Doyo Hassan Doyo ambaye alikuwa akiwania nafasi ya kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) amesema amekata rufaa kuping matokeo ya uchaguzi wa nafasi hiyo akidai kuna...
Nafasi ya Mwenyekiti kwamba inaitwa Mwenyekiti wa maisha hata makamu anachagua yeye yale mnayoyaona ni kiini macho kuwa kuna DEMOKRASIA.
Na kwamba ni kijana wa CCM, yale makelele mkiona anaanza...
Tupazie sauti Sisi wakazi wa Kigamboni hali ya karudi majumbani kwetu ni mbaya Sana
Sasa tunalazimika kuvuka Kwa mitumbwi ya Kasia bila life jacket na Hali ya hewa ya mvua
Boti za Zanzibar na...
Neno "MAMA" dunia nzima linavuma. Lissu anatembea nchi nzima akitukana "mama" kqtikati ya nchi yenye nyimbo za kumsifu mama. Katikati ya nchi ya watu wanasema waiolelewa na single mother baada ya...
Nilifika sehem moja kinyerezi kwa casto. Nilishangaa maji yanauzwa wakati maeneo mengine hayatoki. Ni hujuma.
Na Nadhani sio pia inahusika. Ili mama asipite 2025.
PIA SOMA
- Dar: Waziri wa Maji...
Mkuu wa shule ya Zanaki ( mwenye hijabu katikati) akipokea vifaa vya tehama
Shule kongwe nchini Tanzania, Sekondari ya Zanaki, iliyoko jijini Dar es Salaam, hatimaye imefanikiwa kujiunga katika...
Je, kuendelea kuamini itikadi za kisiasa bado ni relevant kwa karne hii ya siasa za kisasa zaidi? Hapana.
Nini kifanyike?
Achana na itikadi za kisiasa. Baki kuwa mfuasi binafsi wa Rais.
Kila...
Nimetafakari kauli za Msigwa baada ya kuhamia CCM anaonekana kujivua nguo na CCM walivyo wanjanja wanamwachia abwabwaje wao wanamsikiliza tu. Bora anyamaze tu,kwani mbona awali hakuyasema yote...
1. Sijamsikia akisema lolote kuhusiana na kijana kutekwa, kupigwa risasi, na kutupwa Katavi National Park. Labda hajasikia au imekumbusha machungu ambayo hajapata nguvu ya kuzungumza hadi akae...
Huo ndio ukweli baada ya Shujaa Magufuli kushughulikia Chadema katika Mikoa ya DSM, Mwanza, Kagera, Kilimanjaro, Manyara, Morogoro na Arusha nguvu ya Chadema ikabakia Mara, Mbeya na kwetu Iringa...
Wanaharakati na marafiki wa kijana Japhet Matarra, anayetumikia kifungo cha miaka mitano gerezani kwa makosa ya mtandao kupitia mtandao wa X, wamechangisha Sh8.5 milioni kwa ajili kumtoa gerezani...
Habari wana JF.
Leo nataka niseme, hali yakuendekeza njaa kwenye kila kitu imesababisha kutengeneza mifumo mibovu inayokuja kuleta waropokaji na watu wa deals wengi kuliko watendaji wa maendeleo...
Darwin proposed that species can change over time, that new species come from pre-existing species, and that all species share a common ancestor. In this model, each species has its own unique set...
Nawasalimu ndugu zangu wapena maendeleo.
Hivi karibuni serikali imeamua kurudisha kodi ya MAJENGO kwa halmashauri kwa kigezo cha kuziongezea halmashauri mapato. Ila kwangu mimi Kodi kurudisha...
Iko wapi Rasimu ya katiba ya walioba? Mbona haiongelewi popote wakati iligharimu mabilioni ya pesa za watanzania pamoja na muda wa watanzania
Nani awajibike juu ya Hilo? Na Nina wa...
Wakuu Salama,
Sativa amekuwa akitafutwa toka weekend (Jumapili - 23/6/2024), baada ya ndugu zake kumtafuta bila mafanikio.
Edga Mwakabela (Sativa)
Watetezi wa haki za binadamu wamepiga kelele...
Mchungaji Msigwa amesema kuwepo kwake CHADEMA siyo kwa ajili ya kutafuta Vyeo kwani Vyeo huwa vinakuja na kuondoka lakini Wananchi wa kuwatumikia wapo muda wote.
Hivyo ataendelea kukitumikia...
Madam Spika, nimekusikiliza kwa makini ukitaja vifungu vya sheria & Kanuni ambazo unasema Luhaga Mpina (Mb) amevunja! Nakushauri rudi ukavisome vizuri maana baadhi ya vifungu UMEUPOTOSHA Umma...
Mbowe ndio amebeba Idea ya CDM, kama ilivyo kwa Raial Odinga kwa ODM au Malema kwa EFF, au ilivyo kuwa kwa Morgan Tsvangirai na mfano mzuri ni huyu mwamba alie mpelekesha vilivyo Mugabe na Baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.