Kuna mtizamo hasi Kwa watanzania waishio mijini kwamba wananchi waishio Vijijini hawajui kama CCM haifai tena kuendelea kuongoza Tanzania.
Watu wengi hudhani kwamba wananchi wa Vijijini ndiyo...
Nakumbuka alianzisha utaratibu kwa kusema ukimvaa basi Chawa wake watakuvaa. Hivyo anao hao chawa yaani viumbe wachafu.
Majuzi kasema yeye ni "Chura kiziwi" hivyo hasikii kelele za nje.
Sasa kazi...
Mahali tulipofikia Tanzania, tunahitaji mchango wa kila taasisi na kila mwananchi kulifanya Taifa hili liwe lenye kitoa matumaini kwa vijana wetu wa sasa na vizazi vijavyo. Moja ya taasisi...
Ni kwasababu ya makusudi, haja na nia yake thabiti, ya wazi na njema ya kutaka kuibadili tanzania kiuchumi, kijamii na kusiasa?
Au ni kwasababu ya umadhubuti wa sera, mipango, mikakati, jitihada...
Kwa uzoefu wangu najua kabisa kwenye mkutano wa Mabalozi na Serikali ni lazima Mabalozi wataongozana na Wataalamu wao wa kila sekta yenye uwekezaji.
Nashauri Serikali iwe na Wataalamu wa Kodi...
SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA NSSF
Na MWANDISHI WETU,
Dodoma. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Bw...
Kitu kitakachokumbukwa sana kwenye bunge la bajeti mwaka huu 2024 utakuwa mjadala wa sukari kati ya Mpina na Bashe.
Dkt. Tulia ameuliza swali la msingi sana kuhusu muda ambao viwanda vyetu...
Rais Samia alipoingia madarakani mwaka 2021 katika hotuba zake za mwanzoni kabisa aliwahi kusema kuwa yeye na Magufuli ni kitu kimoja. Nakumbuka siku ile niliposikia matamshi hayo nilipatwa na...
Kigogo huyo alikuwa anashitakiwa Kwa kosa la kuwa na Mali ambazo Hazina maelezo karibia Bilioni 4.
Mahakama Kuu imemuachia huru lakini akatiwa mbaroni tena Kwa DPP kukata Rufaa.
My Take
Mwenye...
Nawaasalimu Kwa Nina la jamhuri ya muungano wa Tanzania!!!!!!
Naomba niende Moja Kwa Moja kwenye mada , niiombe serikali yeti tukufu mosi iunde tume ya usaili kwenye ajira hasta kazi za wakuu...
Salaam, Shalom!!
Sina ugomvi binafsi na Ndugu Mwigulu, ugomvi wangu ni juu ya Elimu ya Uchumi na maamuzi ya mtu huyu mwenye kibri ajiitaye msomi kuliko wasomi wengine.
HIZI HAPA FAIDA ZA...
Wakuu narudia tena, mwaka 2008 aliyekuwa waziri mkuu mchapa kazi wa wakati huo Edward Lowassa aliundiwa zengwe na wabunge wahuni akina Arison Mwakiembe.
Spika wa wakati huo Samweli sitta bila...
Kama ilivyokuwa kwa Lissu, Sativa kupitia mtandao wa X amekuwa mkosoaji mkubwa wa watawala.
Mashetani, kama ilivyokuwa kwa Lisu, wakaona kumwua Sativa ndiyo suluhisho la wao kutokuendelea...
Siyo siri, Inaonekana Samia ameshauriwa au amejishauri kuwa na yeye ageze mambo ya Magufuli ili kutishatisha watu. Inavyoonekana hali ya kisiasa na kiuchumi nchini imewasukuma kuamini kuwa...
Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amekutana na kufaya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya MO Dewji, Imran Sherali ambaye ameambatana na Mbunge wa Singida Kaskazini, Mhe. Ighondo...
Wanachama wa chama cha mapinduzi, wilaya ya Hai, huko Kilimanjaro, wameshinda ofisi ya chama Wilaya, wakimtafuta Mwenyekiti wao wa Chama Wilaya, siku ya 5 Sasa haonekani.
Mwenye taarifa za...
Umofia Kwenu Wanajamvi.
Labda niwe wa kwanza kutupia kete yangu kwa mama Samia Suluhu kuwa Raisi mwanamke wa Kwanza huko visiwani mwaka 2020.
Najua itaonekana kama ni kipindi kirefu sana na leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.