Mnakumbuka habari Dr. Ulimboka? Naye jamaa waliamini kabisa amekufa. Kumbe Mungu alimlinda ili aje azungumze ukweli. Sababu unaweza kuta Baadhi ya Viongozi wanafiq sana. Machoni kama watu.. moyoni...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi,Rais anayeheshimika na kupendwa na watanzania kwa kiwango cha juu utafikiri pesa,hii leo ametua na kuingia ndani ya chuo cha...
Pwani
Serikali kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeendelea kuboresha na kufanya matengenezo ya miundombinu ya barabara katika mkoa wa Pwani ili kurahisisha shughuli za...
Watangazaji nguli nchini mh Zembwela na mh Hando wameiomba jamii imuache Sativa apumzike kwanza Ili baadae aje atoe Maelezo yaliyonyooka
Zembwela amesema kwa kawaida watekaji humfunga kitambaa...
Kijana aliyetekwa katolewa oysterbay Dar es Salaam kapelekwa Arusha, swali ka kujiuliza Arusha kuna nini mpaka mtu atekwe kiharamia apelekwe huko?
Lakin jambo lingine la ajabu who is Sativa? Nina...
Katika majimbo yanayoleta changamoto kubwa kwa CCM nyakati za uchaguzi ni jimbo la Arusha mjini. Kibaya zaidi changamoto kubwa huwa ni ndani ya CCM kwenyewe wakati wa kupata mgombea ubunge kupitia...
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ataandikwa kwenye kumbukumbu za historia za viongozi shupavu wa nchi hii kwa namna alivyothubutu kuchochea mageuzi na mabadiliko katika kilimo kwa bajeti ndogo tu...
Hili taifa kama tunaendelea kusingizia amani ndio tunu huku viongozi mafisadi wakineemeka kwa upole wetu tutaangamia
Kigezo cha amani ndio imekuwa silaha ya wanyonyaji nchi hii,jambo moja...
Msanifu wa majengo Arch. Yassin Mringo kutoka kampuni ya Y&P Architect aeleza kwa undani kuhusu jengo tarajiwa.
https://m.youtube.com/watch?v=szHwN2oBSbo
Kampuni ya Y&P Architects (T) Ltd ni...
Akichangia mjadala wa bajeti kuu ya serikali mbunge wa gairo mheshimiwa shabiby amesema kumeibuka wimbi la wasifiaji wa kila kitu na kusema kweli zile sifa hazitoki moyoni bali wanasifia kwa...
Salam ndugu zangu wa Tanzania.
Tanzania ni nchi nzuri sana pengine kuliko nchi nyingine yoyote katika ukanda wa maziwa makuu na Jangwa la Sahara.
Ukiangalia bendera Ramani na Historia ya...
Tetesi zimezagaa Luhaga Mpina hayupo mwenyewe na kuna kundi la wabunge walishirikiana naye kuandaa ile ripoti yake na bado wapo naye. Inadaiwa walikutana Dodoma eneo la Espirancee na kufanya...
Wakuu,
Naamini wote tumeshapata taarifa juu ya tukio la kijana Sativa kupatikana, ambapo alitekwa na watu wasiliojukana na kupatikana leo katika hifadhi ya Katavi.
Edga Sativa (Sativa)
Pia...
Ni kana kwamba makada wa chama changu ccm wanadmfukuzana na muda kwa kukopa na kukuza deni la taifa kuwa kasi sana huku rasilimali zikibebwa na wageni KWA kisingizio cha mikataba ya uwekezaji...
1. Hawawezi kujifunza lolote. Kwa nini wakose la kujifunza?
JIBU:
Watawala, CCM for that matter, walihakikishiwa na Kenyatta enzi hizoza uhai wake kuwa
.1. WATANZANIA NI MAITI, HAWAWEZI...
Tunataka chunguzi kutekwa, kuteswa na kujeruhiwa kwa Edgar Mwakabela
ACT Wazalendo tunalaani na kukemea vikali tukio la kutekwa, kuteswa na kuumizwa vibaya kwa kijana Edgar Mwakabela, mtandaoni...
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba akitoa ufanunuzi wa hoja zilizoibuliwa na Wabunge kuhusu Bajeti ya Serikali, amesema Shilingi ya Tanzania inatakiwa kutumika kwenye maeneo yote ya ndani ya...
"Siyo sawa, aliyemkubwa na amfanye mdogo pia apate furaha kazini," Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza katika Mkutano wa Kumi na Moja wa Kitaaluma wa...
Mh Rais Mama Samia suluhu Hassan bado hujastuka tu kuwa mtu huyu ni hatari katika utawala wako? Waziri wako anadharau amri ya Rais ambayo jana tu asubuhi umemuagiza yeye mwenyewe atwambie kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.