Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ukinunua dai Risiti, Ukiuza toa Risiti. "" "" "" "" "" "" "" "" "" " TRA wamekuwa wakiwaonea wafanyakazi wa Tanzania kupitia pay as you earn [PAYE] hasa pale mfanyakazi anapopata mgogoro...
30 Reactions
169 Replies
9K Views
DK. MWINYI AKUTANA NA UONGOZI WA TAASISI YA BIG WIN Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewataka Taasisi ya Big Philanthropy ya Uingereza...
0 Reactions
0 Replies
284 Views
Naomba Mhusika awawajibishe na kuwakumbusha Askari wa geti la kuingilia wagonjwa. Shida ipo wakati wa kutoka ukiwa na Chombo Cha usafiri,unaulizwa maswali haya ( lazima ujibu Ili ufunguliwe geti)...
0 Reactions
1 Replies
201 Views
Kuna ule usemi kwamba ukiwa na mtu ndani ya nyumba yako, akaamua kutumia rungu kuua mbu bila kujali mbu yuko sehemu gani. Sasa waswahili wanasema, kuna siku mbu anaweza kutua sehemu nyeti ya...
1 Reactions
5 Replies
438 Views
Baada ya awali kuelezwa kuwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ipo mbioni kuuza mali za Mbunge Toufky Turky ambaye ni Mfanyabiashara aliyedaiwa kushindwa kulipa ushuru wa Gari aina ya Marcedes Benz...
7 Reactions
40 Replies
6K Views
Ndugu zangu nawajulia Hali Kwa jina la mwenyezimungu mwingi wa Rehema na mwenyewingi wa kusamehe. Nilitembelea nchi moja ya east African ambako kuna kiongozi mkubwa wa Taifa Hilo alifariki...
0 Reactions
2 Replies
269 Views
“Kama tunatoa ripoti na kuna ubadhirifu na hatua hazichukuliwi, huo kwangu ni udhaifu wa Bunge. Bunge linatakiwa lisimamie na kuhakikisha kwamba pale penye matatizo, linahakikisha kuwa hatua...
0 Reactions
0 Replies
289 Views
Kuna tetesi Kuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Njombe, Rose Mayemba anashikiliwa na Polisi kwa kuhamasisha mgomo wa Wafanyabiashara unaoanzia Kariakoo. Ikumbukwe asilimia 90 ya Wafanyabiashara wa...
5 Reactions
53 Replies
4K Views
AWESO ATEMBELEA VIWANDA VYA KUZALISHA MITA ZA MAJI ZA MALIPO KABLA CHINA, ASEMA WAKATI WA MABADILIKO NI SASA Shangai, China Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amehitisha ratiba ya ziara ya kikazi ya...
0 Reactions
5 Replies
315 Views
Salaam Wakuu, Mambo ya dini yanaamsha hisia sana. Inadaiwa Paroko aliyetajwa si Paroko wala nini. Ni kweli Polisi nao ni Binadamu. Kwa hili tunaomba uwajibikaji. Inadaiwa Paroko ni Deodatus...
26 Reactions
262 Replies
11K Views
Sio viongozi tu, hizi tabia ni nature yetu hata miongoni mwetu, power inawafanya wengi kufichua tabia zao sio kuwabadili tabia. Ubinafsi uliopitiliza, miaka nenda rudi Afrika inapewa matrilioni...
6 Reactions
21 Replies
528 Views
1. Nimewasikia mkijinadi kukemea maadili kwenye Idd Al Adha, . Kumomonyoka kwa maadili si ushoga na ngono. and the like 2. Wizi, Rushwa , ukatili , uongo na vitu kama hivyo ni mmomonyoko wa...
2 Reactions
12 Replies
450 Views
Enzi za uhai wake angesema.....Hiiiiii! Maweee! Yaani enzi za Jembe unajaribu kutingisha Sharubu za Mfalme? Ungejuta. Wafanya biashara waache dharau wao sio muhimu sana kuzidi makundi mengine...
9 Reactions
51 Replies
1K Views
Viongozi wengi wa waAfrika ambao Nyie mliwaita freedom fighters wengi walipigania uhuru kwa manufaa yao na familia pengine na koo zao Mimi Nina hakika na hilo hususani kwa hapa Africa mashariki...
4 Reactions
13 Replies
379 Views
Fedha nyingi zimetumika kununua pikipiki zaidi ya 18,000 zitakazosambazwa nchi nzima! Mtu unajiuliza hizo fedha takriban 54 billion si zingetumika kuwasaidia watu maskini katika mambo mangapi...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Hakuna shaka Dunia inaweza kupitia katika anguko kubwa la uchumi kama mvutano unaoendelea kati ya Mataifa makubwa kiuchumi usipotulia Mvutano wa Urusi V/s Ukraine na Mataifa yanayomsapoti...
2 Reactions
4 Replies
206 Views
Ikitokea ukahabatika ukibahatika ukawa Rais wa visiwani Zanzibar Je, utasimamia nchi kizalendo au utafanya kupiga deal uwe bilionea tu Au ukiacha kuwa Rais Zanzibar Ukibahatika kwenda somalia...
0 Reactions
4 Replies
266 Views
Kwa ukubwa wa nchi yetu ni vema kila Jimbo (Kanda) ikajitegemea Ikawa na Bunge lake, Mahakama zake na TRA yake kama Zanzibar Hii itaharakisha maendeleo na kufurusha mafisadi Kwa kuwagonga mihuri...
0 Reactions
4 Replies
265 Views
Muhtasari Moja ya lengo muhimu la kutunga Sheria ya Utumishi wa Ummaya Mwaka 2002 ni kutoa mpango kazi wa kutatua migogoro na kutoa kazi na majukumu pamoja na kuanzisha tume ya utumishiwa umma na...
0 Reactions
0 Replies
367 Views
Ningependa kujua wajumbe wa Kamati ya maadili ya Bunge. Na uwezo wao wa kuweza kuzichambua na kutoa maamuzi
0 Reactions
1 Replies
277 Views
Back
Top Bottom