Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Hayati Magufuli binafsi sina shaka na nia yake njema kwenye hili taifa na alionesha nia hiyo kwa mambo mazuri aliyofanya ndani ya muda mfupi . Changamoto ni ile ile ya viongozi wa Afrika kuamini...
0 Reactions
7 Replies
262 Views
  • Poll Poll
Zitto baada ya kuondoka Chadema licha ya kwamba alitumia muda kujijenga chama hakujali aliamua kuanza upya na Chama Cha ACT Wazalendo. Mwaka 2014 Mwezi Mei, 05 chama kilipata usajili wa kudumu...
0 Reactions
13 Replies
510 Views
SWALI: Nafikiri kuna kama matatizo mawili yanayoikabili Afrika, na hilo ni pengo kati ya mfumo wa kisiasa wa taifa la kisasa na kiwango cha hali ya juu cha ustadi wa kiteknolojia na kiuchumi...
23 Reactions
110 Replies
4K Views
Wakati tunapata uhuru nchi yetu ilikuwa nchi ya vyama vingi na uchumi wa soko huria kabla Nyerere hajabadilisha mfumo ni kutupeleka kwenye chama kimoja na ujamaa mwaka 1965 na 1967. Ni hoja zipi...
3 Reactions
88 Replies
2K Views
https://www.youtube.com/watch?v=1ukeVgqCvHo https://www.youtube.com/watch?v=_bs_27YOIos RAIS SAMIA: TUMEKUBALIANA KUUNDA UMOJA WA WAZALISHAJI WA KOROSHO AFRIKA Rais Samia Suluhu Hassan amesema...
0 Reactions
2 Replies
708 Views
Kuna uwezekano Mama yetu Samia anahujumiwa. Serikali ichunguze wasimamizi wa Mradi wa vijana BBT- Mifugo. Kuna haya mambo yanayotia kinyaa; 1. Vijana waliahidiwa kukaa mwaka mmoja kambini...
0 Reactions
10 Replies
480 Views
Pastor Masanja akiwa kwenye kipindi kwenye redio ya EFM ameipongeza TRA kuongeza makusanyo kwa 14.5% kufikia trilioni 27.64 kwa mwaka wa fedha 2023/24 lakini amesikitishwa na uamuzi wa Serikali...
6 Reactions
13 Replies
520 Views
Msimtukane Mbowe Mzee Mbowe ameifanyia makubwa chadema Mbowe anamadhaifu mengi tu ila karba yake uko kwenu chadema sioni kiongozi anayemkaribia Mbowe hata nusu. Wengi wanalilia uenyekiti...
3 Reactions
7 Replies
329 Views
WAZIRI AWESO AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA DAR ES SALAAM Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amefanya ziara ya kushtukiza jijini Dar Es Salaam akitembelea maeneo muhimu yanayopata huduma ya Maji kupitia...
1 Reactions
4 Replies
279 Views
Ukiyasikiliza maelezo ya Bashe katika tuhuma za maamuzi na kutolewa vibali vya biashara ya kuingiza sukari yana walakini mwingi na kuacha maswali zaidi 1. Ni kweli Bashe anayo mamlaka ya...
7 Reactions
8 Replies
496 Views
Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi yupo Nchini Tanzania kwa ziara ya kitaifa ya siku nne, aliwasilia Usiku wa Julai 1, 2024. Baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere...
1 Reactions
3 Replies
342 Views
Ukiachana na kuhama kwa miaka ya 90's na mwanzoni mwa 2000 kwa sasa 1.CCM hupokea wanasiasa wazalendo,wachapakazi na wasio na historia kutoka CHADEMA kama kina Kafulila ,Nasari na sasa Msigwa...
4 Reactions
29 Replies
673 Views
CCM inaendelea kudharau kila kitu na ni dalili wazi kwamba viongozi ndani ya CCM na serikali yake hawana usikivu tena. Ni dharau zilizopitiliza kushindwa kuwalipa watumishi wastaafu pensheni zao...
1 Reactions
0 Replies
434 Views
Ndugu zangu Watanzania, Naomba kusaidiwa jambo hili .tangia jana muda wa jioni naona kila nikiingia Twitter naona haufunguki wala kufanya chochote kile. Mara ya kwanza nikafikiri labda ni mtandao...
8 Reactions
106 Replies
2K Views
Tuwe wakwieli jamani tunataka upinzani lakini huu hapana. Imagine baraza la mawazili la vilaza litaongozaje nchi kitaifa na kimataifa.
5 Reactions
81 Replies
1K Views
Mshindani mkuu wa Mchungaji Msigwa (CCM) kwenye Uchaguzi wa 2020 Steve Nyerere amesema aliwekewa Sumu kwenye Siasa za Uchaguzi wa 2020 ili afe lakini anamshukuru hayati Membe kwa kuingilia kati...
6 Reactions
84 Replies
5K Views
Utaratibu wa kununua wanasiasa Mama Abduli ameukuta. Lakini ifike mahali Watanganyika tujifunze toka kwa Wazanzibari. Wenzetu hawana hiyo michezo michafu ya kudhalilishana kama huku Tanganyika...
7 Reactions
12 Replies
340 Views
Mkoa wa Kusini Unguja ni mmoja kati ta mikoa 31 ya Tanzania ambao unapatikana Kusini mwa kisiwa cha Unguja huko Visiwani Zanzibar. Kulingana na Sensa ya mwaka 2022, mkoa huu amba una jumla ya...
1 Reactions
0 Replies
199 Views
Huwa vina kutana na hali ya kushangaza sana, ngumu na tofauti kabisa na majivuno, majigambo na ujasiri wa mitandaoni.. Field huwa vinakuwa vidogo zaidi ya piritoni, dhaifu sana, vimenyong'onyea...
0 Reactions
0 Replies
236 Views
Misamiati: Baraza: Wilaya Wadi - Kata Mkoa wa Kaskazini Unguja ni mmoja kati ta mikoa 31 ya Tanzania ambayo unapatikana Kaskazini mwa kisiwa cha Unguja huko Visiwani Zanzibar. Kulingana na Sensa...
0 Reactions
0 Replies
213 Views
Back
Top Bottom