Tatizo la nchi yetu lipo kwenye vyombo vya habari na mahakama.
Mahakama ikikutana na CCM inakuwa mbendembende. Vyombo vya habari vikiiona CCM vinapatwa na mchecheto..
Matokeo yake nchi sasa...
Wakuu salam,
Kama utakuwa mtembeleaji wa mtandao wa X utakuwa umeona hili.
Accout ya TCRA imeondolewa X, na pia TCRA imeondoa X kwenye list ya matandao ambayo wanapatika!
Je, nini kimetokea...
Wanajukwaa habari,
Naomba tupeane taarifa za maneo yetu ambayo tayar mgomo umechukua sura mpya
Tukiangazia dar
Leo siku ya pili
Huku mwanza nao wakianza leo
Mbeya wao wametisha zaid kwan...
Wanawaza kupora uchaguzi tu siyo tena Maendeleo na ustawi wa wananchi. Bungeni ni janjajanja tu kutunga sheria ovu 🚮🚮
Kodi unalipa mwenyewe lakini uzalendo upangiwe na serikali
Rais wangu wa Tanzania, Wasalaam!
Iwapo kweli umechagua kuwa chura kiziwi, itoshe kukushauri kwamba uchague tena na maeneo ya kuwa kiziwi.
Sio kile kelele ihahitaji kuwa kiziwi, nashauri hili...
Hadi sasa haieleweki Rais Ruto katika safari yake iliyobatizwa Jina la " Coming to America" alitumia kiasi gani kukodi ndege
Wataalam wa usafiri wa anga wanakisia Serikali imetumia Zaidi ya Ksh...
Wakulima na wafugaji ndiyo wanatulisha watanzania wote. Mkulima na mfugaji ndiyo uti wa mgongo wa taifa letu.
Tulimsikia waziri wa fedha ambaye ni mchumi wa kiwango cha PhD, katika hotuba yake ya...
Wafanyabiashara wanaandamana kwa kufunga maduka nchi nzima.
Kodi hazieleweki.
Madeni ya nchi yanazidi kupanda.
Viongozi matumizi yako juu sana, ma VX hadi kwa watoto wao.
Nyie wanyaturu vipi lakini?
Nimemsikia Mwigulu anasema kwa kujigamba kwamba benki ya dunia inafanya tathimini sasa kama bado tunastahili kuitwa nchi masikini.
Hivi ni kweli Mwigulu afahamu hali halisi ya maisha ya Watanzania...
Hebu mjitafakari hasa walimu na watumishi wengine.
Tgs A ni shilingi za kitanzania 330000 kwa njinsi maisha yalivyo magumu. Hii pesa mtu unaweza kutoboa kweli?
Sukari bei juu, kodi ya pango juu...
Kila siku demokrasia inazidi kujithibitisha kama mfumo wa hovyo sana na haufai kutumika kama mfumo wa utawala.
Zamani nchi zilipoongozwa na wafalme nchi ilikuwa ni mali ya mfalme na vizazi vyake...
Mifumo mitatu ya kiutawala watu wengi hawajui au hujitoa ufahamu kwa sababu tu wana AMRI ya kutiisha majeshi yanayowazunguka. Wakisahau kuwa hao wanajeshi wanao walinda sisi wananchi ni ndugu zao...
Mwaka jana mgogoro kati ya serikali na wafanyabiashara ulikuwa mkubwa kiasi cha kumtoa Waziri mkuu ofisini na kuja kusuluhisha. Pamoja na waziri wa fedha Mwigulu kutupiwa lawama zote kwenye...
Uvumilivu hata katika kipindi kigumu
Diplomasia ya mazungumzo hata kama tumeumizwa
Njia sahihi za kutafuta suluhu hata kama tumekwazika.
Hii ndiyo misingi ya kujivunia kwa taifa letu. Wakati...
Huko Kenya katika budget yao iliyosomwa siku moja na sisi kuna vitu vimetangazwa kama ongezeko la kodi nk mambo ambayo yana maumivu kwa raia.
Tofauti na tabia zetu, wao ASAP wakaingia barabarani...
Kila nikipita mbele ya ofisi za bunge Dodoma najiuliza nani alimuru lile jengo kujengwa pale. Hakuna parking ya kutosha, magari ya wabunge mengi huishia nje ya uzio
Ni uswahilini hakuna utulivu...
Mbunge wa Viti Maalum mh Munde Tambwe Amelia na Bei ya sukari Kuwa kubwa Tanzania huku Malawi, Zambia na Rwanda ikiuzwa Kwa bei rahisi Sana
Tambwe amewataka wabunge wawe Wakweli Kwani lazima kuna...
Japo hatua hiyo inaweza kuwa imetokana na sababu nyingine, ukweli kwamba imetokea katika kipindi hiki cha vuguvugu kubwa kuishinikiza serikali iifungie X/Twitter unweza kuyumkinisha kuwa hizi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.