Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ni dhahiri kuna hali ya kukata tamaa kabisa kwa muungwana huyu kuendelea kua mbunge, kuna kitu amehisi mpaka kujikuta na kujiita amekua mbuzi wa kafara. Hasira na mambo mengi aliyoyahifadhi...
6 Reactions
119 Replies
3K Views
Binafsi namfuatilia kupitia Citizen TV Hawa ndio Waandishi Haki ya Mungu
0 Reactions
0 Replies
159 Views
DKT. MWINYI ASHIRIKI KIKAO CHA NEC Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameshiriki kikao cha kawaida cha...
1 Reactions
0 Replies
195 Views
Upendo ulioje? JPM amlipia Msigwa mil 38 kati ya mil 40. Taarifa zaidi inakuja ==== Rais wa Tanzania, John Magufuli amemlipia Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa faini ya...
16 Reactions
1K Replies
116K Views
"Pamoja na mapungufu ya Hayati Magufuli lakini kuna mazuri pia tulipaswa kuyaendeleza mfano nidhamu kazini, uoga kwa mali ya umma na kuheshimu wananchi" Mchungaji Peter Msigwa Mwenyekiti wa...
12 Reactions
83 Replies
4K Views
Ni Msando na Lemma. Hii ni hatua ya kupongezwa kwa Godbless Lemma, amekiri kwamba siasa sio uadui. Hii pia aliisema Mbowe alipokuwa katika kikao Arusha ambapo alihimiza 4R za Samia za kusameheana...
0 Reactions
0 Replies
224 Views
Hebu jionee mwenyewe, hapa panaitwa Kikunde, aliyehutubia ni Freeman Mbowe
18 Reactions
89 Replies
3K Views
Siasa ni biashara nzuri sana. Binafsi naipenda. Msigwa baada ya kuona ugumu wa kufanya biashara CHADEMA ameamua kutimkia CCM. Nadhani wananchi maskini na wanyonge mna la kujifunza hapo.
0 Reactions
1 Replies
144 Views
Ukweli ni kuwa ndg Tulia hajawahi kuwa kipenzi cha wana mbeya kwa kiwango kikubwa 2020 alishinda ubunge kwa heshima ya magufuli, magufuli alikubalika sana mbeya upepo ukawa upande wa Tulia...
7 Reactions
33 Replies
1K Views
KISIWA CHA RUKUBA CHADHAMIRIA KUFUNGUA SEKONDARI YAKE MWAKANI (JANUARI 2025) Kisiwa cha Rukuba cha Jimbo la Musoma Vijijini kimedhamiria kukamilisha miundombinu ya elimu ya awali ya kukiwezesha...
1 Reactions
2 Replies
250 Views
Mengi mtasikia ndugu zangu lkn kimsingi Chadema ni mali ya Mbowe na chawa wake Lema. Lema ndio anampangia kila kitu Mbowe, sasa hiv wote wako Tanga, Lissu alipokuwa singida Lema akala kobici tu...
1 Reactions
4 Replies
259 Views
Mbulu Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=uk9uB6KJSR0&pp=QAFIAQ%3D%3D Makamu mwenyekiti wa CHADEMA bara taifa kamanda Tundu Lissu ametoa angalizo kuwa uchaguzi wa 2024 na uchaguzi mkuu wa...
2 Reactions
13 Replies
917 Views
Nipongeze ubunifu huu wa kipekee ambao umefanywa na R.C Makonda. sasa ni muhimu ukawekwa utaratibu kwa kila Mkoa kufanya jambo hili ikibidi kwa mwaka mara moja. zoezi hili lipewe jina la "wiki ya...
2 Reactions
27 Replies
683 Views
Mchungaji Msigwa amehamia CCM huku Rufaa yake Chadema ikiwa haijasikilizwa Halima Mdee na wenzake Rufaa zao zilisikilizwa baada ya Miaka 2 Nyalandu hadi anahama Rufaa yake ilikuwa haijasikilizwa...
0 Reactions
4 Replies
157 Views
#Tetemeko2025. Lemma ni moja ya wanasiasa wapenda maendeleo, na anakubalika na wananchi wa itikadi zote. Hata mimi namkubali, na ninamuunga mkono. Mara baada ya Msigwa kushindwa uenyekiti Nyasa...
2 Reactions
6 Replies
349 Views
Tanzania ina watu milion 62 na wengi NI wasomi na wenye Uelewa kuanzia vyombo vya dola mahakama na Bunge pamoja taasisi nyingine za kidini Leo hii mbunge anaeleza ukweli na kutoa ushahidi tena wa...
7 Reactions
29 Replies
788 Views
Baada ya kufanikiwa kwa kiasi kwenye maandamano ya kuzuia muswada wa sheria ya fedha uliopitishwa na wabunge usisainiwe na Mh Rais,Wakenya sasa wanakuja na namna nyingine ya kuwatambulisha wezi wa...
2 Reactions
10 Replies
385 Views
Kule Sudan, Omari Bashir aling'olewa na maandamani ambayo hayakuwa na hayakuanzishwa na vyama vya upinzani. Wale Gen Z sio wana siasa, ila muziki wao sio wa kitoto. Sasa Bongo tumekaa nyuma ya...
2 Reactions
15 Replies
381 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe amesema wale wanaodhani ana mgogoro na Tundu Antipas Lissu na wanasema CHADEMA imepasuka Watasubiri sana. Mbowe amesema Chopa inaanza operation Jimbo la Karatu na...
15 Reactions
92 Replies
4K Views
Ni ukweli wa kimantiki, wageni wahamiaji wanaenda mataifa ya ugenini kwenda kutafuta maisha, siyo kwaajili ya kwenda kuyajenga mataifa hayo waliohania wala kuwaebdeleza wananchi wenyeji. Ndiyo...
0 Reactions
0 Replies
154 Views
Back
Top Bottom