Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ndugu zangu watanzania, Naomba nisiwachoshe wala kuwapotezea muda wenu.someni wenyewe hapa chini. Kazi iendelee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa...
4 Reactions
55 Replies
2K Views
Bashe anadaiwa kushiriki katika ukiukwaji wa sheria, rushwa na kuikosesha serikali mapato katika utoaji wake wa vibali vya kuingiza sukari nchini. Pia, anatuhumiwa kutoa vibali vya tani 410,000...
15 Reactions
72 Replies
4K Views
Ni vema ukayafahamu haya mapema kwa faida yako Bali wadau wengi wanajiuliza kwamba ni kitu gani ambacho Serikali ya Tanzania inaweza kufanya, maana unaambiwa ni afadhali hata mtoto mwenye Polio...
21 Reactions
112 Replies
6K Views
Mhe Jerry Silaa Waziri wa Ardhi, nyumba, maendeleo na makazi tunaomba kujua hatma ya kupewa HATI kwa wananchi walionunua viwanja vya mradi wa Tundwi Songani vilivyotangazwa na Halmashauri ya...
0 Reactions
4 Replies
471 Views
Wadau hamjamboni nyote? Gaidi Mkuu na Kiongozi wa Hamas aendaye kwa jina la AYMAN GHATMA ameuawa kwenye shambulizi la kombora kutokea kwenye ndege hatari za Jeshi la Israel. Alihusika...
6 Reactions
9 Replies
551 Views
https://www.youtube.com/watch?v=Gr7yLxJrtRE Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kumpokea Rais wa Jamhuri ya Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embaló, leo Juni 22...
1 Reactions
6 Replies
551 Views
Ninapenda kufahamu kwa mwaka nchi ya Tanzania inatumia tani ngapi?. Je viwanda vya ndani vinazalisha tani ngapi kwa mwaka?. Je gap sugar kwa mwaka ni tani ngapi?. Kuna mantinki gani gani Mhe...
3 Reactions
7 Replies
407 Views
Sisi pia ni binadamu, msikatishe ndoto zetu
2 Reactions
2 Replies
145 Views
Mheshimiwa Makonda, Salaam. Nataka nikupe pongezi zangu za dhati kwa kasi ya utendaji wako na jinsi unavyo lipigania taifa la Tanzania. Kuna watu wanafikiria tofauti na unavyo fikiria wewe. Wewe...
22 Reactions
64 Replies
4K Views
Kwa lugha ya kisasa kisiasa, unaweza kusema yupo ukingoni jikoni, kikaangoni anakaangwa... Neno langu la muhimu sana kwake ni kwamba, haipo taasisi popote duniani, isiyo na utaratibu wa kufanya...
8 Reactions
144 Replies
3K Views
Mamlaka waliyo nayo wakuu wa mikoa, wilaya na Mawaziri kuamuru polisi kukamata watu au kuanzisha kesi hayapaswi kuwepo kabisa katika nchi inayoitwa ya kidemokrasia. Huenda utaratibu huu ulifahaa...
6 Reactions
21 Replies
639 Views
Hawa Mawaziri Watatu wakija na Hoja Bungeni hakunaga Mbunge mwenye Uwezo wa kuzipangua Kwa kushindana nao kwa Hoja Ieleweke sijasema Wana Uwezo Sana bali kwa pale Bungeni hakuna anayewafikia...
2 Reactions
20 Replies
652 Views
Lucas Selelii japo aliporwa tu Nafasi ya kugombea ubunge kwa mizengwe kwa kile kilichodaiwa na Mzee Makamba kwamba hana Mvuto kumzidi Kigwangalla lakini ndiye mbunge aliyeongoza Nzega yote bila...
1 Reactions
9 Replies
469 Views
Huu ni udhalilishaji wa wazi kabisa kwa wanawake,waziri alipaswa aidha kutoliongelea hili hadharani au aombe radhi. Picha na heading yake inajieleza.
1 Reactions
3 Replies
265 Views
Sina nia yakubeza au sema vibaya ila kwa sasa ni dhahiri shahiri kiongozi wetu anashauriwa vibaya. Tuanze na sakata la dollars kukosekana jamaa walimvika ubaya alie mwachia kiti manikins ya Mungu...
7 Reactions
47 Replies
1K Views
NI LEO Uchambuzi Bajeti Kuu ya Serikali utakaofanywa na ACT Wazalendo utarushwa moja kwa moja na Online Tv mbalimbali. Kuzifahamu tazama katika bango. Hakikisha Hupitwi! ======...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Serikali imesema kuwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) haitozi kodi kwa wasafiri kati ya Zanzibar na Tanzania bara wanaobeba vitu kwa matumizi binafsi. Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na...
1 Reactions
6 Replies
661 Views
Naendelea kuwasogesea Radha ya kazi nzuri aliyofanya Samia kuanzia kwenye uchumi Hadi Huduma za jamii kiasi Cha kuwapagawisha na.kuwashangaza wabunge ambao Kwa miaka Mingi walikuwa qakisigia na...
5 Reactions
43 Replies
1K Views
Mamlaka ya Mapato wamekuwa wakijitahidi sana kukusanya mapato (kodi) kwa kutumia mbinu mbalimbali ili kufikia malengo ya mwezi na mwaka. Mpanuko wa mahitaji ya fedha katika nchi umekuwa...
3 Reactions
8 Replies
403 Views
Back
Top Bottom