Hizi siasa za ujamaa/ukomunisti huwa ni mbaya sana pale unapo pata viongozi waroho.
Siasa za kijamaa au kikomunisti ni nzuri sana kwa kuzisoma lakini ni mbaya sana pale zinapokuwa zinatekelezwa...
Jana zilisambaa taarifa kwamba wafanyabaishara wa soko la Kariakoo wataanza mgomo usio na kikomo kuanzia Jumatatu Juni 24.
Kinachodaiwa kuwa mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo ni mazingaombwe...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso akunjua Makucha. DAWASA Waanza kulimia meno. Aendelea na Utumbuaji kwa Mameneja Wazembe.
Ikiwa ni siku ya tatu ya ziara yake Mkoani Dar na maeneo yote yanayo hudumiwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wa Msumbiji Mheshimiwa Filipe Nyusi anatarajia kufanya ziara ya kikazi hapa Nchini kuanzia Tarehe 1-4 Mwezi huu wa July.
Ambapo pamoja na mambo mengine anatarajiwa...
Dunia imepangwa kwamba kuwe na wanaonyonya na wanaonyonywa ili iweze kuwa balanced na iweze kuwa mahala pazuri pa kuishi.
Imagine wote tuwe wantonyaji, nani atakayenywa sasa. Imagine wote tuwe...
Jukumu kubwa kabisa la Polisi nchini, ni kuwalinda raia wake na Mali zao.
Inapotokea raia mbalimbali, wanapotea bila serikali yetu kutoa maelezo yoyote kuhusu kupotea huko, tafsiri yake ni kuwa...
IGUNGA: "MBUNGE NGASSA KUPIGA KAMBI JIMBONI KWA SIKU THELATHINI"
📌 Kufanya Ziara kwenye Vitongoji vyote vya Mamlaka ya Mji Mdogo wa Igunga kusikiliza kero na kuzipatia ufumbuzi
📌 Kukutana na...
MATARAJIO YA WAASISI WA CCM vs. KINACHOENDELEA
________________________
"Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana...
Mwenyekiti Wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mbowe amekerwa na kitendo cha baadhi ya makada huko Tanga kutaka kuzuia mkutano usifanyike katika uwanja uliopangwa.
Ktk video clip hii...
Haya ni maoni ya Mtanzania ambaye kwa akili yangu nimemuona kama hajielewi na hajui jinsi vile hizi kodi na tozo zinavyotafunwa Kifisadi hapa Tanzania 👇👇👇👇
Hii kodi ni ndogo sana...kwa mwezi...
======
UPDATE: Waliochukua fomu hadi leo, Julai 17, wamefikia 176
======
Hili linaweza kuwa ajabu lingine la dunia ama linaweza kuingia kwenye kitabu cha rekodi za dunia World Guinness Book of...
Mi nawaza tu huu mchezo. Inaeleweka wazi kuwa wanaCCM wengi ni vilaza.
Mfano Lissu akahamia CCM, unafikili Dkt. Chana atafurahi? Lissu anaenda kuchukua nafasi yake. Au unafikiri Feleshi...
Niwe muwazi: Nachukizwa na kukasirishwa na Namna vijana hawa Boniface na Huyu Masanja masese wanavyomtukana Rais na kumuandikia maneno ya kashfa huko twitter(x) kama mtoto wao mdogo.. huyu ni Rais...
Misamiati:
Baraza: Wilaya
Wadi - Kata
Mkoa wa Kusini Pemba moja wapo kati ya mikoa 31 ya Tanzania unaopatikana kusini mwa Kisiwa cha Pemba huko Zanzibar wenye Makao makuu yake huko Chake Chake...
Misamiati:
Baraza: Wilaya
Wadi - Kata
Mkoa wa Kaskazini Pemba ni moja kati ya mikoa 31 ya Tanzania, unapatikana Kaskazini mwa Kisiwa cha Pemba, huko Zanzibar.
Mkoa wa Kaskazini Pemba una...
Huyu Mama ni mmoja kati ya walioongea jana mbele ya PM. Alidaiwa kodi ya Tsh 30 Billion kwa containers zake 10 alizo import. Baada ya kuonyesha kuwa hana hizo fedha akatengenezewa mashtaka ya...
Chadema walikuja kwa madaha wakidai kuwa "Sasa Mbowe na Lissu watapanda Chopper moja na kwenda kufanya mikutano Kanda ya Kasikazini.
chaajabu mpaka Sasa ni wiki inakata Lissu haonekani Singida...
Mh. Rais pole kwa majukumu, niseme wazi Mimi ninakupenda na ninakukubali sana. Wewe ni shujaa.
Ila nimeshangazwa Sana na uteuzi wa mkurugenzi mpya wa kupambana na dawa za kulevya.
Aliyekuwa...
Kwanini wanasiasa wa Upinzani wa Tanzania Bara wanahama na kuhamia CCM- KUNANI?
Wakati nipo chuo kikuu, Prof Wangu alituambia siku moja darasani kwamba- "ukitaka uishinde njaa usimuhadithie...
Tetesi za kweli zisizo na shaka hata kidogo ni kwamba CCM wanakaribia kufanya usajili mzito na kila kitu kipo tayari! Baada ya yule jamaa kutambulishwa juzi, usiku wa kuamkia leo majira ya saa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.