Freeman Mbowe anadai serikali imeelemewa na madeni ndiyo maana kodi zimekuwa kubwa.
Kulingana na maelezo yake asilimia 51% ya bajeti ni kwa ajili ya kulipa mikopo ya serikali.
Kutokana na mzigo...
1. Wakenya mara kadhaa wametumia dhana ya MAITI kuelezea namna ambavyo Watanganyika "Wamekufa" katika kudai haki zao toka Uhuru 1961 (miaka 63 iliyopita).
2. Mkataba wa DP World ilikua fursa ya...
Jana kwa kuhitimisha mjadala wa Bajeti ya Serikali 2024/25 Mhe. Waziri wa Fedha aliwahakikishia Wananchi wa Nyatwali kuwa watalipwa haraka iwezekanavyo. Malipo haya yamechelewa kwa muda wa miaka...
MHE. NORAH WAZIRI MZERU, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Anauliza Swali Bunge kwa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.
"Serikali imechukua hatua mbalimbali kuhakikisha Wanafunzi...
Habari wakuu!Naomba kupata CV na biography full ya mbunge ALLY MAKOA ambaye ndio mwenyekiti wa kamati ya maadili,haki na madaraka ya bunge.Nadhan ni vizuri kumuelewa bwana huyu kwakuwa wenyeviti...
Bado nawaza siku hawa Maafisa Usafirishaji (Bodaboda) nao wagome kama walivyofanya wafanyabiashara Kariakoo hali itakuaje?
Madai ya Maafisa;
1. Kamata kamata ya trafiki,
2. Bei ya mafuta...
Salaam, Shalom!!
Nani amekosa Maadili kati ya Hawa wawili?
Ni yule aliyedhamiria viwanda vya ndani vifungwe Kwa kuletewa sukari Toka nje ,fake, GMO ya Bei Chee yenye kuuzwa Bei sawa na sukari ya...
Mojawapo ya mambo yanayozisaidia jamii kupiga hatua ya maendeleo ni pamoja na kujali muda.Naangalia tamasha la bulabo lililopo live TBC.Kila kiongozi anayepanda kuanza kuzungumza,anataja itifaki...
"Serikali imechukua hatua mbalimbali kuhakikisha Wanafunzi wasichana wanaokatiza masomo kwasababu ya kupata ujauzito wanarejea Shuleni. Hatua hizo ni pamoja na kutoa Waraka wa Elimu namba mbili wa...
Wakati tunaendelea kumpongeza Rais JPM kwa juhudi zake za kufufua shirika la ndege Tanzania(ATCL) tujipe na muda wa kutafakari pia mambo mengine na "kuhoji" kwa nia njema ya kutuondoa hapa tulipo...
Huyu ni mtu kweli kweli ! Ameamua kufunika kombe ,haongei chochote na hachangii chochote ,amefumba kinywa ! Fisi wanajua wamemkomoa na Kuna wengine wanaona kama amekuwa failed! Huyu mtu hata...
Yani nimetoka nyumbani kufufuata mahitaji yangu soko la Mbagala hakuna biashara zaidi ya wamachinga.
Mbagala biashara zote nafaka, elektroniki madukaa mengine yote yamefunga.
Madhara kwa...
Mwenye kumjua zaidi mtu huyu shujaa mwenye Ushawishi mkubwa atueleze na sisi tumfahamu
Inadaiwa alidanganywa kwamba anatakiwa kuhudhuria kikao na Waziri Mkuu Majaliwa Dodoma halafu akashushwa...
WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Rais Samia Suluhu Hassan alimsihi kuacha kujibizana na watu mitandaoni na badala yake asimamie falsafa ya R4.
Nape...
Ufisadi halimashauri?
Uzembe makazini?
Sakata la Bashe na Mpina? Mbona wananchi wapo upande wa Mpina? Kuna nini?
Mahindra tech. Bil 80+ alizopiga January? Mbona kimya?
Waarabu wameleta ufanisi...
Kuna utapeli mkubwa unafanyika na serikali ipo kimya. Tena utapeli wa kutumia idara za serikali. Nina ushahidi wote wa namba za wahusika. Naomba mwenye namba ya msaidizi wa Makonda ili nimtumie...
Nimependa Sana hii kauli ya Rais wa Mabunge ya Dunia na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ni kauli ya Kujiamini na ya Kijasiri Sana, amenikumbusha enzi za Shujaa 😃
Mungu wa...
Muswada wa Fedha(Finance Bill) ikishapitishwa na Bunge na kusainiwa na Rais wa JMT inakuwa Sheria.
Kwahiyo kila Matumizi yatakayofanywa yanakuwa ni Kwa mujibu wa sheria na ndivyo ilivyokuwa hadi...
Wakuu,
Mtafutaji, mhifadhi na mtoaji kilichowekwa kwenye mkoba kasoma bajeti yake ikinakisi ndio mahitaji ya nchi kujiendesha.
Kudai kwamba nchi inakopa kwa sababu inauwezo wa kukopesheka na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.