Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, Amemtembelea kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mkuu wa Mkoa mstaafu, Mzee Stephen Mashishanga nyumbani kwake, Mtaa wa Forest...
Wadau,
Hivi Balozi wa Tanzania analipwa mshahara (Gross Salary) Shilingi ngapi kwa mwezi ?
Na mabalozi wote mishahara yao inafanana au inategemeana na nchi aliyopo?
Kuna ndugu yangu ni Balozi...
Hii shati ya Mzee wangu Jakaya Kikwete nimeipenda sana, Mungu aendelee kukutunza Mzee wetu. We all love you.
======
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Makamu...
Viongozi wa Africa sijui development ya brain zao zilikuwa ni tofauti za binadamu wa kawaida au. Sio Kenya wala Tanzania , angalau Kagame anawazidi by far.
Kwa mfano Tanzania tuna deni kubwa la...
Mfanyabiashara wa Tanzania Yusuf Manji anashikiliwa na mamlaka ya kuzuia na kupambana na rushwa nchi Tanzania Takukuru akikabiliwa na tuhuma tatu, baada ya kurejea nchini Tanzania kutoka nje ya...
Mfanyabiashara Yusufali Manji (41) bado anaumwa na anatibiwa katika Hospitali ya Magereza Keko.
Hayo yameelezwa leo na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Nassoro Katuga, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu...
Wenye kumbukumbu mnakumbuka tokea 2018 kipindi cha vuguvugu la maandamano ya tarehe 26/04/2018 mswiga alimsifia magufuli na ccm hapo nikaanza kupata mashaka
Akakamatwa wakati wa kutolewa dhamana...
Friends and Our Enemies,
Bila shaka madai ya Mchungaji Msigwa kuondoka na Kutimkia CCM ni Yale Yale ya siku zote ambayo makada wengine wamekuwa wanayatoa pindi tuh wanapoamua kumwaga...
Mpendwa MCH. Peter Msigwa, Umekuwa mwanachama mtiifu Kama siyo mwaminifu nionavyo Mimi katika chama chako tangu umejiunga nacho 2000+ vita ulipigana , vita vile vya heri na fitina ulivifaulu...
Msigwa sio wa kwanza kuondoka CHADEMA kuhamia CCM. Wapo waliotangulia kabla yake, kwa hiyo tunasema amefuata nyayo za wenzake akina Waitara, Silinde na wengine wengi. Kwa upande wa CHADEMA hili ni...
Heshima sana wanajamvi.
Mchg Msigwa kahamia CCM baada ya kushindwa nafasi ya Mwenyekiti wa Kanda na Mh Sugu.
Mchg Msigwa kaenda CCM baada ya kushindwa na kukubali kushindwa,lakini siku mbili...
Still dunia ina big brothers, Rutto alipokaribishwa meza kuu na NATO akasahau wachina wamewekeza mapesa mengi, na Russia inapigana na NATO..
Rais wa sasa wa South Africa ni pro western.
Dola...
Ile kauli ya kusema pesa ndo kila kitu hakika wahenga hawakukosea kwani hili jambo kwenye siasa zetu za bongo limekuwa na nafasi kubwa mno
Viongozi na makada mbalimbali huingia sana katika huu...
Yusuph Manji amepoteza sifa ya kuwa Diwani wa kata ya Mbagala Kuu baada ya kushindwa kuhudhuria vikao vya madiwani.
=======
Dar es Salaam. Mfanyabiashara Yusuf Manji amepoteza sifa ya kuwa...
Kwema Wakuu!
Lisu anasubiri nini? Kwa huanzishi chama watu tujiunge.
Bila shaka itakuwa CCM Z kama Gen Z kwa maana kwa jinsi niwaonavyo watanzania karibia wote DNA zao ni CCM ila tunataka...
Habari wana Jamvi. Nathubutu kusema Chama chenye siasa safi Africa ni Ccm. Vyama vingi vilivyopigania Uhuru vimekufa ni Ccm pekee imebakia. Hii ni kwasababu ya Sera zake Bora na Imara
Umahili...
Kufuatia Wanachama Waandamizi wa Chadema kuendelea kukimbia chama hicho na kupelekea CCM, Chadema imebakia kujifariji Kwa madai yenye maumivu ndani eti Upinzani sio watu ni Ideology.
Kwa miaka ya...
Katika Mkutano wa wake na Waandishi wa Habari leo 14/6/2024, wakati akitoa uthibitisho alioambiwa aupeleke na Spika wa Bunge ndani ya siku 10, Luhaga Mpina amesema;
"Hapakuwa na usimamizi wa bei...
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini Mh Godbless Lema amesema mkuu wa wilaya Mh Albert Msando Leo amehudhuria kwenye mkutano Wao wa hadhara Handeni mjini
Siasa Siyo uadui
Lema ametoa taarifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.