Nilimsikia Kitila Mkumbo akisema kuna bidhaa 8 wamekubaliana na wafanyabiashara kuziingiza kwenye mfumo bila ufafanuzi zaidi na leo nimemsikia tena Mwigilu akisema kuna bidhaa 8 ambazo...
Hali ni tete Sana
Maaskofu wa Kenya wamtaka Rais Ruto kuitupilia mbali Finance Bill Ili kuliokoa Taifa
Maaskofu wamemtaka Amiri Jeshi Mkuu wa Kenya kuwarudisha KDF kambini na Mipakani mara Moja...
Wakuu salaam kwenu!
Kuelekea 2025
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya Wabunge kuhama makazi yao baada ya kuchaguliwa na kuwa Mbunge.
Wakati wote mtu alikuwa mkazi wa Jimbo X, anaomba ridhaa kupitia...
Rais ni cheo kikubwa sana yenye madaraka makubwa sana mwenye kupata hiyo nafasi lazima aihenyee ndio atakuwa na wivu na hiyo nafasi. Siyo kupewa tu na katiba.
Migomo hii ni udhaifu wa Rais wa...
Akihitimisha hoja ya Serikali Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amesema Serikali ya Rais Samia ni sikivu na imekuwa ilifanya hivyo Toka Mwanzo.
Kwa msingi huo imesema itapunguza matumizi ya...
Waziri Kivuli wa Mifugo na Uvuvi, Ndugu Selemani Misango, amesema bajeti iliyotengwa kwa Wizara ya Mifugo na Uvuvi haiwezi kukidhi matakwa na matatizo ya Sekta hiyo nchini na kwamba ACT Wazalendo...
Ni angalizo tu Kwa waziri wa mambo ya nje January Makamba kuhusiana na Uwekezaji wa Majengo kwenye Ubalozi wa Uganda
Citizens tv wameonyesha Jengo la Uganda ambalo lina ofisi za Balozi humo humo...
Ninawasilimia wana Jf wote. Baada ya mapumziko ya kuandika hapa na kuwa kwenye kundi la wasomaji, leo nimerejea baada ya miaka miwili. Ninaomba mnipokee na msinifokee.
Niendelee na mada.
Katika...
Kama Nchi, tumefika pazuri sana, maana sasa ni dhahiri kwamba Wananchi wameanza kutambua kwamba wao ndio wenye nchi.
Hata kama tumechelewa lakini ni bora kufika kwa kuchelewa kuliko kutofika...
Wameomba kuongea na Mkubwa mwenyewe badala ya kuongea na Wawakilishi wake ambao hawana lolote zaidi ya kupiga porojo tu .
Taarifa ya vyombo vya habari hii hapa
Wakuu Heshima mbele!
Nilisoma yale ambayo Generation Z waliyasema na yote wameyatekeleza kwa asilimia 100%.
Kesho 27/06 Waandamanaji wamesema watafunga njia kuu ya kuelekea nairobi na kuiteka...
Kichwa Cha hii thread ndio Ukweli mchungu
Mbunge anawakilisha Chama Cha Siasa ndio sababu mkataba wa Bunge umefungwa Kwa Rais wa JMT, Baraza la Wawakilishi Zanzibar na Vyama vya Siasa
Kule...
Wenye akili tulitegemea baada ya Kariakoo nyumbu watafuata mkumbo. Kawaida hakuna mfanyabiashara anapenda kulipa kodi kwa hiyari ni sheria tu inambana. Baada ya serikali kuimarisha mifumo ili...
Namshauri mr president ajifunze mbinu za jpm za kuweka usalama.wa taifa mpaka kwenye dalaldala ukiisema serikali tu unakamatwa na unapotezwa mazima.na waliobaki wanaogopa.
Hata samia ajifunze...
Kama ni uchawa basi mm niko tayari kuwa chawa wake, ni kama Maria Sarungi alivyo chawa wa Tundu Lissu au God bless Lema alivyo chawa kwa Mbowe, mimi ni chawa wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya...
President Ruto amejaribu Sana kumuiga Shujaa Magufuli lakini ameshindwa kutumika mbinu ya Shujaa katika kuservice Deni la Taifa
Wakati Shujaa Magufuli aliwabana Matajiri na kuwahurumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.