Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Miaka ya nyuma, yawezekana haikuwa official lakini Vijana walijengewa sanaa uwezo wa kutatua matatizo yao. Vijana wa Sasa wamekuwa na uwezo mdogo wa kutatua matatizo yao, ndio maana kumekuwa na...
2 Reactions
14 Replies
601 Views
Bashir Yakub, WAKILI. +255 714 047 241. 1. Pengine utasema ni kahaba kwasababu kavaa nguo fupi sana dizaini ya chupi au nyinginezo. Lakini hii sio ushahidi wa mtu kuwa kahaba. Tanzania hatuna...
21 Reactions
54 Replies
2K Views
Makubaliano ya kuachia Jimbo yamefikiwa leo baada ya Chadema kuvurumisha mikutano ya hadhara isiyo na idadi (Tunatafuta calculator isaidie kujumlisha), ambayo wananchi wameielewa kabisa, Hakika...
20 Reactions
103 Replies
2K Views
Kama ulifanikiwa kusoma hadi Sekondari, na ulikuwa na Mwalimu mzuri wa Historia kama Mwalimu wetu, unaweza ukawa unaikumbuka hii kauli:" We produce what we do not consume and consume what we do...
3 Reactions
16 Replies
419 Views
Uongozi wa Nani Kati ya Hawa wakuu wawili wameweza kuifanya benki kufanya vizuri kwenye soko na gawio kwa wanahisa?
4 Reactions
43 Replies
7K Views
Kama si Wakoloni, huenda Tanganyika kwa sasa ingekuwa ni nchi ndogo sana au kubwa sana kuliko ilivyo sasa. Isingelikuwa Wakoloni, huenda Arusha na Kilimanjaro zingekuwa nchi zinazojitegemea...
5 Reactions
25 Replies
761 Views
Namba hazidanganyi! Kwa mujibu wa takwimu za mwaka 2022, Zanzibar ina ukubwa wa kilomita za mraba 2,460 na watu 1,889,773. Imeuzidi mkoa mmoja tu wa Tanganyika, Dar Es Salaam! Dar Es Salaam ina...
7 Reactions
7 Replies
529 Views
RAIS Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Kikwete, amempongeza Rais Dkt. Samia Suluhu, kwa namna anavyopeleka fedha katika halmashauri, zinazokwenda kutekeleza shughuli mbalimbali za...
5 Reactions
55 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa chadema Mh Mbowe akiwa na Chopa amefanya mkutano wa kwanza Kansay Karatu mkoani Arusha Ndani ya Chopa wamo pia Makamu mwenyekiti mh Tundu Antipas Lisu na Mwenyekiti wa Kanda ya...
7 Reactions
30 Replies
3K Views
Yule Mkuu wa mkoa mwenye makeke mengi katulizwa tulii baada ya kuwasumbua wala nchi. Makosa yake ya nyuma na lile tambiko la Lissu limemkamata kweli kweli. Ni suala la muda tu ukweli na uwazi...
11 Reactions
69 Replies
4K Views
Wadau hamjamboni nyote? Hivi luhaga mpina inakuaje hadi leo hii hajashughulikiwa? Yaani vyombo vyote husika vyenye weledi vimeshindwa kumshugulikia kwa kuiabisha mamlaka iliyopo kuu? Shida ni...
1 Reactions
53 Replies
2K Views
WAZIRI Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa viongozi wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) ulioongozwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CPC ambaye pia ni Katibu wa...
0 Reactions
0 Replies
163 Views
Hivi Lucas mwanaCCM na Erythrocytes na mtu mwenye mwenye mitazamo kama ya Faiza Foxy watu wasiobadilika zaidi ya kutukuza watu ni Ipi ? Na wana umuhimu gani kwenye Taifa ?
14 Reactions
85 Replies
2K Views
Kutokana majukumu ya maandalizi mazito ya kazi za kikatiba kitaifa, kwa mfano ya uchaguzi wa serikali za mitaa nchini nzima, pamoja na uchaguzi mkuu wa mwaka ujao 2025.. Mambo haya muhimu kwa...
2 Reactions
25 Replies
458 Views
Naona wale wote waliokuwa mashabiki wa Magufuli wameamua Kwa makusudi kum push huyu Biteko kuvaa viatu vya Magufuli ili aje awe "the Next Magufuli" matokeo yake wanamshauri vibaya sana au pengine...
7 Reactions
72 Replies
4K Views
Hili sakata wakati nasoma uzi humu kwa mara ya kwanza nilikuwa sijalielewa lilivyo. Nikasema acha nizame U-tube kujua likovipi ndio nikapata kuelewa mwanzo, kati na mwisho ulivyo hebu twende...
22 Reactions
110 Replies
6K Views
Nimesikia baadhi ya wanasiasa kwa wakati tofauti wakikosoa upigaji serkalini. Jana nilimskia mwanasiasa mmoja ambaye ana mabasi na malori yanayozidi mia tano akishutumu upigaji .serkalini...
17 Reactions
34 Replies
1K Views
Nimekusikiliza leo ukiponda nafasi ya ma DC na unapendekeza vyeo hivyo vifutwe, niliposikia ukisema maneno hayo tu sikutaka tena kukusikiliza. Huko mawilayani Wakuu wa Wilaya wana msaada mkubwa...
3 Reactions
16 Replies
512 Views
Leo tarehe 22 jijini Arusha RC Makonda akiongea na Waandishi wa habari awataka wana Arusha kujitokeza kwa wingi kuanzia jumatatu kuja kupata matibabu pamoja na vipimo vya bure kwa siku saba...
1 Reactions
1 Replies
263 Views
Back
Top Bottom