Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Salaam, Shalom!!! Waziri wa Fedha ndugu Mwigulu Nchemba amedai kuwa, deni la Taifa limeongezeka Kwa zaidi ya Trilioni 5 kutokana na kuporomoka Kwa thamani ya Shilingi. Jambo Hilo Hilo la...
6 Reactions
17 Replies
545 Views
Wakuu mambo ni mengi sana lakini Muda ni Mchache sana Angalia nguvu ya umma inavyofanya kazi Mungu ibariki Chadema
21 Reactions
57 Replies
2K Views
Akizungumza na waandishi wa Habari sheikh Kundecha amewataka Wanasiasa na Wanaharakati kumuheshimu mwenyezi Mungu na Mtume wake Muhammad saw Kundecha amesema Allah akikasirika huwatumia Watu...
2 Reactions
22 Replies
774 Views
Probably the mosque/islam is the true religion known and nominated by God Himself. If you go to Kenya probably in Tanzania as well, churches have been grounds for politics. If you remember when...
0 Reactions
2 Replies
193 Views
Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ameelekeza Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kumhoji mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kwa madai ya utovu wa nidhamu. Akitangaza uamuzi huo bungeni jijini...
5 Reactions
78 Replies
5K Views
Nipo mahali hivi, nimejipata kwenye mawazo huku nikiwaza ya nyuma saana tangu miaka ya 2000 huko kamanda Mbowe akipambana na kupambania Watanzania kwa nguvu na kwa juhudi zote 2005 timu ikapamba...
1 Reactions
1 Replies
191 Views
Katika Mkutano wake na Waandishi wa Habari leo 14/6/2024, wakati akitoa uthibitisho alioambiwa aupeleke na Spika wa Bunge ndani ya siku 10, Luhaga Mpina amesema mananeo ya Waziri Bashe kuwa "Mfumo...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Madudu yaliyoibuliwa na Mpina yanatisha na kutukatisha tamaa na kutowaamini viongozi wetu tuliowachagua ili watatue kero zetu. Tunamtaka kwanza Bashe akae pembeni ili kupisha uchunguzi...
4 Reactions
9 Replies
679 Views
Naiangalia Rwanda inavyochanja mbuga Naiangalia Uganda iliyoathiriwa na Vita inavyokaribia kutupita kiuchumi Yaani Tanzania wanyonge wetu ni Kenya na Burundi tu Ile Zanzibar ya Abeid na Abdul...
1 Reactions
4 Replies
157 Views
lengo ni kua na walau ngome maalumu ambayo itakua inatuhakikishia viti viwili au vitatu vya ubunge katika kila uchaguzi uwe wa aina yoyote ile. hivi sasa unaweza kusema ngome ya Chadema kisiasa...
4 Reactions
64 Replies
4K Views
Wananchi wa Chalinze mkoani Pwani waliuzuia kwa muda msafara wa makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu Ili awasalimie na walau aseme Neno la Matumaini kwao Lisu amewaambia anaelekea mkoani...
17 Reactions
43 Replies
3K Views
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson ametangaza kifo cha Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dk Shogo Mlozi. Spika Tulia ametangaza kifo hicho leo Alhamisi June...
13 Reactions
244 Replies
18K Views
"Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na...
3 Reactions
55 Replies
19K Views
Amos Makalla, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Itikadi, Uenezi na Mafunzo amesema Chama chake kina taarifa ya kinachoendelea Nchini Kenya (kuhusu maandamano) na kuna jambo...
0 Reactions
1 Replies
500 Views
Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti. Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia...
42 Reactions
228 Replies
9K Views
Wakati harakati za wakenya kupinga Bajeti ya nchi hiyo zikiendelea, nimekuwa navutiwa na ujasiri wa wanawake wa Kenya wanavyopambana mstari wa mbele kupinga Bajeti hiyo. Wanawake hao wanapaza...
4 Reactions
33 Replies
575 Views
Tupo kwenye mfumo wa maisha ambao ili upate kitu nilazima usifu, jambo linalopoteza dira na muelekeo ya maisha yetu Tupo kwasasa kwenye dunia inayofahamika kwa uchawa, vijana mpaka wazee...
2 Reactions
5 Replies
191 Views
Taarifa za awali kutoka mkoani Kilimanjaro zinaeleza kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Kilimanjaro, Dkt Tixon Nzunda pamoja na dereva wake wamefariki dunia kwa ajali iliyotokea eneo la Mjohoroni...
18 Reactions
189 Replies
17K Views
DIRISHA LIMEFUNGULIWA, NJOO TUKUSAIDIE KUFANYA APPLICATION ZA MKOPO BODI YA MIKOPO HESLB. Contacts:- 0627799285. Katibu Seneti Mkoa Habari! Dirisha la Kufanya Maombi ya Mikopo Bodi ya Mikopo...
0 Reactions
9 Replies
390 Views
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza. Uganda imesaini MoU na UAE kuanza kujenga Uwanja wa Tatu wa Kimataifa wa ndege pembeni kidogo ya Hifadhi ya Taifa ya Kidepo. Taarifa iliyotolewa na...
1 Reactions
12 Replies
411 Views
Back
Top Bottom