Kwema Wakuu!
Wapinzani pekee ambao ni maarufu kwa level ya kitaifa ni Freeman Mbowe, Tundu Lisu, Slaa na Zito Kabwe.
Lakini waliobakia hawana umaarufu kwa level ya kitaifa labda kikanda...
Hii maana yake ni kwamba Ubalozi si lolote wala chochote kwenye maisha ya Tanzania.
Kumvua Ubalozi Dkt. Slaa zaidi ni kumuongezea Umaarufu na heshima kwa jamii yake , ni sawa na kumvisha nishani...
Ukitazama hii video utamuona Mbowe mmiliki wa CHADEMA akiendesha uchaguzi kwa style ambayo haijawai kutokea tangu uchaguzi wa kumpitisha Lowassa kuwa mgombea urais CHADEMA mwaka 2015.
Huu ni...
Watangazaji nguli nchini Zembwela, Kitenge na Hando Leo wameuponda sana Uhamisho wa Mchungaji Msigwa Kutoka Chadema kwenda CCM
Kupitia Wasafi FM Zembwela amesema mchungaji Msigwa Leo ndio anaona...
Akijibu hoja ya Luhaga Mpina kuhusu uagizaji na uingizaji wa Sukari nchini, Waziri wa Kilimo Hussein Bashe hapo Jana bungeni alisema, "Sukari ni chakula cha watu masikini, ndo maana Wabunge...
Nipashe imemtafuta Mkuu wa TAKUKURU nchini, Salum Hamdani kutaka kujua uchunguzi wa jambo hilo umefikia wapi baada ya TAKUKURU kutangaza kufanya uchunguzi baada ya kiongozi huyo kutoa shutuma...
Thursday, May 14, 2015
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akimuonesha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete maeno yaliyoathiriwa vibaya na mafuriko huko Tegeta wilaya ya Kinondoni jijini...
Mbowe, Lisu and all concerned, take care of this.
Msigwa na Sugu wanaonekana kujenga "uadui" nawatahadhalisha mbegu hii itaenea pote at the advantage of CCM.
Malumbano yao hayana "upendo" ila...
Wenzangu, salaam?
Nadhani sasa ni wakati muafaka wa kuweka wazi yale madili aliyofanya huyu bwana kwa jina la Ammy Mpungwe...wakati akina yona na mkapa wakiandaliwa kesi kwenda kwa vyombo vya...
Ndugu zangu Watanzania,
Vijana kwa umoja wao na kwa kujitambua pasipo kushinikizwa na mtu wanapanga mikakati ya kufanya maandamano ya Amani Nchi nzima Kumpongeza Rais wetu mama Samia suluhu...
Hii Kauli imebeba Ujumbe mzito sana
Watoto wa Simba akina Mpina na Bashe wanacheza cheza uwandani
Balozi Mungu wa mbinguni akubariki 😀😀
Pia soma Umoja wa wazalishaji wa sukari Tanzania (TSPA)...
Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake Tanzania UWT Ndg. Mary Chatanda akiwa ameambatana na Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji UWT Taifa, tarehe 01 Julai, 2024 amefungua Mafunzo ya usambazaji wa Matumizi...
Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu, Julai 02, 2024 amewasilisha hati za utambulisho kwa Rais wa Nchi hiyo, Mhe. Azali Assoumani ambapo wamepata pia fursa ya kufanya mazungumzo...
Watanzania tumheshimu na kumuombea sana Rais wetu Samia Suluhu Hasan tusisahau kwamba Rais wa nchi amebeba hatma ya nchi na wananchi wake
Nimesikia na kufuatilia kwa uchache sana mambo...
Ami R. Mpungwe
Chairman, Tanzania Chamber of Minerals and Energy, Tanzania
1975, BA in Political Science and International Relations, University of Dar-es-Salaam; postgraduate diploma in...
Balozi Ami Mpungwe,mwanadipolomasia na mtumishi wa umma wa miaka mingi.Alikuwa balozi wetu wa kwanza wa Tanzania nchini Afrika Kusini,Ami Mpungwe ndiye aliyekabidhiwa na chama cha ANC kukaa na...
Mwenezi wa CCM Dr Makalla amesema Tundu Lisu anapohutubia Kwamba Rais Samia amegawa pikipiki nchi nzima anaisaidia CCM kueleweka kwa wananchi Uimara wake
Rais Samia ni Mwenyekiti wa CCM...
Nathubutu kusema Msigwa ameshindwa kusoma nyakati, hatukatai kwamba CHADEMA hakuna mapungufu lakini sioni kama Matatizo anayoyasema ndio chanzo cha yeye kuhama. Watu wenye macho matatu wanajua ni...
Waaslaam Wakuu haya ni mawazo yangu na mapendekezo yangu kuhusu huu uzi ulioanzishwa na huyu jamaa. Sijui na nyinyi mna maoni gani?
Maoni ya Mtanzania anayeishi UK Kuhusu Kupanda kwa Kodi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.