Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Taarifa ikufikie Popote Ulipo kwamba , Mwamba wa siasa za Africa , Freeman Mbowe ameingia Ngorongoro kwa kishindo na kuhutubia Maelfu ya Wananchi Akihutubia Umati mkubwa wa Wananchi, Mbowe...
8 Reactions
57 Replies
4K Views
TANZANIA KUJENGA KENYA SERIKALI ya Tanzania Juni 18 2024 imezindua rasmi ujenzi wa majengo pacha jijini Nairobi, Kenya yatakayotumika na ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini humo na kitega uchumi...
1 Reactions
1 Replies
590 Views
CCM imeshindwa kabisa kuiweka nchi katika utawala mzuri. Siyo mimi ninayesema, bali data zinaongea: Below are the 10 best governed countries in Africa according to World Economics: Rank Country...
10 Reactions
111 Replies
4K Views
1. Rais Samia Suluhu Hassan tangu ashike madaraka ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 19.03.2021, amefanya safari 59 za kimataifa kama Rais wa Tanzania katika nchi mbalimbali kutoka katika...
7 Reactions
37 Replies
1K Views
Salam wana JF! Kuna sintofahamu kubwa imeibuka miongoni mwa watumishi wa umma hasa wale wa kada zingine tofauti na walimu. Hii ni kutokana na namna serikali inavyoonyesha ubaguzi katika...
5 Reactions
18 Replies
3K Views
Mnamo siku ya tarehe 21 na tarehe 22 mwezi huu, yaani ijumaa na jumamosi, jiji la Arusha lilitikiswa na mgomo mkubwa uliofanyika katika eneo la stendi ndogo, mgomo ambao ulisababisha maduka yote...
0 Reactions
19 Replies
714 Views
Wanajf, Same Mashariki ni jimbo ambolo lipo nyuma sana kuliko majimbo yote ya mkoa wa Kilimanjaro , Ukiangalia sekta ya miundombinu kama barabara ni mbovu sana mvua ikinyesha barabara hazipitiki...
3 Reactions
138 Replies
20K Views
Askofu Wolfgang Pisa Rais Samia kupitia mitandao yake ya kijamii ameandika haya kumpongeza Mhashamu Askofu Wolfgang Pisa Pongezi za dhati kwa Mhashamu Askofu Wolfgang Pisa, Askofu wa Jimbo...
15 Reactions
61 Replies
3K Views
RC wa mjini Magharibi Bwana Idriss Kitwana “ anatarjiwa kufikishwa mahakamani wakati wowote kuanzia sasa baada ya kutuhumiwa kutumia madaraka vibaya na kumuweka ndani Bwana Mustafa bila sababu na...
6 Reactions
21 Replies
575 Views
Nchi ya yetu iliwekewa misingi imara na kila Rais anayeingia madarakani anaita wazee kwanza na kuongea nao pia anaheshimu sana viongozi wa dini ndo mana kabla ya chochote lazima tuanze na sala...
2 Reactions
38 Replies
761 Views
Sijajua kwanini , Kwa manufaa ya nani! Dk Msonde (naibu waziri upande wa elimu) anazunguuka nchi nzima kwa kile anachoita kuwasalimia walimu wenzake, lakini ndani yake kuna agenda ya kuwajaza...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Nikiwa ni miongoni wa Wafanyabiashara wa Kariakoo natangaza kuunga mkono mgomo uliotangazwa kuanza rasmi kesho 24/6 2024, hadi pale kero na migogoro yote itakapotatuliwa
9 Reactions
49 Replies
4K Views
Kwa miaka nenda rudi genge la wazalishaji wa sukari wamekuwa wakilichezea soko letu ili kupiga super profit. Wanatengeneza uhaba wa sukari, wanaacha ipande bei, kisha wanapata vibali vya kuagiza...
2 Reactions
152 Replies
9K Views
Kauli hiyo imetolewa leo na Naibu Waziri wa Nchi, Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete wakati anajibu maswali yaliyoulizwa na Mbunge wa Ngara Ndg. George Ruhuro Bungeni Dodoma...
2 Reactions
71 Replies
12K Views
Hiyo Picha ya Chairman kwenye Chopa ya Mchongo inamaanisha Nini? Au yeye ndio Kiongozi wa milele?? Chopa ilitakiwa iwe na jina la Chama sio sura ya Mtu.
8 Reactions
46 Replies
1K Views
Tumeona Nachingwea kilichotokea, tumeona kwa Mrisho Gambo Arusha namna alivyoondolewa kwenye siasa za ushindani; tumeona huko Arumeru nako Mbunge aliyepo ameondolewa kabisa kwenye tamani ya...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Tujifunge mikanda..Hali ya uchumi duniani kote si nzuri..Nchi yetu si kisiwa..Athali Za migogoro ya kivita duniani,Mivutano ya mataifa yanayoitwa matajiri,Tishio la vita kuu ya tatu ya...
1 Reactions
0 Replies
210 Views
Mimi ni mtanzania mlipa Kodi. Ninaomba wenye kuweza kunielewesha jambo hili. Je ndege iliyo tumika kumpeleka Rais Samia Africa ya kusini kwenda kwenye uapisho wa Ramaphosa aina ya Boeing 787...
4 Reactions
57 Replies
2K Views
Copy & Paste kutoka Kigogo Media LUHANGA MPINA ANASUKUMA AJENDA YA MAJIZI NA "MA -CARTEL" YA SUKARI TANZANIA NATAKA NIANZE kwa kusema suala la tatizo la sukari Tanzania halitakaa liishe kama...
7 Reactions
138 Replies
4K Views
Salaam, Shalom!! Nauliza tu, Hawa waliotuletea DEMOKRASIA mataifa ambayo Bado tunajitafuta yalilenga nini? Mbona wao walipokuwa wanajenga Uchumi wao, miaka mingi iliyopita mbona waliotumia...
2 Reactions
57 Replies
954 Views
Back
Top Bottom