Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wanabodi, Mimi ni miongoni mwa wana jf, niliyejibainisha humu kuwa mkweli daima kwa kuusema ukweli daima no matter what, ila ukweli huo wa kusemwa ni unausema ukweli wenye manufaa tuu!, maana...
8 Reactions
43 Replies
986 Views
Akiwaapisha wateule Ikulu, Rais Samia Kwa kinywa chake amekataa article ya kitapeli inayosemwa Tanzania ni ya 3 Kwa wananchi wake kuwa na furaha. Rais Samia amekataa utafiti huo uchwara na kusema...
23 Reactions
78 Replies
4K Views
Watanzania kama sio kukosa exposure basi ujinga unatutesa sana na kuna siku utakuja kutugharimu sana Wiki iliyopita nilikuwa Dodoma nimeangalia namna ya Jiji la Dodoma lilivyopangwa na kusema...
21 Reactions
126 Replies
7K Views
Hizi taasisi za mataifa ya Afrika sijui kama zina faida yoyote nyingine zaidi ya kutoa ajira kwa baadhi ya watu!! Leo ni siku ya 3 tangu maandamano makubwa yaanze nchini Kenya, yanayotishia...
11 Reactions
17 Replies
603 Views
Huyu Dr Mdimwa hajulikani siasa za nchi hii. Kwzmba ni naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar, bado ni mwanasiasa mchanga sana nchi hii. Tamko alilotoa kutaka Rais wa Zanzibar Dr Mwinyi aongezewe muda wa...
6 Reactions
26 Replies
697 Views
Mimi ni mtaalamu wa fedha na kwa mawazo yangu tatizo la kodi na TRA linaanza na uratatibu mbaya wa ukusanyaji wa kodi. Kuna kodi za aina mbili kubwa 1. Kodi za mauzo. Kwenye kodi hizi ambazo kwa...
5 Reactions
51 Replies
2K Views
Haya maneno yamenifikirisha sana. Aliyekuwa ananiambia ni Katibu Wizara flan. Na ni sababu nimemuuliza mbona jina langu halipelekwi kwenye teuzi mbalimbali nami tayari nina uzoefu nshafiri sana na...
10 Reactions
21 Replies
767 Views
Wananchi watapima, dawa watapewa, matibabu watapata ila KURA 2025 HAPANA, CCM ITULETEE MGOMBEA MWINGINE.
1 Reactions
3 Replies
374 Views
Sioni faida ya kuwa na wabunge aina hii bungeni,kazi yao kulipwa na kutukana au kudhalilisha wabunge makini ambao wanakwenda kinyume na mafisadi serikalini,kwa hali hii hii nchi itachezewa sana
19 Reactions
64 Replies
1K Views
Wanabodi, Baada ya kiongozi fulani kututaka tusioridhika na hali ya nyumbani, tuhamie Burundi, mimi ni mmoja wa walioitika wito huo tumehamia Burundi sasa naishi Bujumbura! Tangu tumehamia hapa...
25 Reactions
101 Replies
7K Views
TRA ni Lazima wawe wanakagua Kariakoo mara Kwa mara Kwa sababu Pako kama Soweto Biashara zinafanyika holela hadi barabarani Wafanyabiashara Wakubwa ndio wanawamiliki wale wamachinga wanaopanga...
3 Reactions
15 Replies
514 Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo, leo Mei 17, 2023. Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kimataifa la...
51 Reactions
560 Replies
37K Views
Ukihutubiwa na Mwenyekiti wa Chama hicho, Freeman Mbowe. Katika Mkutano huo Mbowe amesisitiza kwamba muda wa kuing'oa ccm Madarakani ni sasa na wala hakutakuwa na Dk za Nyongeza, Hii ni kwasababu...
8 Reactions
21 Replies
968 Views
Kama kawaida yao, nchi ya Marekani hainaga mchezo linapokuja suala la haki za binadamu. Marekani inafuatilia kwa ukaribu hali ya usalama nchini Kenya. Kwa yanayoendelea kwa jirani zetu, Serikali...
2 Reactions
13 Replies
748 Views
Ukikakaa na kila Mtanganyika atakuambia kila kitu hakipo sawa sasa hivi. Kodi kandamizi, ufisadi, upendeleo, wizi, ujambazi ushoga na hata uzembe makazini. Kenya Walipinga ushoga hadharani...
5 Reactions
15 Replies
520 Views
Katika Katiba ya Kenya, suala la kujiuzulu linahusiana na uwajibikaji wa kisiasa na utawala. Iwapo kiongozi wa idara fulani au afisa wa serikali anashindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo...
0 Reactions
3 Replies
328 Views
Kama huna Jicho la 3 si rahisi kuyafahamu haya ninayoyaandika, lakini hali ndio ilivyo, kuna kila dalili kwamba Mwisho wa ccm umefika rasmi Taarifa zinaeleza kwamba baada ya Mkutano wa Chadema...
16 Reactions
64 Replies
2K Views
Hili ni suala muhimu kwa sababu lazima katika baadhi ya mambo nchi zote zifanane katika sheria za kikodi
0 Reactions
12 Replies
380 Views
Nimekosa maneno ya kuandika lakini huyu Jamaa amekuwa ni Shujaa wangu wa wiki hii. Nashangaa Spika ameunda Kamati kushughulikia ushahidi wake alioutoa, lakini yeye amewajibishwa na Wabunge...
3 Reactions
9 Replies
371 Views
Tumekuwa tukisikia mashirika kadhaa yakifanya tafiti kubaini mambo kama vile 1. Nchi yenye furaha zaidi. 2. Nchi yenye watu wenye IQ kubwa zaidi. 3. Nchi yenye uhuru wa kutoa maoni nk. Je, hakuna...
7 Reactions
8 Replies
258 Views
Back
Top Bottom