Wakuu niende kwenye hoja direct sipendagi mambo mengi.
Wakati huu ambao Wakenya asilimia 73% wa raia wake wanafanya majaribio kuondoa uchafu serikalini sote macho na Media zote ziko Jamhuri...
Salaam, Shalom!!
Mkiniambia kuwa ninyi mko kibiashara zaidi, mbona ikitokea gari imemgonga mwenzenu Huwa mnaikimbiza Kwa gharama zenu bila kujali HASARA ya kupoteza mafuta?
Iweje mlipwe na Kila...
Zambia inakusudia kununua megawatt 300 za umeme punde njia ya kusafirisha Umeme TAZA itakapokamilika ili.kuoabiliana na upungufu wa umeme Nchini humo.
---
Zambia's electricity company, ZESCO...
Ninaendelea kumsikiza!
"Yaani sisi Tanzania tunapinga kodi kwa kufunga maduka, wakati wenzetu Kenya wameandamana. Ukifunga duka unamkomoa nani? Usifikiri kwamba unaikomoa serikali, sababu...
Umeongea kwa mamlaka dhidi ya wafanyabiashara, na umenikuna sana kiongozi. Umeonyesha ujasiri mkubwa kwa wananchi unaowaongoza Dar es Salaam. Umenigusa sana pale uliposema kama nchi inapeleka...
RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Nini maana ya kuwa na shirika la umma?
Dar-Dodoma elfu hamsini? Badala ya elfu 20?
Bwawa la JNHEP limekilika. Umeme upo wa kutosha. Kwanini nauli ziwe juu?
=====
Kufahamu zaidi nauli za maeneo...
Leo tarehe 14/6/2024 treni ya umeme (SGR)imeanza rasmi safari zake za Dar - Moro ambapo abiria 600 wamesafirishwa ambao ni sawa na mabasi 10!, abiria hao wametumia masaa mawili tu kufika Morogoro...
Maswali chechefu:
1. Je, kwanini Mhe Rais Samia jana aliisifu TPA na kuimwagia minyama kwa "Gawio kubwa ambalo halikuwepo huko nyuma" baada ya kupokea Gawio la Tshs 153.9 Billion toka kwa...
Katika Ulimwengu wa Roho tukio linalojirudia rudia ni Lazima liangaliwe, lichunguzwe na kutazamwa katika angle zote
Je, kwanini Mo Dewji alitupwa katikati ya Gymkhana na Serena?
Kwanini Roma...
Taasisi nyeti kama hii haziwezi kuongozwa na wahalifu. Vijana wanatumia Sheria mbovu za Kodi kujitajirisha na kuleta adha kubwa kwa uchumi wa nchi na wafanya biashara.
Kulingana na maoni ya watu...
Ugweee..nimekosa salam ya haraka kuwasabahi ndg zangu.
Hawa Z Generation nchini Kenya ni muenendo na miendelezo ya tabia ya wananchi waliosomeshwa na serikali zao za nyuma...hapa namzungumzia Moi...
Nyuki wa Mama salam, team #KataaMachawa #KataaUozo2025 na wengine tuendelee kuwakanda hawa mpaka wazinduke kwenye uzombi mzito uliowapumbaza!
Wakuu, nimeleta kwenu kumbukizi hii, pamoja na hii...
Habari wakuu!
Kutokana na kazi nzuri inayofanywa na serikali ya chama tawala natamani kuwa mwanachama kamili mwenye kadi na hatimae niwe kiongozi ndani ya chama. Sijui nianzie wapi, sina...
Iliwahi kutajwa kuwa ili tuendelee tunahitaji ardhi, siasa safi na watu. Ardhi ipo hadi yakumwaga, siasa ipo hadi vyuo vikuu isipokuwa imekosa maji na sabuni ili ioshwe iwe safi na hii ni...
Kama kichwa cha habari kinavyosema.
Mimi binafsi nipo tayari kumwaga damu yangu Kwa ajili ya hili taifa, najua ipo siku nitakufa kwanini niogope kifo wakati huyo atakayenishoot na yeye ipo siku...
Hii ndio Taarifa ya sasa kutokea Tunduma, kwamba pamoja na kufunga maduka wafanyabiashara hao wameanza mazungumzo na Mamlaka za Nakonde Nchini Zambia ili kuhamishia biashara zao kwenye Nchi hiyo...
DAR ES SALAAM: Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila amesema ikihitajika kuweka Vyombo vya Dola maeneo ya Kariakoo kwaajili ya kulinda biashara wakati mazungumzo ya Wafanyabiashara na Serikali...
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Magharibi Wakili msomi Dickson Matata amesema uongozi wa CHADEMA Kanda na Mkoa ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti Mh. Masanja huko hospitali ya Rufaa Katavi kufuatilia...
Nirahisi kuibeza Tanzania kwasababu una Amani. Kuna nchi hata mahali pakusemea hapapo. Kila siku ni maangaiko ya risasa mabomu ya kutoa machozi
Tanzania Sisi nikicheko. Tukishiba ugari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.