Kwamba MTU PEKEE WA KUMUAMINI KATIKA STRUGGLE NI WEWE MWENYEWE , hii ni kwa vile wengi tuliowaamini Wametusaliti .
Hii kauli ingetolewa enzi za mitume basi bila shaka huyu kijana leo tungekuwa...
Wakuu,
Luhaga Mpina alipewa adhabu na Bunge Juni 24, 2024 baada ya kwenda kinyume kwa kuwasilisha taarifa yake kwa wananchi mara baada ya kuikabidhi katika Kamaati ya Bunge. Zaidi soma - Bunge...
Kwakuwa Mchg Msigwa alitaka nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA igombewe na wagombea wawili.
Kwakuwa sasa Mchg Msigwa katimkia CCM naamini atapambana ili nafasi ya Mwenyekiti Taifa CCM wawepo...
JUMAMOSI , 17TH NOV , 2018
NA MWANDISHI WETU
Meya wa Manispaa ya Iringa Mjini Alex Kimbe, amefunguka kuwa amekuwa akijikuta na kesi mbalimbali mahakamani kwa kile alichokidai kuwa ni hujuma...
Nitangulie kutanguliza pole zangu kwa Waziri wa Ardhi Slaa kwa kazi ngumu ya kutatua migogoro ya Ardhi
Mfano kuna huu mgogoro wa ardhi unatisha
Mtu anayedhaniwa kafa na Kufufuka Arumeru nduguye...
KARIBU MHE BABA MCHUNGAJI PETER MSIGWA CCM.
Na Elius Ndabila
0768239284
Nimeona mjadala mkubwa juu ya ujio wa Mhe Baba Mchungaji Peter Msigwa CCM. Wapo wanaofurahia ujio huo na wapo wanaoponda...
Wapo manguli wa siasa walifanya kazi kubwa kukijenga chama lakini mwisho walihama vyama na wengine kung'olewa na mwisho walionekana ni wasaliti tu chama kilishinda vita hii.
Kuhama kwa Msigwa...
Kwa Tanzania kama unataka kuendesha maisha yako kupitia siasa unatakiwa uwe ndani ya CCM kwani ndio chama kilichoshika dola. Ukiwa ndani ya CCM ni rahisi kupata nafasi (cheo) ndani ya chama au...
Habari wanajukwaa,
Kufuatia uchaguzi kuisha na CHADEMA kuambulia Mbunge mmoja huko Nkasi Kaskazini, Aida Khenan aliyeibuka mshindi kwa kumbwaga mbunge machachari wa CCM Ally kesi aliyeliongoza...
Habari .
Wote tumeshuhudia CHADEMA ikipukutika kutoka kuwa na wabunge zaidi ya 100 mwaka 2015 hadi kubaki na mbunge mmoja wa kuchaguliwa mwaka 2020!!
Nyuma ya kupukutika huko kwa CHADEMA kuna...
Hakuna Kutumia Simu
-Hakuna kutoka nje ya nchi
-Hakuna mtu kuitumia la KIM kama jina lake.
Hakuna kuangalia movie
🔶Ongeza kingine unachokijua kuhusu North Korea.
Mbunge wa zamani wa Arusha mjini aliyetimkia Ulaya baada ya maisha kumpiga kwa kuzidiwa na madeni Godbless Lema amefichua mbinu chafu za kutaka kumsingizia kila kitu na kumtafutia lawama aliyekuwa...
Dar es Salaam. Viongozi na wanachama wa Umoja wa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu na Vyuo vya Kati wa Chadema (Chaso) wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam wamejiunga na chama cha ACT wazalendo.
Jumla ya...
Hivi karibuni imezuka tabia ya kukwepa majukumu ambayo inapaswa kupingwa kwa hali na mali ndani ya nchi yetu.
Vyama vya upinzani hasa Chadema kila wanapopata matatizo kisingizio chao ni hayati...
Ni ukomavu, ujasiri na utashi wa kipekee sana kisiasa. Ni uamuzi mgumu na mzito sana kwa mwanasiasa. Kuachana na mazingira ambayo uliishi na watu ulo wazoea vizuri sana, na kuungana na watu wapya...
Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri.
Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali?
Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na...
Wanabodi,
Naendelea na zile makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa.
Declaration of Interest.
Japo mimi ni mwanachama wa chama cha siasa, lakini bado naweza kutoa ushauri wa maana hata kwa chama...
Wahenga walisema. Umdhaniaye siye kumbe ndiye, na umdhaniaye ndiye kumbe siye
Hawa wafuatao watu walikuwa wakiwaona wapinzani kwelikweli huku Zitto akitukanwa kuwa ni CCM
1. Petrobas Katambi
2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.