Kusema kweli mimi mkiristu kisa cha Ramadhani Ntunzwe kimenisikitisha
Mwenye MB zako nisimwage chumvi Ona hapa[emoji116][emoji116][emoji116]
Hii issue ikianza hivi natoa pongezi kwa Ramadhani...
Rais Samia amekiri kusikia kelele na matusi ya watanzania juu ya sera zake na uongozi wake. Lakini amesema ameamua kujifanya kuwa kama "chura kiziwi" mpaka dhamira yake na lengo lake la...
Tangu kung'olewa kwenye kiti cha Uspika wa Bunge, mbunge wa jimbo la Kongwa Job Ndugai hachangiagi chochote bungeni wala kuwasemea wananchi wake wa Kongwa!
Hotuba mbalimbali za bajeti kuu ya...
Wakulima wa zao la ufuta wamesema hawaridhishwi na namna minada ya zao la ufuta inavyoendeshwa kwani imekuwa siri kubwa kupitia mfumo wa TMX.
Wakulima wamelalamika bei kuporomoka kutoka 4800 hadi...
Akihutubia kutoka Ikulu rais Ruto amewapongeza vijana wa Kenya kwa kuthubutu kuitumia demokrasia ya nchi yao, wakati huohuo ametangaza kuufuta muswada wa bajeti mwaka 24/25 na kusema Kenya...
Huku Tandika, ukienda Mbagala rangi 3, ukienda Mwenge, ukienda Kinondoni biashara zinakwenda kama kawaida, wale waliogoma Kariakoo na kuwashawishi wa mikoani nao wagoner wanazuga tu, hakyamungu...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimeeleza kwamba kuendelea kuongezeka kwa deni la Taifa kunaashiria kwamba ukali wa maisha unaweza kuongezeka ukisababishwa na kulipa deni hilo.
Ili...
Wakati Kenya wanaendelea kuharibu Taifa lao kwa upumbavu wa vijana wachache, sisi tuendelee kujenga Taifa letu.
Kuna watu hasa Chadema wanawaza kuna siku nchi yetu itakuwa kama Kenya, niwaambie...
Wakuu amani iwe kwenu.
Baada ya kutafakari kwa muda mrefu nimeona nilete suala hili hapa jukwaani. Inakuwaje mtanzania mlipa Kodi na mkulima wa taifa hili analazimika kulipia gharama za kumuona...
Pongezi tele ziwafikie Wakenya. Hakika kifikra mmetuzidi mbali sana sisi Watanzania.
Pole nyingi pia kwa majeruhi wote wa matumizi ya nguvu ya polisi, wale waliopoteza maisha, pamoja na wapendwa...
Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi ya Zanzibar imesaini mkataba wa ushirikiano na wizara ya bahari na uvuvi ya Jamhuri ya Korea kwa ajili ya utafiti wa uwezekano wa kujenga bandari ya uvuvi na...
Huyu jamaa natamani kujua education background yake, nahisi kama hata darasa la 7 hajamaliza.
Alifikaje kuwa mkuu wa mkoa ?
Alifikaje ?
Unajua zaman mifumo ulikuwa loosely watu wamefoji sana...
Ni rasmi sasa Mpina ni mbunge aliyelaaniwa. Hii imetokana na Askofu Gwajima kunukuu aya ya biblia ambayo wabunge waliitikia ameen, aya hiyo inapinga kumfitini nduguyo.
Baadhi ya wabunge...
1. Malumbano kati ya Waziri wa fedha na Kamishina wa Mapato TRA.
Msimamo wa Kamishina kuhusu kero za wafanyabiashara ni kutekeleza sheria wala siyo maagizo ya wanasiasa wa ngazi yoyote...
Kukua kiuchumi kuna kanuni zake. Na moja ya kanuni hizo ni kutokuwa na madeni yanayokuumiza.
Nimesikia hivi karibuni mtu mmoja anasema yeye bado anakopesheka na hivyo kusherehekea kwa bado ana...
Mwaka 2021 umeisha kwa mjadala mkali kuhusu kasi ya ukuaji wa deni la Taifa. Mjadala huo japo umekuwepo kwa kitambo lakini wiki mbili zilizopita umechagizwa zaidi na kauli kali ya Spika wa bunge...
Yes kwa nchi kama Japan siyo deni kama la Tz yetu....wao mengi ni mambo ya ndani zaidi kuliko nje
Debt to GDP is a very broad measure. Debt can be private, corporate, or governmental. Another...
Jana Mhe. Mpina alifukuzwa Bungeni na kutakiwa kutohudhuria mikutano 15 ya Bunge. Tulisoma HOJA zake lakini uamuzi ukafikiwa kuwa afukuzwe. Kwa kuwa nchi hii inaongozwa kwa kufuata UTAWALA BORA...
1. Malumbano kati ya Waziri wa fedha na Kamishina wa Mapato TRA
Msimamo wa Kamishina kuhusu kero za wafanyabiashara ni kutekeleza sheria wala siyo maagizo ya wanasiasa wa ngazi yoyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.