Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kurugenzi ya vyombo vya habari ya Wizara ya Usafiri ya Urusi iliripoti Jumatano kwamba mkataba wa usafiri wa anga umesainiwa na Tanzania. Naibu Waziri wa Usafiri wa Urusi, Vladimir Poteshkin na...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
NAWAZAAA,NADHANI NI WAKATI SAHIHI SASA KWA MHESHIMIWA NCHEMBA KUJIUZURU KUEPUSHA YA KENYA HAPA TZ...AMEISHINDWA WIZARA ANANUNULIA TEAM ZA MIPIRA KWA MASIRAHI BINAFSI...AMESHINDWA KUA MBUNIFU KWA...
2 Reactions
6 Replies
210 Views
High tax rates hinder poor countries from growing their economies. The tax rates from sales tax to income tax are too high for our region where businesses need more and more capital to grow and...
0 Reactions
0 Replies
254 Views
MBUNGE CONDENSTER SICHALWE Akichangia Hotuba ya Bajeti Kuu kwa Mwaka Mpya wa Fedha 2024/2025 "Mchango wangu unajielekeza kwenye kushauri namna ambavyo sisi kama Taifa tunaweza kutumia rasilimali...
0 Reactions
3 Replies
238 Views
Nukuu za Afya wiki hii.
0 Reactions
0 Replies
175 Views
..serikali kupitia kwa RC Chalamila inakiri kuwaogopa Wachina na Wamachinga. ..lakini wengine wote wanatishiwa kuitiwa Jeshi la Wananchi. ..sina kumbukumbu ya Jeshi la Wananchi kutumiwa...
3 Reactions
9 Replies
634 Views
Hapa ni Vianzi Vikindu barabara ni shida na mbunge anajua, tusaidieni wadau kwani ni aibu, Wadau mtusaidie.
2 Reactions
7 Replies
585 Views
Kuna maneno na minongong'ono mingi sana vijiweni, kufuatia adhabu inayodhaniwa kuwa ya uonevu iliyotolewa na spika kwa Mpina. Wapo wanaodai spika ana unasaba ama "amewekwa sawa" na...
3 Reactions
5 Replies
436 Views
Laana ya rasilimali "resource curse" ni ile hali ya nchi zenye kuwa na rasilimali nyingi kuwa na maendeleo duni, ufisadi mkubwa, migogoro na demokrasia hafifu kutokana na wingi wa rasilimali ilizo...
8 Reactions
35 Replies
1K Views
Kwa sasa nchi yetu ina watu zaidi ya millioni 61 lakini huwezi kuamini mambo yanavyoenda mrama kila kukicha tangu tuondokewa na aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 Hayati Magufuli. 1. Bwawa la mwl...
19 Reactions
75 Replies
3K Views
Kwanza kabisa Tundu Lissu anashangaa watanzania kufurahia madhila aliyopitia ikiwemo kupigwa risasi wakati na yeye alikuwa anafurahia madhila iliyokuwa inapitia nchi ikiwemo kukamatwa kwa ndege na...
9 Reactions
110 Replies
4K Views
Kwanza, Kwa tabia mbaya ile isiyo ya utii, maadili na uaminifu kwa chama na serikali yake sikivu, unadhani bado anastahili kua mwanachama wa CCM au chama kingine chochote cha siasa? Baada ya...
4 Reactions
69 Replies
2K Views
Usipite na gari lako Kijazi interchange. Kwa wanao toka Mbezi kuelekea kariakoo na Posta pitia njia ya Goba au maji chumvi. Fanya hivyo boss utakua na amani. Tuache kudharau viongozi wetu...
35 Reactions
207 Replies
4K Views
Gape Sugar kwa nusu mwaka ni 30K (kwa takwimu za wizara ya Bashe na Serikali ya CCM). Kwa Kuagiza hii Sukari yote (400k) ni kuitia Serikali kidole Bashe yeye kaagiza sukari ya miaka 5 ndani ya...
50 Reactions
167 Replies
7K Views
Habari wakuu nipo mtaa wa mchikichi huku kariakoo maduka hayajafunguliwa hadi muda huu kuna nini kwani? Ngoja niangalie na mitaa mingine. UPDATES... Muonekano wa maduka mbalimbali katika...
31 Reactions
428 Replies
33K Views
Mpo salama bila shaka. Inapotokea migomo ya nyakati hizi kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu ni muhimu kuiendea kwa umakini. Wanasiasa wanaelewa nazungumzia nini. Watatuzi...
5 Reactions
8 Replies
381 Views
Hayati Magufuli wakati wote alihimiza maendeleo ya nchi kama NCHI na siyo kwenye vipande vya nchi. Ndio maana akiwa Waziri wa ujenzi alihimiza ujenzi wa barabara ili mtu atoke Mtwara mikindani...
32 Reactions
239 Replies
13K Views
Ni Hadithi ya Nguo Mpya za Mfalme, ni hadithi ya Kidenmarki iliyoandikwa na Hans Christian Andersen, iliyochapishwa mwaka wa 1837. Lakini inaakisi maisha yetu waafrika wasasa, kama una D mbili...
8 Reactions
18 Replies
1K Views
Sawa nakubali Kariakoo ndio kitovu cha uchumi nchini, biashara zote nchini watu wanafungashia Kariakoo, mapato ya nchi kwa kiasi kikubwa yako kariakoo, nafahamu pia athari za kiuchumi endapo...
1 Reactions
17 Replies
483 Views
Back
Top Bottom