Mbunge wa jimbo la Gairo mh Shabiby, wakati akichangia hotuba ya bajeti kuu amemshukia kama mwewe waziri wa fedha Mwigulu Nchemba kuwa tabia yake ya kutaka kuwa mzuri kwa kila mtu na kila taasisi...
CCM Zanzibar imemruka kimanga Naibu Katibu mkuu Dr Mohamed Dimwa aliyesema Kamati maalumu ya CCM Zanzibar imependekeza Rais Mwinyi aongezewe Muda Kutoka miaka 5 hadi 7
Katibu mwenezi CCM Zanzibar...
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia yawakutanisha wadau wa elimu, sayansi na teknolojia kujadili Rasimu ya Mkakati wa Kitaifa wa Matumizi ya Teknolojia katika Elimu. Mkutano huo wa siku mbili...
Kabla Idara za Kodi hazijaunganishwa na kuunda TRA kulikuwepo Kitengo Cha Investigation Branch (IB) chini ya Idara ya Income tax
Hawa Mabwana Kazi yao ilikuwa kufanya Uchunguzi na Ukaguzi Kwa...
Baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila kufika Kariakoo na kuzungumza na Wafanyabiashara kuhusu suala lao la kugoma kufungua biashara ambapo amewasisitiza wafungue wakati...
Wafanyabiashara na wenye viwanda wanapaswa kulipa kodi stahili kwa uhai wa Taifa letu.
Kodi zinazolipwa zinapaswa kutumika vema,Kulindwa na kusimamiwa vema na si kufujwa.
Mchakato wa kukusanya...
Nimeyasoma madai ya wafanyabiashara yanayouzunguka mtandaoni(ambayo yaka kama 14) na nimeona mengi hayana mashiko, hayaeleweki au ni vigumu kutekelezeka. Halafu madai ni mengi mno kiasi kwamba...
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akiongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika...
Ndugu zangu Watanzania,
Zaidi ya mahujaji Elfu moja wamepoteza maisha katika mji wa Makka walikokuwa wamekwenda kuhiji kama sehemu ya kutimiza nguzo kuu tano kwa muislamu yeyote yule mwenye uwezo...
Diwani wa Kata ya Mbezi, Wilayani Mkuranga Mkoani Pwani, Rashid Selungwi ameumwagia sifa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIMWATA) kuwa ni wageni wema Kijijini Mwanzega, zilipo nyumba za Wasanii...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (#CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla amesema hoja ya kuongeza muda wa Urais kwa Rais wa #Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi kutoka Miaka...
Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI (Elimu), Mhe. Zainabu Katimba (Mb) amesema katika Ajira mpya za Kada ya Ualimu zitakazotolewa hivi karibuni mgawanyo wa walimu hao utazingatia Halmashauri...
Kuna malalamiko yamekuwa yakisambaa kitambo sasa, binafsi kuna siku nilitoka mahakamani nikawa kwenye lunch na mawakili kadhaa, miongoni mwao walikuwepo wa DPP. Nikachomeka, ati mbona kila mkeka...
Tujenge mfumo rafiki na unaotabirika wa kodi,Utahamasisha ulipaji kodi kwa hiari kwa kuwa utachochea ukuaji mitaji,tuumize akili Tanzania inufaike na nafasi yake ya kijiografia kujenga uchumi...
"Sukari ni chakula, watanzania wa hali ya chini wanategemea Sukari kuweza kunywa Chai. Suala la Sukari ni suala la Usalama wa Nchi kwasababu chakula ni suala la kiusalama ndani ya Taifa...
Tume ya Taifa ya uchaguzi (sina hakika kama ni HURU) mara zote tangu uchaguzi wa mwaka 2000, imekuwa kama ni sehemu ya wawezeshaji muhimu kwa CCM kushinda uchaguzi.
Watu wanaoheshimika wenye...
Ndugulile atachaguliwa kuwa Mkurugenzi wa WHO ukanda wa Afrika
Makonda ataenda kugombea ubunge jimbo la Kigamboni atashinda
sakata la sukari litamfanya Rais kuvunja baraza la mawaziri
Makonda...
Naunga mkono asilimia 100% mgomo wa wafanyabiashara. Tena ningependa kuona ukienea nchi nzima!
Sababu ni kwamba uongozi wa Tanzania huwa unajifanya kiziwi pale Watanzania wanapoonyesha...
Juzi Alhamisi nimeshuhudia mwenyewe. Mwanzoni nilikuwa siamini nikijua ni siasa tu, nikiwa katikati ya Jiji la Kampala wakati wa lunch time ktk mgahawa mmoja nilikutana na Wafanyabiashara watatu...
Mkuu wa mkoa, Albert Chalamila amefika Kariakoo kujaribu kufungua maduka lakini katika harakati hizo ameweka vitisho vilivyopitiliza..
Chalamila: Aliyekubali kufungua afungue na yule ambae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.