Na. M. M. Mwanakijiji
Sijui nini kimewakuta watu; sijui ni kweli wanasikitika au wanatikisika tu. Yaani, Mama alipoingia madarakani watu walisema "nchi inapumua" na wengine wakasema "mama...
===
Katika mahojiano yake na EFM redio mkuu wa mkoa Simiyu Mhe David Kafulila amefafanua juu ya maasi yanayoendelea nchi za wenzetu na hatma ya
ukuaji wa uchumi wa Tanzania katika mizozo hiyo...
Na Abel Paul, Jeshi la Polisi- Arusha.
Jeshi la Polisi Nchini limesema kuwa tangu Juni 22, 2024 kupitia baadhi ya vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo mitandao ya kijamii kulionekana tangazo...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila ametoa tamko la kuwataka Wafanyabiashara wote wa Mkoa wa Dar es salaam kujiepusha na migomo na kila mmoja kujitafakari, hii ni baada ya kusambaa kwa...
Ni kauli ambayo ilianza kutumika sana kipindi cha Magufuli na kutia mizizi katika utawala wa Samia.
Ni kauli inayotumiwa na wanasiasa na watendaji wa Serikali!
Kwa sasa ni kawaida kusikia:
1...
ACTwazalendo tunataka CAG afanye Ukaguzi maalum wa Fedha za Muungano, Mapato, Matumizi na Fedha zinazobakia, ili kubainisha mgao sahihi na fedha ambazo Zanzibar inastahiki kupata.
Naibu Waziri...
Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua.
Kwenye principle ya uchaguaji wa jambo flani katika mengi, maana yake umekubali kuyakosa hayo mengine. Kumbuka kuwa haimanishi hayo mengine huyahitaji...
Haya Sasa DP World wameanza kufanya Yao Dar Port Kwa kuleta meli kubwa zaidi ,urefu zaidi ya mita 300👇👇
Kampuni ya DP World iliyoingia ubia na Serikali kwa ajili ya uwekezaji kwenye bandari ya...
Kwa muktadha wa huu uzi, Wamatumbi ni watu wenye asili ya bara la Afrika.
Wamatumbi wanakiita kile kilichotokea 1963 Zanzibar kuwa ni Mapinduzi tukufu. Sina uhakika kama kweli ni tukufu au ni...
Inasemekana kwamba Polisi aliyevunjika mikono pale Kenya kwa kuwatupia mabomu waandamanaji ni IGP wa Kenya.
Kwa nini habari hii inafutwafutwa mitandaoni na kuonekana kama ni polisi wa cheo cha...
Nawalinganisha kama ifuatavyo:
1. Viongozi
Kenya inaweza ikawa na viongozi wengi wabinafsi, sema wanathibitiwa na Katiba yao imara.
Tanzania imeshawahi kuwa na wazalendo wachache kama hayati...
Nimewahi kumuona Mhe. Waziri wa Viwanda na Biashara akielezea utaratibu wa kupata leseni za biashara kwa mwaka 2024/25. Je leseni zitakatwa toka Wizarani au kuna utaratibu utakaotangazwa na Wizara?.
Wakuu wote salaam!
Kwa wanaonisomaga humu watashangaa Sana nikisimama na Bashe leo kwenye sakata la sukari!
Ila Leo ntasimama nae tena kwa hoja na sio vihoja!
Kwanza kabisa Bashe ni moja ya...
Nimesoma Taarifa kutoka TBS ya kuridhia usambazaji wa mchele kutoka marekani na kusema eti mchele huo ni salama kwa walaji. Hivi huyu Mkurugenzi ana akili kichwani kweli?
Ni mzalendo kweli...
Wakili Msomi Boniface Mwabukusi amempongeza Padre Dr Charles Kitima kwa Kuchaguliwa tena Kuwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania
" Huyu ni mtumishi wa kweli wa Mungu kwa Maneno na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.