Kijana unaeishinda humuJF ukisifia kwa mapambio mbalimbali, hiyo sio tiketi ya wewe kupata nafasi yoyote serikalini au uongozi wowote serikalini, hizi ndio sifa kuu mbili zitakazoweshesha kukwaa...
Waziri wa ardhi nimekusikia ukizungumza na wanachi wa Chamakweza. Umeahidi kuwa utatuma tume yako.Naona kama ni kupoteza pesa za walipa kodi kwani shida hiyo ni Tanzania nzima.
Migogoro ya...
Maswali chechefu:
1. Je, kwanini Mhe Rais Samia jana aliisifu TPA na kuimwagia minyama kwa "Gawio kubwa ambalo halikuwepo huko nyuma" baada ya kupokea Gawio la Tshs 153.9 toka kwa Mkurugenzi...
Mwenyekiti wa Chadema akiwa mkutanoni ameelezea jinsi kijana Mwakalebela alivyotekwa na kusafirishwa hadi Arusha na baadae Katavi mpakani na Kongo
Mbowe amesema watekaji walimuuliza Sativa...
Friends, ladies and gentlemen, ndugu zangu wakusudia kutangaza nia uchaguzi mkuu ujao.
Njooni taratibu, njoni pole pole. Pupa si kitu kizuri sana. Vyama vyenu vinawatazama, viongozi wenu na...
Ndugu zangu,
Kwa miaka zaidi ya 50 Sasa, Tanzania (Zamani Tanganyika) tumekuwa na taratibu za kuweka picha za marais wetu maofisini (Binafsi na zà umma).
Naomba kujua kama ni lazima au ni...
Tangazo la TPA la ufafanuzi linasema wafanyakazi watakaobaki TPA watakwenda kufanya kazi bandari nyingine nje ya DSm. Kwa kauli hii maana yake hakuna mfanyakazi wa TPA atakayebaki bandari ya DSM...
08 May 2024
Mpwapwa, Dodoma
TUNDU LISSU LAZIMA TUPIGE VITA RUSHWA, CCM WAMETUMIA RUSHWA TANGU 2015 KUCHUKUA VIONGOZI CHADEMA WAUNGE JUHUDI
Source : the chanzo
Ndiyo maana wamekuwa wakali baada...
- SOKO LA BWILINGU NI FURSA KWA KILA MTU AELEZA MHE. MBUNGE RIDHIWANI KIKWETE
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ambaye pia ni Mbunge wa Chalinze...
Ndugu zangu Watanzania,
Habari ni kuwa aliyekuwa mfanyabiashara wa kimataifa na kiongozi na mdhamini wa klabu ya Yanga anatarajiwa kuzikwa leo muda wa saa Tisa Frorida Marekani.
Hiyo ni kwa...
Eng. Japhet Matarra ni kada kindakindaki wa CHADEMA ambaye kwa sasa yuko gerezani Karanga Moshi kwa zaidi ya mwaka mmoja baada ya kuhukumiwa kwa kufanya makosa ya mtandaoni. Ilikuwa aende jela au...
Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa jana alikuwepo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijiji Dar es Salam wakati akizindua sare maalum (uniform) na mfumo wa kidijitali (kanzidata) wa Madereva...
Mei 29, 2018, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, aliteuliwa na CCM kuwa Katibu Mkuu cha chama hicho akichukua nafasi ya Abdulrahman Kinana ambaye aliomba kujiuzulu.
Baada ya uteuzi huo, Dkt. Bashiru...
Pamoja na yote yanayo semwa juu ya CHADEMA bado Peter Msigwa ni mnufaika kinara wa CHADEMA Jimbo la Iringa ( T )
Huenda Mch Peter Msingwa ndio mwanasiasa toka Upinzani atakayetangazwa mapema...
1. umiliki wa simu kwa watu wenye umri miaka 15+
Tanzania bara= 82.5%
Zanzibar= 88.8%
2. Kaya kumiliki nyumba au makazi yao
Tanzania bara= 64.5%
Zanzibar= 71.3%
Kwa huu ufisadi wa mawaziri na watendaji wengine unaoendelea nchini, ningekuwa Rais ningeukomesha ndani ya siku 100 za mwanzo katika uongozi wangu. Ningetunga sheria ya ufisadi na uhujumu uchumi...
Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Said Othman Yakubu amefanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Afrika Kusini nchini Comoro Bi. Nichola Sabelo alipotembelea Ofisi za Ubalozi, Moroni tarehe 03...
Tundu Lissu ameamua kuzira na kwa kiburi cha Mbowe asitarajie chochote kubadilika.
Mbowe aliwahi kumtoa Lissu kwenye Uenyekiti wa Kanda ya Kati kwa kumdhalilisha hivi hivi kama Msigwa Lissu...
Mwalimu mmoja ameonekana akifundisha watoto kuimba na kuwatamsisha maneno ya kiitikadi ndani ya darasa
Hapa tumefikaje kama taifa ndio tunajenga kizazi gani hiki? Kama ndio haya yanaendelea basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.