Leo 29/06/2024 Mwenyekiti huyo Joseph Mbilinyi ameingia Kata ya Ipinda na kuzoa Wananchi wote, Kiasi cha kusimamisha shughuli zote kwenye eneo hilo.
Akizungumza na wananchi wa Ipinda ambao %...
Baada ya kuibuka Sakata la SATIVA (ambaye huko X anakwenda kwa @Sativa255), nimejikuta napata hamu ya kumjua zaidi muhusika na harakati zake, kikubwa nilichokiona baada ya kutembelea profile yake...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), leo Juni 29, 2024 ameungana na Wajumbe wengine kushiriki katika Kikao cha Kamati ya Siasa Wilaya Magu, jijini Mwanza...
1. Abstract
The Tanzanian dream toward a republican constitutional democracy mandates each and every citizen, including the secret service staff, whose discipline is managed, based on the...
Mahubiri yenu yanaikumbatia serikali. Hubirini HAKI, wizi wa mali za Umma , uuzwaji wa rasilimali za nchi, MaDc, RC, kuwaonea watu , report za CAG na vitu kama hivyo. Maadili si ushoga/ubakaji...
Kwanza, hakuna serikali inayokataa wananchi wake wasikosoe, ukosoaji upo lkn ukosoaji lazima uwe na staha, yaan constructive criticism.
Kwa mfano kama wafanyabiashara wamegoma ukiamua kukosoa...
Dini zetu hizi mbili zilikuja na wakoloni (watesi) wetu. Viongozi wa dini waliishi nyumba na mtaa mmoja na wakoloni (watesi) wetu, walisali pamoja, walikula na kunywa pamoja na wakoloni...
Chonde chonde Rais Samia hata kama wamekuudhi vipi tafadhari tusiridi enzi zile za giza maana wawekezaji wataanza kukimbia tena tukose ajira kwa maelfu ambazo zipo sasa.
Mahoteli yaliyofungwa...
Dunia hailali. Kila siku watu wanaumiza vichwa vyao wafanyaje kukamata fursa ili kuwa na maendeleo makubwa kiuchumi.
Kenya anapambana akamate soko la mizigo la Uganda, Sudani Kusini , Ethiopia na...
Ndugu zangu Watanzania,
Kinachopelekea na kuchochea maandamano,machafuko na vurugu katika nchi yoyote ile kwa wananchi wake kuanza kumwagika na kumiminika mitaani kuandamana na kufanya vurugu kwa...
Hapa Kenya mbunge mmoja na mkewe na Watoto wake na Wafanyakazi wake wamevaa t-shirt zenye bango la kuwaomba msamaha Wakenya wote kwa baba yao (mbunge) kupiga kura ya Ndio Finance Bill.
Familia...
1. Finance bill imeshakuwa withdrawn, sasa mnataka nini?
2. Ruto aondoke madarakani? If so, Why this demand?
3. Who will be next? and come up fully with your demands?
Let us think together! as...
Andiko la Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo:
Kutokana na ukame unaoikumba nchi ya Zambia, nchi hiyo imeingia makubaliano na Tanzania kununua tani 650,000 za mahindi kwa ajili ya kuwasaidia wananchi...
Bila ya kujali itikadi, sote wananchi tuungane katika uzi huu kulaani kwa kauli moja uonevu wa spika dhidi ya Mpina.
Shime watanzania kila mtu aandike katika uzi huu maneno yafuatayo:
"NASIMAMA...
Mpina hana Back up laiti angezaliwa Kenya angekuwa na kundi la watu milion 1 nyuma yake hao ni active, Kwa Bongo Mpina yuko mwenyewe sana sana ana Keybord Worrior nyuma yake wengi sana kama milion...
Watu maskini na wajinga usiwapatie demokrasia pana sana, maana wataitumia demokrasia hiyo kwenye kuandamana, kidai huduma na kugomea mipango yote ya serikali Kila siku bila wao kitimiza wajibu...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeendelea kumfuatilia na kufuatilia mahojiano mbalimbali ambayo amekuwa akifanya na ambayo amefanya kupitia vyombo vya habari kuelezea mambo mbalimbali kuanzia uchumi...
Ndugu zangu Watanzania,
Uongozi ni kuacha alama zinazoishi katika Maisha na mioyo ya watu, ni kuacha kitu kitakacho simuliwa vizazi kwa vizazi,ni kuacha rekodi ambayo itaimbwa na kuzungumzwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.