Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Salaam, Shalom!! Leo naongea na Ndugu Gwajima kama kiongozi na mwakilishi wa wananchi, na SI kama Askofu madhabahuni. Nimekusikia ukidai na kumtuhumu Ndugu Mpina kuwa mwongo bila kuthibitisha...
16 Reactions
61 Replies
2K Views
Baada yabuchaguzi wa kanda ya nyasa na matokeo kutangwazwa aliyekua mgombea wa ukanda huo kwa nafasi ya uanyekiti leo katimkia ccm. Katika matokeo ya uenyekiti wa kanda hiyo ambapo mheshimiwa...
1 Reactions
19 Replies
763 Views
Hawa waheshiwa nawakubali Sana lakini tatizo labda hawajagundua vipaji vyao nje ya siasa.Lakini nawahakikishia kama walikubali kuungana na kufanya COMED basi watakua mabilionea wakubwa sana. Sifa...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo la Hai, Msikilize baba mchungaji, kuna ujumbe wako. "Kwanini taasisi zinakufa? Kwanini Uchumi unaanguka? Kwanini kutokuzalisha? Ni kwasababu hautumii wenye akili! Namna ambavyo...
0 Reactions
0 Replies
316 Views
BARUA YA WANABIHARAMULO KWA BALOZI NCHIMBI KATIBU MKUU WA CCM TAIFA UTANGULIZI Mh balozi tumesikia kuwa unakuja kufanya ziara hapa Biharamulo tunakukaribisha wilayani kwetu Biharamulo ,kuja...
1 Reactions
17 Replies
784 Views
Wizara ya Nishati imewasilisha Bungeni Bajeti ya Tsh. Trilioni 1.88 kwaajili ya matumizi ya Maendeleo, Matumizi ya Kawaida na Mishara ya Wizara hiyo pamoja na Taasisi zilizo chini yake kwa mwaka...
4 Reactions
21 Replies
6K Views
Kama ulishaenda kuomba huduma yoyote kwenye ofisi za umma hasa ardhi, tanesco, maji nk utamuunga mkono mtumishi wa Mungu Daudi anavyowakerembesha ili watie adabu. Kama wewe ni mtumishi wa umma...
1 Reactions
13 Replies
496 Views
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 01 Julai, 2024 ametembelea Shule ya Msingi Nyalikungu iliyopo Halmashauri ya Wilaya Magu, mkoani Mwanza...
0 Reactions
1 Replies
253 Views
Moderators naomba msifute uzi huu. Ngoja tutabiri (tu bet)Msigwa atapata nafasi gani ya uteuzi CCM Mimi nasema atapewa nafasi ya kuwaumiza chadema kama Mkuu wa wilaya/ Mkuu wa mkoa aweze...
3 Reactions
17 Replies
512 Views
1. Makamu Mwenyekiti aliomba mchango wa V8 mpya. Je imefikia kiasi gani? Usikute akaunti ni ya Mwenyekiti na hakuna uwazi wa kujua kiasi cha michango. 2. Itafika sehemu Makamu Mwenyekiti nae Njaa...
4 Reactions
26 Replies
676 Views
Itoshe tu kusema kwamba itifaki imezingatiwa. Back to the point..... Ukweli ni kwamba, ifike wakati sasa vijana wajitambue, na waache harakati ambazo zimekua zikiwagombanisha na mamlaka hata...
12 Reactions
14 Replies
341 Views
Neno VAT ni neno la kiuchumi au la kibiashara la lugha ya kiingereza(english) ikiwa ni ufupisho wa maneno "VALUE ADDED TAX yaani kwa kiswahili ni kodi ya ongezeko la thamani. VAT ni aina ya kodi...
7 Reactions
89 Replies
20K Views
msigwa atakua mkuu wa mkoa,au mkuu,wa wilaya au cheo chochote chenye mshahara wa 5m+ amechanga karata vizuri alikua na option mbili abaki chadema akose pesa au aende ccm apate pesa. sadly ni...
11 Reactions
24 Replies
938 Views
Kitendo cha mpinzani kuhamia kwao na muda si mrefu akala teuzi ya maana kabisa chomboni huku wao kama wazawa wakiendelea kuimba na kusifu hua kinawaumiza sana. Mimi sio nabii ila natabili bwana...
4 Reactions
9 Replies
327 Views
Peter Msigwa Mlaji wa matapishi yake Uamuzi wa Peter Msigwa kuhama kutoka Chadema kwenda CCM unaacha alama mbaya katika siasa za Tanzania. Ni tukio linalofungua mjadala kuhusu uaminifu, uadilifu...
12 Reactions
30 Replies
960 Views
Juzi wakati wa mgomo wa wafanyabiashara mkuu wa mkoa wa dar es salaam ambayo ilizua maswali mengi sana kama tutawashughulikia kama serekali ilivyomshughulikia manji ni kauli ya hovyo sana kutolewa...
10 Reactions
31 Replies
1K Views
Mbunge msitaafu wa Jimbo la Iringa mjini kupitia CHADEMA mchungaji Peter Msigwa ameivaa serikali ya Rais Samia kutokana na kushuka Kwa nidhamu ya watumishi wa umma nchini. Msigwa amesema utendaji...
8 Reactions
34 Replies
2K Views
Nina siku kadhaa nipo Geita lakini hii trend ya kukatika umeme isiyo na ratiba maalumu inatia shaka utendaji kazi wa watumishi walioko huko ofisini Wenyeji mnaonaje?
0 Reactions
0 Replies
189 Views
https://www.youtube.com/live/-6K3ZpUpoB8 Akiongea na Waandishi wa Habari leo, Peter Msigwa amesema kwamba Ushindi wa Sugu ulijaa makando kando na Mchezo Mchafu (Hakufafanua) Ametangaza kukata...
19 Reactions
207 Replies
11K Views
Unaambiwa usimkatie Tamaa mtu yeyote chini ya jua, leo Tanga imeikataa CCM bila kupepesa macho . Angalia Mikutano hii iliyoongozwa na Ustaadh Aboubakar ilivyojaza watu bila kujali msimu wa Machungwa
11 Reactions
34 Replies
660 Views
Back
Top Bottom