Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mjumbe wa Baraza Kuu UWT Taifa, Mariam Sagini amewataka vijana hasa wa kike kutengeneza historia nzuri maishani kwa kujaza nafasi za mbalimbali za uongozi hasa kadri zinavyojitokeza. Akizungumza...
2 Reactions
5 Replies
358 Views
Kwa namna ilivyo na kwa namna inavyooneķana, vyama vya upinzani vitakuwa vinaibuka na kupotea kila mara. Yaani vitakuwa vya msimu CHADEMA miaka ya nyuma kidogo ulikuwa ukiangalia safu ya viongozi...
0 Reactions
0 Replies
104 Views
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Stergomena Tax (Mb) tarehe 30 Juni 2024 ameungana na Waumini wengine kushiriki Misa ya Jumapili katika Parokia ya Mtakatifu Kizito...
0 Reactions
8 Replies
448 Views
Taarifa kutoka vyanzo vya Uhakika ndani ya Chadema vinaeleza kwamba, Tayari tarehe ya kujadili rufaa ya Mgombea Uenyekiti wa Kanda ya Nyasa aliyeshindwa, Peter Msigwa imepangwa. Inaelezwa kwamba...
14 Reactions
47 Replies
1K Views
Waziri yeyote wa Tanzania ni Mtumishi wa Umma, anatumikia wananchi, HAJITUMIKII BINAFSI , hivyo basi Waziri yeyote anayetukana wengine na kukataa kujibu maswali anayoulizwa bungeni HAPASWI...
27 Reactions
80 Replies
4K Views
Salaam Wakuu, Tulia amekuwa akiwatunuku followers wake mara kadhaa kwa kuwatumia mialama mara kadhaa, na mara zote amekuwa akiweka copy ya miamala hiyo kuonesha kuwa wahusika wamepokea. Siku...
19 Reactions
88 Replies
5K Views
Hii ni fragile moment. CCM wanaangalia wapi chadema itadondoka na wameshaona kizuizi kikubwa ni Mbowe. Haongeki. Kwa kipindi hiki cha uchaguzi mkuu wa Rais na wabunge, nawashauri postpone uchaguzi...
1 Reactions
10 Replies
418 Views
Nimeyafakari waliokwisha hama kutoka Chadema kwenda CCM ndiyo wanaoifanya CCM iishi na kushamiri kuipiga Chadema Nguvu kazi yote inatoka Chadema. Kwa hali hii Chadema ni mradi wa CCM. Nimehesabu...
0 Reactions
3 Replies
208 Views
Peter Msigwa aliyeng'anywa ubunge wake 2020 Iringa Mjini kwa Mtutu wa Bunduki, leo amemkumbusha Spika wa Bunge la Tanzania, Ndugu Tulia Ackson kwamba anapopinga PhD feki za akina Abood na Babu...
14 Reactions
25 Replies
3K Views
Makamu mwenyekiti amewahi kuhamia CCM Katibu mkuu amewahi kuhamia CCM Wabunge wamehamia CCM Mwenyekiti wa Bavicha kahamia CCM Mshauri mkuu wa Chama kahamia CCM Ni nafasi ya Mwenyekiti tu ndio...
0 Reactions
5 Replies
304 Views
Mtu ambaye anaamka usingizini leo kuhusu Msigwa ni wa kumuonea huruma. Hajui siasa za madalali na utapeli. Anahitaji kujifunza hizi siasa vizuri. Peter Msigwa is just a sellout joke at this...
22 Reactions
74 Replies
3K Views
FIKIRIA BARABARA IMEJENGWA MWEZI WATANO HAPA VIKINDU MWEZI WASITA INAWEKEWA VIRAKA....KULIKUA NA LAMI NZURI IMETOLEWA IMEWEKWA MBAYA HADI UNASHANGAA KWANN WAMEIWEKA IO LAMI,VIONGOZI WASERIKALI...
1 Reactions
1 Replies
159 Views
Kitendo cha bunge la JMT kumkandia na kumtoa mbunge mpina, ni dhahiri shahiri tuna bunge la hovyo kabisa, imagine unamtoa mpina mle bungeni unabaki na nini sasa cha maaana kama suo gwajiboy peke yake
3 Reactions
14 Replies
506 Views
90% ya watanzania wote ni ccm. ukichekiki mwenendo wa ccm watu wengi wanataka vyeo vya kuteuliwa au kuchaguliwa kwa kura. CCM kuna watu wengi sana ambao wanakosa teuzi ila wanavumilia tu.kwa...
1 Reactions
9 Replies
267 Views
Tunaambiwa hawa Moodys wamekuja kutathmini hali yetu ya kukopesheka, hii maana yake ni nini? Mtu ambae hakopesheki ni yupi na mtu anaekopesheka yukoje? Kwa uelewa wangu, mtu anaekopesheka ni...
10 Reactions
89 Replies
4K Views
Kuna wale wanasema Samia hafanyi chochote bora Chadema lakini Msigwa kawaproove wrong na kuhamia CCM kumaanisha Samia is an icon of a nation in all aspects. Kuna wale wanasema Samia anafanya...
4 Reactions
20 Replies
491 Views
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa kuna wanasiasa malaya, na akaongeza kuwa wanasiasa malaya wana bei. Ukiifikia bei yake, ananunulika. Ukweli huu wa mwalimu unaishi mpaka leo. Tuna wanasiasa...
13 Reactions
26 Replies
731 Views
Kila siku kumbuka kuwa mfuasi binafsi wa Rais. Rais hawezi kukusaliti. Rais ni nchi. Nchi ni Rais. Urais ndio cheo cha juu cha kisiasa kote Duniani. Hakuna zaidi ya hapo. Chama cha Rais ni nchi...
0 Reactions
8 Replies
433 Views
Chadema ikiongozwa na Freeman Mbowe imeingia Kwa Msisi, eneo ambalo viongozi wa ccm wanaogopa kwenda kutokana na dhuluma walizowafanyia wananchi wa huko kwa muda mrefu (wanaogopa kulogwa)...
2 Reactions
9 Replies
405 Views
Back
Top Bottom