao wa wilaya nchi nzima ili kuendelea kulinda...
Mwenyekiti wa uvccm ni miongoni mwa vijana waliojitokeza hadharani kutaka mtandao ya kijamii inayokiuka maadili ukiwemo Twitter ifungiwe
Nadhani atakuwa anamsikitikia Sana Ruto kwa sababu Gen Z...
Mkurugenzi wa Mifumo ya TEHAMA katika Shirika la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Bw. Gilbert William Chawe tarehe 16 Septemba, 2022 alifikishwa mbele ya Baraza la Maadili...
NJOONI MUWEKEZE UFUGAJI WA MAJONGOO - DED BAGAMOYO
MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Bw. Shauri Selenda, ametoa fursa kwa wawekezaji nchini kujitokeza kwa wingi kuja...
Salaam, Shalom!!
Lissu, Lema,Heche, Mpina,Mbowe, Mnyika, Ole Sendeka, Mwabukusi, Dr Slaa, ni baadhi ya watu ambao wanaweza kugombea na wasipige compaign na wakashinda Nchi hii Jimbo lolote...
Baada ya kuona maoni ya Mkuu wa Wilaya ya Korogwe aliyeachwa, Basila Mwanukuzi nimeona nimuunge mkono kupitia jukwaa hili.
Maoni ya Mwanukuzi, soma Basila Mwanukuzi: Nchi hii wakweli hawatakiwi...
Kizazi cha wazalendo CCM kimeisha sasa, ndani ya CCM, kimezaliana kizazi cha mafisadi tupu na hakioni haya kufanya hivyo, wajukuu na vitukuu ambavyo vimekuta wazee wao wanajilimbikizia mali kwa...
Luhaga Mpina umekuwa machachari sana kuiwajibisha serikali ya chama chako tofauti na wabunge wenzako wengine wote wa chama chako. Kama utaendelea na mwendo huo unaweza kuleta mabadiliko makubwa...
Wadau ,,sijawahibkusikia mbunhe WA Jimbo ka kyrwa akielezea chichote bungeni au nje ya Bunge.Ndo maana nauliza ,,je Jimbo la Kyerwa linamumnge wa kychaguliwa???
kila anayehudhuria mikutano ya Tundu
Lissu hatoki bila kuwa amefaidika kwa ELIMU.
Lissu hajawatenga Polisi wetu kwa kuwapa elimu kuhusu maslahi na haki zao.
Kitu cha kuvutia ni namna Lissu...
Salaam, Shalom!!
Advocate Mwabukusi ameendelea Kutoa somo la Sheria za bunge kuwa Spika wa Bunge ni mbunge wa kawaida akiwa nje ya Bunge, hivyo Hana mamlaka yoyote kisheria juu ya mbunge mwenzie...
Kumradhi waungwana naona kuna mkanganiko mwingi hapa Nchini Mtu kuitwa Dr. inaonekana ni deal sana hata kufikia watu kuzitafuta kwa nguvu na pesa.
Napendekeza ziwekewe tofauti, Medical doctor iwe...
Mwandishi wa Habari, Dinna Maningo pamoja na wenzake Waandishi wa Habari wawili wameachiwa huru baada ya kushikiliwa kwa zaidi ya wiki moja.
Taarifa zaidi zinafuata...
~ Hii kamatakamata ya...
Nakumbuka ilikuwa march 5 mwaka uhuuu hapa alipojitokeza Makonda kuutangazia Umma wa watanzania yakuwa Rais wa Tanzania yaani Mama Samia Suluhu Hassan amekubali kutenga siku ya KUONANA na...
NIMESOMA Maagizo ya Spika kwa Kamati inayokwenda kumhoji Mpina kwenye suala la tuhuma alizotoa dhidi ya Bashe kwenye skendo ya vibali vya sukari...watalaamu wa sheria tunaomba mtuletee mchanganuo...
RC Chalamila amesema hakunaga Kitu kinamkera hapa Duniani kama kuwaona akina mama wanauza miili yao
Chalamila ametolea mfano madada poa waliokamatwa wakiwa Uchi kwenye Mitaa ya Ubungo hivi...
KUINA Tetesi zinazoendelea kuwa Wajumbe wa Kamati ya Maadili waliopewa jukumu la kumshughulikia Mpina wameanza kugawanyika wengine wakidai Mpina hana kosa lolote na hajavunja Sheria wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.