Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Nakupongeza sana Samia kuifanya nchi kuwa kivutio cha uwekeza nje ya Africa n Africa kwa ujumla. Nasikiliza hapa dw kuna majadala wa wa mazingir ya biashara Kenya. Wachangiaji wamewaka hapa...
11 Reactions
68 Replies
2K Views
Watanzania tuwape majina mazuri watoto yanasaidia kutoka kimaisha mfano Raisi Samia anajiita Simba jike Mama Anna Semamba Makinda tafsiri yake kikwao ni Anna mtoto wa kike wa Mamba yaani Semamba...
1 Reactions
2 Replies
236 Views
Mbunge wa Kahama Kishimba amesema 90% ya Wataalam wetu wanajua Kusoma na Kuandika lakini hawana Maarifa yoyote Kishimba amesema mambo mengi ya maendeleo Kule chini yamekwamishwa na hao wanaojiita...
22 Reactions
115 Replies
4K Views
Mambo ni shaghala bhaghala kama nchi. Tanzania aichomoki kwa wahusika wa succession planning waliopo hawana clue dunia inazunguka vipi. Take it or leave it hata hao vijana wa kesho waliopewa...
2 Reactions
10 Replies
228 Views
https://m.youtube.com/watch?v=xEU5GWcrF_A Msikilize huyu bwana ambae amejaribu kukuza mambo not knowing kwa mujibu wa sheria anayosema ni matatizo. Kutotunza nyaraka na kuwapa TRA deni, ambalo...
1 Reactions
4 Replies
276 Views
Huu ni sawa na udhalilishaji tu, hivi wema gani huu Hata mjinga anaelewa kwamba hawa wanyonge wamevishwa hayo mafulana hata bila kujua wamevaa nini
12 Reactions
33 Replies
915 Views
Baada ya Rais Kagame na Rais Magufuli, kukubaliana kujenga reli ya SGR kutoka Isaka kwenda Kigali, ili mizigo yote ya Rwanda, ipitie bandari ya Dar es Salaam, Isaka hadi Kigali, Rwanda, kitu...
13 Reactions
336 Replies
33K Views
DKT. MWINYI ASHIRIKI KAMATI KUU YA CCM Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameshiriki kikao cha Kamati Kuu ya...
0 Reactions
0 Replies
241 Views
Wakuu salama? Nadhani mmeona mkeka wa mama, Zuhura Yunus kaondolewa kutoka kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu mpaka kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye...
7 Reactions
164 Replies
17K Views
Akiongea na waandishi wa habari katika kongamano la vyombo vya habari alisema "huko nje watu wanaisifia sana Tanzania lakini huku ndani tunasema vibaya kuhusu jitihada mbali mbali za serikali"...
2 Reactions
20 Replies
543 Views
upinzani nchini umeshindwa kabisa kutikisa nguvu, umaarufu na ushawishi wa Dr Samia Suluhu Hassan kwa wanainchi mijini, vijijini, kitaifa na kimataifa.. kiufupi ameshindika kwa hoja, sera...
6 Reactions
114 Replies
2K Views
=== Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania. Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo...
44 Reactions
293 Replies
9K Views
Yaani inasikitusha mpaka leo hatuwezi kupata maji safi na salama. Lakini serikali kila siku kujigamba!. Leo maji ya bomba ni kama tope!
1 Reactions
7 Replies
203 Views
Ni kujikosea heshima kupigana na mtu aliyefungwa kamba mikono na miguu. Askari anayejikubali hawezi kwenda kuwinda wanyama mbugani..roho yake lazima imsute. Yeye amefundishwa kupigana na...
10 Reactions
36 Replies
724 Views
Wengi wao hawataki katakata kutoa risiti halali kwa malipo halali. Unanunua bidhaa kwa bei kubwa wanakupa risiti yenye malipo pungufu. Ukikataa wanakwambia rudisha mali. Fukuza wote wenye tabia...
4 Reactions
19 Replies
531 Views
Yani kuweka Sura ya Rais kwenye miili ya VIJANA waliochoka namna hii nayo nikumkosea na kumchoresha Rais.🤣🤣 Unasema Rais anaupiga mwingi halafu wananchi wake ndio wamepauka hivi! Wangekua...
2 Reactions
5 Replies
361 Views
Mama Salma alipendekeza kuwa wanandoa wa viongozi nao walipwe kama vile ambavyo "wapenzi" wao wanalipwa. Rais Samia Suluhu Hassan akaona hilo ni wazo zuri na akaamua kulifanyia kazi kwa kuunda...
8 Reactions
27 Replies
750 Views
Tarehe 16/05/2018 Rais wa Kenya , Uhuru Kenyatta alisaini muswaada wa Sheria ya makosa Mitandaoni na kuwa Sheria kamili. Ibara ya 16 ya Sheria ya makosa ya Mtandaoni ya Tanzania na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa nini sheria ya uhalifu mtandaoni inalenga zaidi kudhibiti utoaji na usambazaji wa maoni &habari kuliko makosa mengine kama utapeli/wizi wa kutumia kompyuta/simu nk? Any idea why the focus of...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Huu ni wito wangu binafsi kwa Mheshimiwa William Ruto Rais wa Jamhuri ya Kenya ambao umezingatia maslahi mapana ya nchi hiyo! Mheshimiwa Nikuombe Ndugu yangu usione aibu...
0 Reactions
3 Replies
234 Views
Back
Top Bottom