Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Alhaj Adam Kimbisa - CCM imekosa mvuto, kimechoka Mwanachama mkongwe Alhaj Adam Kimbisa akitoa ushahidi wa CCM mkoa wa Dodoma kuishiwa pumzi ni takwimu za kura za urais 2015 mkoa wa Dodoma...
10 Reactions
29 Replies
5K Views
Ndugu zangu Watanzania, Msemaji mkuu wa serikali atazungumza na waandishi wa habari jioni hii,ambapo atakuwa live au mbashara kupitia vyombo vyote vya habari hapa Nchini yaani vile vya serikali...
3 Reactions
7 Replies
556 Views
Baraza la Maaskofu limesema linaunga mkono maandamano ya Gen Z ila yawe ya Amani Kadhalika Tume Huru ya uchaguzi ifanyiwe marekebisho makubwa ikiwemo kupewa Meno ya kuwafukuza Wabunge Source...
4 Reactions
8 Replies
266 Views
1. Miaka zaidi ya 60 toka tupate Uhuru sijawahi kushuhudia Mazishi ya Waziri Mkuu (Mstaafu) Narudia WAZIRI MKUU (Mstaafu) usinitajie Sokoine. **Kawawa alizikwa Kwa heshima wa Makamu wa Rais...
11 Reactions
115 Replies
8K Views
Kenya wana mtu ana controo bajeti, huyu ndie anaamua bajeti ya taasisi zote iwe Bunge au Ikulu au Mahakama ni independent na hawajibiki kwa mtu yoyote yule. Sasa juzi kati Ikulu ya Oenya iliomba...
14 Reactions
69 Replies
3K Views
Muda mfupi uliopita nilikuwa kwenye daladala ya kutoka Gongolamboto kuelekea mjini. Kwa sasa asilimia kubwa ya njia hiyo huwezi kukosa foleni Kwa sababu ya ujenzi unaoendelea. Na Kwa sababu ya...
6 Reactions
12 Replies
3K Views
Fuatilia kwa umakini maswali anayo muuliza. Kitalaamu tunaita leading questions. Yaani anamuuliza maswali ya majibu aliyonayo tayari . Lafudhi yake tu. Inaonyesha sio mtu wa Katavi. Cc Jebra...
3 Reactions
5 Replies
377 Views
Suala la Mpina halipuuziki. Sema nasi tusikie. Mbunge Luhaga J. Mpina alidai bungeni kuwa Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amelidanganya Bunge kuhusu sakata la uingizwaji wa sukari nchini. Alidai...
12 Reactions
37 Replies
3K Views
Naweza kusema kwamba, tunahatua kubwa sana kujifunza kutoka kwa majirani zetu Kenya! Kodi na ama ongezeko lolote la kikodi litokanazo na bidhaa, humlenga moja kwa moja mlaji na siyo mfanya...
7 Reactions
109 Replies
4K Views
Huo ndio ukweli mchungu Hata yaliyotokea Kenya Finance Bill kukataliwa ingekuwa ni Tanzania Rais angevunja Bunge Lakini Kenya Gachagua anataka Mkurugenzi wa Intelligence Nurdin Haji ndio...
10 Reactions
68 Replies
2K Views
Binafsi sioni umuhimu wa kuwa na bandari. Kama bandari inatoa ajira hata tukiiuza mwekezaji ataajiri pia. Kama Watanzania tulipaswa kuwa na unafuu wa katika manunuzi ya bidhaa kuliko nchi nyingi...
1 Reactions
6 Replies
333 Views
Maandamano ya vijana wa Kenya ya kupinga mswada wa sheria ya kodi 2024/2025 yaliyanza kwa amani, na baadaye yameishia kwenye maafa. Lakini inaelezwa kuwa chanzo ni baada ya Polisi kumwua kijana...
2 Reactions
5 Replies
343 Views
Inaendelea kutoka kwenye heading..... Tofauti na hapo mnakuja kuleta maada. Haiwezekani Hawa vijana wamemaliza chuo fani moja mfano mwalimu wa masomo ya Chemistry na biology ama history na...
1 Reactions
5 Replies
315 Views
Kutizama taarifa za habari huko Nairobi, serikali ya CCM pia inajifunza mambo mengine muhimu kutoka kwa maandamano ya vijana wa Kenya, kama vile: 1. Umuhimu wa kujenga usawa na uwazi katika...
1 Reactions
8 Replies
429 Views
Ni mlolongo wa viongozi wa Umoja wa Vijana CCM, tangu HERI JAMES Hadi Mohamed Kawaida, kuanzia viongozi wa Vijana mikoa Hadi ngazi ya Kata kote ni majigambo na vitisho vya kupoteza maisha ya...
0 Reactions
1 Replies
207 Views
"Kila mtanzania analaumu watanzania wengine ni wajinga hawaleti mabadiliko, na hao wanao laumiwa nao wanalaumu" - min -me Kwa takriban juma zima sasa suala la kashfa ya sukari ime trend sana...
6 Reactions
21 Replies
727 Views
Haki za kiraia na demokrasia ni misingi muhimu ya utawala bora. Vijana wanahitaji kuelewa haki zao na jinsi ya kuzitetea katika mazingira yoyote. Hii ni muhimu kwa sababu inawapa ujasiri wa...
4 Reactions
5 Replies
611 Views
Sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu, Dr. William Samoe Ruto, ameskiza sauti ya Mungu. Akubali yaishe.. Ajishusha na kuonyesha njia. Ni wajibu wa waKenya kuungana na kumfuata mguu kwa mguu kiongozi...
3 Reactions
19 Replies
644 Views
Huwezi kuwasikia wakihoji juu ya bajeti iliyopita kama itawaletea manufaa tena Maana sasa kila kona ni juu ya jamaa aliyetekwa na wasiojulikana. Siku zote ni watu wa kufikiria mambo wanayoyaona...
0 Reactions
0 Replies
92 Views
Wananchi tunatoa matrilioni na matrilioni kama kodi lakini hatujaelezwa kodi zetu zinafanya kazi gani. Asilimia 99 kama siyo 100 ya miradi inayotekelezwa katika nchi hii inatekelezwa na fedha za...
2 Reactions
5 Replies
304 Views
Back
Top Bottom