Twende nyuma, kuna namna pia wananchi wa Tanzania ni shida na hawajielewi. Hivi unaenda kumchagua mbunge Darasa la 7 awe mmbunge wako akakupiganie Sera na Kukuletea maendeleo, serious?
Tanzania...
Ombi kwa Rais wangu mpendwa mama Samia, nakuomba uongee na wafanyabiashara wa kariakoo kwa kuita viongozi wao wachache katika timu yao ya Uongozi, maana nadhani wamezingukana katika kutoa kauli...
Ukifuatilia kwa undani namna nchi yetu inavyoendeshwa na mambo yanavyoendelea utakubali kabisa kuwa hadi sasa CCM wamefanikiwa kwa asilimia kubwa kuubakisha mfumo wa chama kimoja kwenye fikra za...
Kwa Mara nyingine tena Mbowe na Tundu Lissu wameingia kwenye mzozo mwingine ikiwa ni siku moja tu tokea Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kutangaza ziara katika kanda ya Kaskazini...
Vifaa vya ujenzi vikauzwe bunju
Vifaa vya umeme kibamba
Vifaa vya ndani mbagala
simu ndio zibaki kariakoo
Nguo gongolamboto
Iwekwe order baada ya miez 3
SIo siri hawa wanasiasa wanatuchezea, sisi maboss wao wanatufanya kuwa vijakazi wao, hatuna cha kuwafanya zaidi ya kuwaonyesha boss ni nani; Je Tutafanyaje ?
Box la Kura
Ndio huenda wataiba...
Ni mara ya 2 wanaoitwa wafanyabiashara wa Kariakoo kugoma ndani ya muda mfupi. Baada ya ule mgomo wao wa kwanza tukaanza kuona migomo Iringa, Mwanza na maeneo mengine.
Migomo yote ni...
Maduka yote Mjini Kyela leo 25/06/2024 yamefungwa, ikiwa ni muendelezo wa Mgomo wa wafanyabiasha nchi nzima kupinga dhuluma za serikali kupitia TRA, kuwakamua Wafanyabiashara hadi watoke damu...
Salaam!
Nchi lazima iende mbele na huu ni wakati wa system kuwa makini na wakati wote kuwa kazini.
Unajua tuambiane ukweli, Kuna watu wengi ndani ya CCM na nje ya CCM wanaomdharau mama..
Matendo...
Binafsi mbali na mapungufu ya kiuongozi yaliyopo katika chama changu CHADEMA bado naamini ni chama cha Ukombozi .
Hivyo kama Mpina yuko sahihi basi huu ndio muda muafaka wa kuonesha namna CDM...
Kilichotokea kwa Mpina Bungeni, ni kile kilichotarajiwa. Na wala hakuna anayeyashangaa maamuzi ya Bunge, zao la uovu wa 2020.
Bunge ambalo nalo ni matunda uovu na uchafu wa mwaka 2020...
ni kwa zaidi ya wiki sasa, anao ambatana na kuandamana nao kwa karibu sana kwa sasa, kila mahali aendako hivi sasa ni watu miongoni mwa waandamizi na wenye vinasaba na chama cha act wazalendo...
Nchini Kenya muswada wa fedha ulizua balaa huku wachumi wakiuchambua kila kipengele na kuelezea athari zake kwenye uchumi wa Taifa na mwananchi mmojammoja.
Huku kwetu wametuita Dodoma tena...
CCM kama Chama Imara, kikongwe na Chama cah Mfano kwa nchi za Afrika kina namna yake ya ustaraabu wa kuendesha siasa zake.
CCM inaaminiwa na mamilioni ya Watanzania kwa kuwa ni Chama peke...
CHADEMA mna mkakati wowote wa kuwazuia wabunge wa viti maalumu waliopo bungeni wakati huu kutorudi bungeni wakati na baada ya uchaguzi wa mwaka 2025?
Mtawazuiaje ikiwa mtaona wao ndio wamepewa...
Mwalimu Kwa kinywa chake mwenyewe aliwahi kusema kuwa alitaka atoke madarakani mwaka 1980.
Lakini baada ya vita vya Kagera, viongozi wenzake ndani ya CCM wakasema siyo sawa atoke kwenye Urais...
Mpina atakuwa ana tatizo la afya ya akili (kwamba ni kichaa)? Hoja imetolewa na mbunge ambaye kaonyesha wasiwasi kuhusu afya ya akili ya mbunge Mpina.
Ukichaa ni moja ya mago hwa yanayotibiwa na...
Mbunge Luhaga Mpina amesimamishwa kushiriki vikao kumi na tano vya Bunge, lakini mimi nitasimama upande wake daima. Mpina ni mtoa taarifa muhimu kuhusu jambo ambalo wengi hawalijui, na hivyo...
Kwema Wakuu.
Mzee mmoja ambaye ni chama dola anaongea hapa kwa majivuno kuwa hashangazwi na huo mgomo wala sio tishio kwa Serikali.
Anasema kitakachomshangaza ni kama mgomo huo utadumu kwa siku...
Hivi kwanini watu lawama nyingi wanaitupia serikali?
Hivi hatuwezi kuitumia japo hii fursa ya amani kufanya mambo makubwa?
Ukiangalia kongo, Sudan na baadhi ya nchi za Afrika na dunia kiujumla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.