Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mara kadhaa nimeongea kwamba mifumo ya Nchi za Magharibi na Demokrasia Yao haiwezi fanya kazi Afrika.Huwezi weka mifumo Yao ya Utawala kwenye jamii ya wajinga, njaa na wasiojitambua. Matokeo yake...
4 Reactions
71 Replies
3K Views
Jeshi letu limetutenga Watanzania. Napata mashaka kuamini kama hili ni jeshi la wananchi wa Tanzania ama laah. Sitaki kuamini kwamba katika jeshi zima hakuna hata mmoja mwenye akili na kuumizwa.
8 Reactions
41 Replies
1K Views
Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia. Taarifa zetu za uchunguzi...
58 Reactions
307 Replies
36K Views
SOLOMON Stockbrokers Limited Member of Dar es Salaam Stock Exchange Authorized Dealer of Government Securities www.solomon.co.tz e-Market Report Reach | Access | Invest™ Thursday, June 27, 2024...
0 Reactions
0 Replies
197 Views
MOJA YA MAMBO YALIYONIFANYA NICHUKIE AWAMU YA TANO NI SUALA LA UTEKAJI. HATA KAMA WAKOSOAJI NI WAPUMBAVU BASI USITUMIKE UPUMBAVU KUKABILIANA NAO. Anaandika, Robért Heriel Mtibeli Suleiman...
5 Reactions
28 Replies
609 Views
Mnamo tarehe 29/03/2021 niliikosoa hadharani hotuba ya kwanza kabisa ya Rais wa JMT Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani nilimweleza wazi kwamba sera zake za uchumi hazina tija kwa baadaye na...
15 Reactions
27 Replies
966 Views
Vijana wa Gen Z jana walikuwa wanafuatilia Kwa makini Mdahalo wa Wazee wawili wanaogombea Urais wa Marekani Gen Z wamesema kasi ya Wazee katika jambo lolote haiwezi kuendana na Kasi ya Dunia ya...
0 Reactions
3 Replies
192 Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania @tanpol unawezaje kukubali Kituo cha Polisi kutumika na genge la watekaji? Unajisikiaje raia ambaye anapaswa kujiona salama kituoni akiteswa kutoka kituoni...
5 Reactions
13 Replies
715 Views
Nimepata taarifa kuwa ujenzi unaendelea kuokea Mwenge - Tegeta ni Reli itakayotumiwa na Treni za Abiria wa Mjini Hili ni jambo la kuishukuru sana CCM Jumaa Mubarak 😄
2 Reactions
6 Replies
376 Views
Kenya ni nchi lege lege, inayo practise jambo ambalo wakati wake bado haujafika, najaribu kujiuliza ilikuwaje taifa hilo likakubali muhimili wake muhimu sana kufanyiwa dhihaka na fedheha namna...
2 Reactions
12 Replies
284 Views
kwa aliyefwatilia mdaharo wa jana D.Trump vs biden atakubaliana na walio wengi kwamba D.Trump is the next President of USA and Tim Scott first (real) black VP of USA. sasa hivi democrats...
3 Reactions
3 Replies
305 Views
Kwanza, ninaomba kutangaza "Conflict of Interest" katika jambo hili. Ninaandika haya baada ya kuwa mimi ni sehemu ya waathirika wa mfumo wa elimu unaotolewa na Chuo cha Ustawi wa Jamii. Nilikuwa...
12 Reactions
30 Replies
1K Views
Tanzania ipo katika giza nene la kiutawala. Tatizo kubwa ni Serikali na watawala. Watanzania tunalalamikia katiba mbaya, lakini ukweli ulio wazi, hata hiyo katiba yenye kasoro nyingi, haifuatwi...
4 Reactions
8 Replies
549 Views
Ndugu zangu Watanzania, Habari ni kuwa Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan Mwenyekiti wa CCM Taifa, ambaye pia ndiye Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi...
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Maandamano yanayoendelea nchini Kenya, binafsi hayajanivutia kwa sababu hayana lengo linaloeleweka. Uharibifu unaofanywa na waandamanaji kama kuiba na kupora Mali za watu hii inaonyesha...
0 Reactions
7 Replies
431 Views
Walianza zamani kuonesha wao wako mbele kisiasa walipoitoa KANU madarakani na KANU ikakubaliana na matokeo. Sisi mpaka sasa CCM Bado inasema yenyewe ikitoka madarakani nchi itaingia vitani...
9 Reactions
20 Replies
505 Views
Salaam, Shalom!! Ukihesabu ziara alizofanya kiongozi wetu mkuu, Mwanza na Kanda ya ziwa Kwa ujumla, amekwenda mara nyingi zaidi kuliko maeneo mengine, Wananchi tunajiuliza, katika mikoa 26...
6 Reactions
99 Replies
4K Views
Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa imesema kitendo Cha Wagombea kugawa Fedha, Nguo na Chakula Kwa Wapiga kura kinadhalilisha Utu wa Mtu Source: Mwanzo Tv Plus Waione Sugu na Lucas Mlale...
1 Reactions
7 Replies
221 Views
Wengi wanakosea Kwa kuwafananisha Generation Z na Generation CHAWA Gen Z ni Vijana Wadogo na Wengi wao wamezaliwa kuanzia 1997 CHAWA ni mchanganyiko Maalum wa Vijana, Wazee na akina mama Hivyo...
2 Reactions
22 Replies
712 Views
Back
Top Bottom