Ndugu Rais Samia imani yangu hujambo, napenda kukutahadhalisha kuhusu issue ya vibali vya sukari vilivyotolewa na waziri BASHE kwa makampuni ya simu, na yakionyesha kuwa na mitaji hafifu kwa...
Wadau hamjamboni nyote?
Haya ni maoni yangu binafsi kabisa lengo ni kuweka utaratibu ulio bora zaidi wa utoaji maoni kulingana na mada mbalimbali zinazowasilishwa jukwaani
Idara maalumu za...
Ni swali la Jumamosi Ili kupata mawazo Yako
Wazee wa Chadema Hata ukiwaangalia kimuonekano na Swagger utaamini Uzee ni namba tu Kwani wanaenenda kiujana zaidi
Vijana wa CCM akina Suphiani Wana...
Waziri huyu kila wizara aitumikiayo huja na maono endelevu na kuacha alama.
Alipokuwa nishati alibuni mambo mengi ikiwa ni pamoja na ugavi wa mitungi ya gesi bure. Gesi ikiisha ni lazima baadhi ya...
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na taasisi ya Mo Ibrahim imezitaja Nchi 10 zinazopokea Misaada Mingi kutoka Kwa Wazungu.
Kwa Afrika Mashariki,utegenezi wa hela za Beberu Kwa kiasi kikubwa uko...
Zanzibar imejaa fursa lukuki
1. UTALII
2. GESI
3. MAFUTA
4. KARAFUU
5. MWANI
Ila ndio koti la Muungano linatubana.
i. Viza (za kuingia Zanzibar) zinatolewa Tanganyika,
ii. Pesa inaliwa...
Acha niweke wazi hapa mwanzo kabisa kuwa binafsi siungi mkono mfumo wa chama kimoja hapa taifani.
Haya turudi kwenye uzi.
Kwa watu au taifa la watu wenye akili mfumo wa chama kimoja ni moja ya...
Toka ajali iliyosababisha vifo vya Katibu Tawala - RAS wa mkoa wa Kilimanjaro na Dereva wake tumeshuhudia ubaguzi mkubwa unaoganywa na serikali kwenye misiba hii. Tumeshuhudia na tunaendelea...
"....Kwenye negotiations tukae vizuri watanzania. Yako mambo ambayo lazima upeleke 'brains' zako. Siyo unapeleka Senior mwenye 'gentleman degree' na form four alipata 'makarai' matupu, ataenda...
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Dkt. Festo Dugange amesema uchaguzi wa serikali za mitaa utazingatia ‘R-4’ za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Pichani ni Luhaga Mpina
Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson amempa siku 10 Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuwasilisha uthibitisho kwamba Waziri wa Kilimo, Hussen Bashe amelidanganya Bunge.
Dk Tulia...
Na WAF – Dodoma
Serikali imeanza kusambaza vitabu vya kliniki vya wajawazito na watoto nchini ambavyo vitasambazwa katika mikoa 26 nchi nzima.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa huduma za Mama na...
Ni wazo langu tu! tahadhali si uoga! Sishauri wapande helicopter moja au all together kutumia helicopter.
Tahadhali tu na wala si kuwa kuna any tetesi, NO NOT AT ALL. TAHADHALI TU
Mnajiaminisha...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, amerejea na kuwasili salama kabisa akiwa mwenye furaha, bashasha na tabasamu...
Wadau hamjamboni nyote?
Haya ni maoni yangu binafsi kulingana na mtazamo wangu binafsi ninaoamini ni sahihi
Mwanamama Faiza Fox ni shujaa anayestahili kupewa UTEUZI hususani kwenye sekta...
Mwandishi nguli wa Habari za Michezo Maulid Kitenge amesema Ukweli ni lazima usemwe Idara ya Mawasiliano Ikulu ilipwaya.
Kitenge amesema kwa mfano madai ya uzushi ya kuuza Bandari ilimlazimu...
Haya mambo Unaweza kuyaona ni mepesi lakini katika Ulimwengu wa Roho Siyo Ishara nzuri
Walawi na Maustaadh tuzidishe maombi kwa Mungu wa Mbinguni
Ahsanteni Sana 🐼
SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa...
Wahenga Siasani wanasema kwa Kawaida Bunge la Chama kimoja ni Bunge la Serikali.
Hivyo Mpina Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya Bunge ni Sawa Kabisa na Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya CCM tofauti...
Habari za wakati huu wanajamiiforum?
Tumekuwa na mkanganyiko mkubwa wa kitaifa juu ya scandali ya sukari hapa nchini.
Kinara ni mtu ambaye amekuwepo bungeni kwa miaka 19 sasa, je hajui uozo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.